Upgrade to Pro

  • Ukitaka kufika mbali katika maisha usiende pekeyako
    Ukitaka kufika mbali katika maisha usiende pekeyako💪
    Like
    Love
    2
    2 Reacties ·30 Views
  • Rais wa Korea Kusini aliyesimamishwa kazi, Yoon Suk Yeol amekamatwa kufuatia tuhuma za uasi dhidi yake, na kuwa Rais wa kwanza aliye madarakani kukamatwa nchini humo.

    Rais Yoon amesema amekubali kufika mbele ya Ofisi ya Uchunguzi wa Ufisadi, ingawa ni uchunguzi usio halali, ili kuzuia umwagaji wa damu.
    Rais wa Korea Kusini aliyesimamishwa kazi, Yoon Suk Yeol amekamatwa kufuatia tuhuma za uasi dhidi yake, na kuwa Rais wa kwanza aliye madarakani kukamatwa nchini humo. Rais Yoon amesema amekubali kufika mbele ya Ofisi ya Uchunguzi wa Ufisadi, ingawa ni uchunguzi usio halali, ili kuzuia umwagaji wa damu.
    Like
    2
    ·52 Views
  • Rais Samia Suluhu amemteua Prof. Othman Chande Othman kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwa kipindi cha pili.

    Rais Samia Suluhu amemteua Prof. Othman Chande Othman kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwa kipindi cha pili.
    Like
    2
    ·64 Views
  • Rais Samia Suluhu amemteua Mhandisi Ramadhani Masoud Lwamo kuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini.

    Kabla ya uteuzi huo Mhandisi Lwamo alikuwa akikaimu nafasi hiyo.
    Rais Samia Suluhu amemteua Mhandisi Ramadhani Masoud Lwamo kuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini. Kabla ya uteuzi huo Mhandisi Lwamo alikuwa akikaimu nafasi hiyo.
    Like
    2
    ·25 Views
  • https://www.instagram.com/p/DE1_jdII8l4/?igsh=dTBuM2ZlaGd2d2c3#MSUMBIJI: *DANIEL CHAPO AAPISHWA KUWA RAIS MPYA WA MSUMBIJI LEO*
    Msumbiji imemuapisha Daniel Chapo kuwa Rais mpya wa taifa hilo leo Jumatano baada ya miezi kadhaa ya machafuko ya kisiasa kufuatia uchaguzi, ambapo kwa mujibu wa shirika la misaada linadai kuwa imesababisha vifo vya zaidi ya watu 300.
    Chapo ameahidi kwenye kiapo chake hii leo kwamba atatoa nguvu zake zote katika kulinda, kukuza na kuimarisha umoja wa kitaifa.
    Chapo, mwenye umri wa miaka 48, anapanua utawala wa chama cha Frelimo kwa miaka 50 katika nchi hii tajiri kwa gesi.
    Mgombea wa upinzani, Venancio Mondlane, anadai kuwa uchaguzi wa Oktoba ulighushiwa.
    https://www.instagram.com/p/DE1_jdII8l4/?igsh=dTBuM2ZlaGd2d2c3#MSUMBIJI: *DANIEL CHAPO AAPISHWA KUWA RAIS MPYA WA MSUMBIJI LEO* Msumbiji imemuapisha Daniel Chapo kuwa Rais mpya wa taifa hilo leo Jumatano baada ya miezi kadhaa ya machafuko ya kisiasa kufuatia uchaguzi, ambapo kwa mujibu wa shirika la misaada linadai kuwa imesababisha vifo vya zaidi ya watu 300. Chapo ameahidi kwenye kiapo chake hii leo kwamba atatoa nguvu zake zote katika kulinda, kukuza na kuimarisha umoja wa kitaifa. Chapo, mwenye umri wa miaka 48, anapanua utawala wa chama cha Frelimo kwa miaka 50 katika nchi hii tajiri kwa gesi. Mgombea wa upinzani, Venancio Mondlane, anadai kuwa uchaguzi wa Oktoba ulighushiwa.
    WWW.INSTAGRAM.COM
    Instagram
    ·105 Views
  • Like
    1
    ·22 Views
  • Like
    1
    ·22 Views
  • "The Unforgetable THROW BACK
    Ilikuwa mwaka 2003 takribani Miaka 22 iliyopita nikiwa naingia kwenye ukumbi wa DIAMOND JUBILEE - UPANGA kwa kusukuma Mkokoteni 'KiZALI LA MENTALI' feat @sir_nature kwenye uzinduzi wa Album yangu ya pili ya MAPINDUZI HALISI ambayo baadae ilikuja kutangazwa na KILIMANJARO MUSIC AWARDS wakati huo (sasa TMA) kuwa album bora ya HIP HOP kwa mwaka 2003, Nilikuwa nimezungukwa na MIILI VIBANDA (Bouncers) pamoja na Producer wangu bora wa muda wote Tanzania @majani187 of BONGO RECORDS na @solothang_aka_ulamaa

    NB: Ni wasanii wachache sana tuliokuwa na uwezo wa kuujaza ukumbi mkubwa wa DIAMOND JUBILEE na ukatapika kisawasawa
    Je wewe ulikuwa wapi kipindi hiki???" - Professor Jay, Msanii wa muziki Hip-hop Tanzania
    "The Unforgetable THROW BACK 🔥🔥🔥 Ilikuwa mwaka 2003 takribani Miaka 22 iliyopita nikiwa naingia kwenye ukumbi wa DIAMOND JUBILEE - UPANGA kwa kusukuma Mkokoteni 'KiZALI LA MENTALI' feat @sir_nature kwenye uzinduzi wa Album yangu ya pili ya MAPINDUZI HALISI ambayo baadae ilikuja kutangazwa na KILIMANJARO MUSIC AWARDS wakati huo (sasa TMA) kuwa album bora ya HIP HOP kwa mwaka 2003, Nilikuwa nimezungukwa na MIILI VIBANDA (Bouncers) pamoja na Producer wangu bora wa muda wote Tanzania @majani187 of BONGO RECORDS na @solothang_aka_ulamaa 👑 NB: Ni wasanii wachache sana tuliokuwa na uwezo wa kuujaza ukumbi mkubwa wa DIAMOND JUBILEE na ukatapika kisawasawa💪💪💪 Je wewe ulikuwa wapi kipindi hiki???" - Professor Jay, Msanii wa muziki Hip-hop Tanzania
    Like
    1
    ·118 Views
  • Tatizo lenu vijana mnaharibu kwanza ndo mnakuja kutushirikisha, yule binti kama angekua hana mimba ningekushauri uachane nae tu
    Tatizo lenu vijana mnaharibu kwanza ndo mnakuja kutushirikisha, yule binti kama angekua hana mimba ningekushauri uachane nae tu
    ·35 Views
  • Like
    Love
    5
    6 Reacties ·149 Views ·84 Views