·21 مشاهدة
الدليل
Share your ideas, Make money with Social Pop, enjoy on our lager village
-
-
“Maandalizi yapo vizuri tunamshukuru mwenyezi Mungu, sisi kama Yanga SC tupo vizuri kabisa kwa mchezo. Tumefanya maandalizi makubwa na yapo sawa tuwaachie tu mashabiki waje uwanjani”
“Sisi tunataka kwenda robo fainali ya CAF champions League, tunataka tuingie kwenye Top 5 ya klabu bora barani Afrika, kwa mujibu wa taratibu wa renki za klabu kwa ubora barani Afrika tukishinda kesho tunapata point 39 tunataka nafasi ya tano na inakuwa mara ya kwanza klabu ya Tanzania na Afrika mashariki kufika nafasi ya tano, tuna vitu vingi vyakutusukuma kwenda kupambana kesho kupata maatokeo mazuri”
“Malengo makubwa ambayo viongozi waliyatoa mapema ni kufika tulipofika msimu uliopita yaani tukifika robo fainali tutakuwa tumefikia malengo yetu ya michuano ya kimataifa baada ya hapo gari itakuwa imekata breki ila atakayekuja mbele yeyote yule tutamfokea na kuruka naye sababu itakuwa tayari presha imeshaondoka”
“Kwanza tumalize mchezo wa kesho kwa wana Yanga njooni tukajaze uwanja,tukamchinje mwarabu, na kuhusu mauzo ya tiketi yanakwenda vizuri” - Ally Kamwe Msemaji wa Klabu ya Yanga SC.
“Maandalizi yapo vizuri tunamshukuru mwenyezi Mungu, sisi kama Yanga SC tupo vizuri kabisa kwa mchezo. Tumefanya maandalizi makubwa na yapo sawa tuwaachie tu mashabiki waje uwanjani” “Sisi tunataka kwenda robo fainali ya CAF champions League, tunataka tuingie kwenye Top 5 ya klabu bora barani Afrika, kwa mujibu wa taratibu wa renki za klabu kwa ubora barani Afrika tukishinda kesho tunapata point 39 tunataka nafasi ya tano na inakuwa mara ya kwanza klabu ya Tanzania na Afrika mashariki kufika nafasi ya tano, tuna vitu vingi vyakutusukuma kwenda kupambana kesho kupata maatokeo mazuri” “Malengo makubwa ambayo viongozi waliyatoa mapema ni kufika tulipofika msimu uliopita yaani tukifika robo fainali tutakuwa tumefikia malengo yetu ya michuano ya kimataifa baada ya hapo gari itakuwa imekata breki ila atakayekuja mbele yeyote yule tutamfokea na kuruka naye sababu itakuwa tayari presha imeshaondoka” “Kwanza tumalize mchezo wa kesho kwa wana Yanga njooni tukajaze uwanja,tukamchinje mwarabu, na kuhusu mauzo ya tiketi yanakwenda vizuri” - Ally Kamwe Msemaji wa Klabu ya Yanga SC.·117 مشاهدة -
Mshambuliaji hatari wa klabu ya Manchester City, Erling Haaland, amesaini mkataba mpya wa muda mrefu utakaoendelea hadi mwaka 2034. Haaland alijiunga na Manchester City mwaka 2022 akitokea katika klabu Borussia Dortmund ya Ujerumani na tangu wakati huo amefunga mabao (111) katika mechi (126).
Msimu wake wa kwanza ulikuwa wa mafanikio makubwa, akifunga mabao (52) kwenye mashindano yote, akionyesha uwezo wa hali ya juu katika soka la kimataifa. Mkataba huu mpya unafuta mkataba wa mwanzo uliotarajiwa kumalizika mwaka 2027, na unalenga kuhakikisha Haaland anabaki kuwa sehemu muhimu ya klabu hiyo ya Jiji la Manchester.
"Nina furaha kubwa kusaini mkataba huu mpya na kuendelea kuwa sehemu ya klabu hii bora. Manchester City ni klabu maalum yenye watu wa ajabu na mashabiki wa kipekee, na mazingira haya yananifanya kuwa bora zaidi." - Erling Haaland
Haaland ameshinda mataji mawili ya Ligi Kuu ya England, FA Cup, Ligi ya Mabingwa Ulaya (Champions League), na Super Cup akiwa na Manchester City.
"Urefu wa mkataba huu unaonyesha dhamira yetu kwa Haaland kama mchezaji na jinsi anavyothamini klabu hii." - Txiki Begiristan, Mkurugenzi wa michezo wa klabu ya Manchester City.
Mshambuliaji hatari wa klabu ya Manchester City, Erling Haaland, amesaini mkataba mpya wa muda mrefu utakaoendelea hadi mwaka 2034. Haaland alijiunga na Manchester City mwaka 2022 akitokea katika klabu Borussia Dortmund ya Ujerumani na tangu wakati huo amefunga mabao (111) katika mechi (126). Msimu wake wa kwanza ulikuwa wa mafanikio makubwa, akifunga mabao (52) kwenye mashindano yote, akionyesha uwezo wa hali ya juu katika soka la kimataifa. Mkataba huu mpya unafuta mkataba wa mwanzo uliotarajiwa kumalizika mwaka 2027, na unalenga kuhakikisha Haaland anabaki kuwa sehemu muhimu ya klabu hiyo ya Jiji la Manchester. "Nina furaha kubwa kusaini mkataba huu mpya na kuendelea kuwa sehemu ya klabu hii bora. Manchester City ni klabu maalum yenye watu wa ajabu na mashabiki wa kipekee, na mazingira haya yananifanya kuwa bora zaidi." - Erling Haaland Haaland ameshinda mataji mawili ya Ligi Kuu ya England, FA Cup, Ligi ya Mabingwa Ulaya (Champions League), na Super Cup akiwa na Manchester City. "Urefu wa mkataba huu unaonyesha dhamira yetu kwa Haaland kama mchezaji na jinsi anavyothamini klabu hii." - Txiki Begiristan, Mkurugenzi wa michezo wa klabu ya Manchester City.·121 مشاهدة -
Kadiri siku ya mwisho ya amri ya kupiga marufuku au kuuzwa kwa TikTok inavyokaribia Januari 19, 2025, Watumiaji wengi wa TikTok kutoka Marekani wamehamia kwenye Xiaohongshu, jukwaa maarufu la miandao wa kijamii la Kichina.
Hii inakuja baada ya amri inayotaka kampuni mama ya TikTok, ByteDance, kuuza biashara yake ya Marekani au kukabiliwa na kupigwa marufuku kutokana na wasiwasi wa usalama wa kitaifa.
Watumiaji wengi wa TikTok wanapigania marufuku hiyo kwa kuhamia Xiaohongshu, na kuitwa wakimbizi wa TikTok. Hali iliyopeleka pelekea Xiaohongshu kupanda kwenye orodha ya programu zinazopakuliwa zaidi.
Hata hivyo, baadhi ya Wanaharakati wa Kichina wanakosoa hatua hii, wakisema inapuuzia mbali mateso halisi ya Watu chini ya utawala wa China. Kwa upande mwingine, mamlaka za China zinaona hili kama fursa ya kupanua ushawishi wao duniani, na Xiaohongshu inaboresha zana za tafsiri ili kuwezesha mawasiliano na Watumiaji wa kimataifa.
Kadiri siku ya mwisho ya amri ya kupiga marufuku au kuuzwa kwa TikTok inavyokaribia Januari 19, 2025, Watumiaji wengi wa TikTok kutoka Marekani wamehamia kwenye Xiaohongshu, jukwaa maarufu la miandao wa kijamii la Kichina. Hii inakuja baada ya amri inayotaka kampuni mama ya TikTok, ByteDance, kuuza biashara yake ya Marekani au kukabiliwa na kupigwa marufuku kutokana na wasiwasi wa usalama wa kitaifa. Watumiaji wengi wa TikTok wanapigania marufuku hiyo kwa kuhamia Xiaohongshu, na kuitwa wakimbizi wa TikTok. Hali iliyopeleka pelekea Xiaohongshu kupanda kwenye orodha ya programu zinazopakuliwa zaidi. Hata hivyo, baadhi ya Wanaharakati wa Kichina wanakosoa hatua hii, wakisema inapuuzia mbali mateso halisi ya Watu chini ya utawala wa China. Kwa upande mwingine, mamlaka za China zinaona hili kama fursa ya kupanua ushawishi wao duniani, na Xiaohongshu inaboresha zana za tafsiri ili kuwezesha mawasiliano na Watumiaji wa kimataifa.·136 مشاهدة -
ILA MUTALE MCHOKOZI SANA | MUONE ALIVYOCHEZEA KIPARA CHA ATEBA
#paulswaiILA MUTALE MCHOKOZI SANA | MUONE ALIVYOCHEZEA KIPARA CHA ATEBA 😂 #paulswai·98 مشاهدة -
Kocha Fadlu kuelekea mchezo wa kesho dhidi CS Constantine. #paulswai·92 مشاهدة
-
FADLU DAVIS "TULIWEKA MALENGO YA KUFUZU, BAADA YA KUWAFUNGA AL AHLY TRIPOLI" | ASIKITIKA KUWAKOSA MASHABIKI | LENGO NI KUMALIZA KINARA WA KUNDI A.
#paulswaiFADLU DAVIS "TULIWEKA MALENGO YA KUFUZU, BAADA YA KUWAFUNGA AL AHLY TRIPOLI" | ASIKITIKA KUWAKOSA MASHABIKI | LENGO NI KUMALIZA KINARA WA KUNDI A. #paulswai·87 مشاهدة ·48 مشاهدة -
MAREHEMU ALIKUWA NA KAMDOMO #paulswai·112 مشاهدة ·45 مشاهدة ·1 المشاركات