0 Commentarios
路0 Acciones
路121 Views
-
Chukua hii.
Kuna kijiji kimoja huko Nchini Japan kiitwacho Shirakawa, nyumba zake za kihistoria zilizoezekwa kwa kutumia nyasi zinalindwa kwa majanga ya Moto. Wakati moto ukitokea mabomba hayo yaliyokuwa chini ya ardhi zaidi ya sitini (60) yanaibuka juu na kutoa maji kwa "pressure" kubwa hadi kufikia mita thelathini (30).
Mabomba hayo yamefichwa chini ya Ardhi ili kulinda Nyumba za hizo kihistoria ya kijapani dhidi ya Moto. Mfumo huu hujaribiwa mara mbili (2) kila Mwaka yaani Mwezi Mei na Disemba kupitia kikosi cha zima moto cha eneo hilo. Hata katika hali ya hewa ya mvua, wakati wa kufanya mazoezi hutengeneza upinde wa mvua wenye kuvutia juu ya paa, na kuvutia Watazamaji kutoka Ulimwenguni kote.
Chukua hii. Kuna kijiji kimoja huko Nchini Japan kiitwacho Shirakawa, nyumba zake za kihistoria zilizoezekwa kwa kutumia nyasi zinalindwa kwa majanga ya Moto. Wakati moto ukitokea mabomba hayo yaliyokuwa chini ya ardhi zaidi ya sitini (60) yanaibuka juu na kutoa maji kwa "pressure" kubwa hadi kufikia mita thelathini (30). Mabomba hayo yamefichwa chini ya Ardhi ili kulinda Nyumba za hizo kihistoria ya kijapani dhidi ya Moto. Mfumo huu hujaribiwa mara mbili (2) kila Mwaka yaani Mwezi Mei na Disemba kupitia kikosi cha zima moto cha eneo hilo. Hata katika hali ya hewa ya mvua, wakati wa kufanya mazoezi hutengeneza upinde wa mvua wenye kuvutia juu ya paa, na kuvutia Watazamaji kutoka Ulimwenguni kote.0 Commentarios 路0 Acciones 路431 Views -
-
0 Commentarios 路0 Acciones 路254 Views
-
2 Commentarios 路0 Acciones 路798 Views
-
0 Commentarios 路0 Acciones 路536 Views
-
-
-
-
Please help me, why won't it let me send a message?Please help me, why won't it let me send a message?0 Commentarios 路0 Acciones 路137 Views