• 0 Comments ·0 Shares ·156 Views
  • 0 Comments ·0 Shares ·162 Views
  • 0 Comments ·0 Shares ·139 Views
  • 0 Comments ·0 Shares ·140 Views
  • To work hard , so as to success
    To work hard , so as to success
    0 Comments ·0 Shares ·140 Views
  • Love
    1
    · 0 Comments ·0 Shares ·155 Views
  • Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu amesema Israel ina haki ya kuanza tena mapigano na Hamas kwa njia mpya na kwa nguvu mpya kama ikihitajika, iwapo mazungumzo zaidi ya kusitisha mapigano yatavunjika.

    Makubaliano ya kusitisha mapigano na Hamas, yanatarajiwa kuanza kutekelezwa Jumapili asubuhi kwa saa za huko.

    Netanyahu amebainisha kuwa marais wawili wa Marekani, Joe Biden anayemaliza muda wake na anayetarajiwa kuingia madarakani, Donald Trump, wanaiunga mkono Israel kurejea kupigana, iwapo mazungumzo ya awamu ya pili ya makubaliano yatashindikana.
    Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu amesema Israel ina haki ya kuanza tena mapigano na Hamas kwa njia mpya na kwa nguvu mpya kama ikihitajika, iwapo mazungumzo zaidi ya kusitisha mapigano yatavunjika. Makubaliano ya kusitisha mapigano na Hamas, yanatarajiwa kuanza kutekelezwa Jumapili asubuhi kwa saa za huko. Netanyahu amebainisha kuwa marais wawili wa Marekani, Joe Biden anayemaliza muda wake na anayetarajiwa kuingia madarakani, Donald Trump, wanaiunga mkono Israel kurejea kupigana, iwapo mazungumzo ya awamu ya pili ya makubaliano yatashindikana.
    Like
    1
    · 0 Comments ·0 Shares ·163 Views
  • Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu Hassan amempendekeza Katibu Mkuu wa Chama hicho, Dkt. Emmanuel Nchimbi kuwa mgombea mweza wa Rais katika Uchaguzi Mkuu mwaka huu.
    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu Hassan amempendekeza Katibu Mkuu wa Chama hicho, Dkt. Emmanuel Nchimbi kuwa mgombea mweza wa Rais katika Uchaguzi Mkuu mwaka huu.
    Like
    1
    · 0 Comments ·0 Shares ·254 Views
  • “Ushindi wa CCM katika uchaguzi mwaka huu hauna mjadala. Wagombea watakuwepo wa vyama vingine lakini sioni namna wanavyoweza kuishinda CCM. Lakini sio kwa ujanja ujanja ni kwa sababu yapo mambo mengi mazuri yaliyofanywa na serikali zetu mbili, lakini ni mambo ambayo yana manufaa kwa Watanzania.” – Jakaya Kikwete, Rais Mstaafu wa Tanzania
    “Ushindi wa CCM katika uchaguzi mwaka huu hauna mjadala. Wagombea watakuwepo wa vyama vingine lakini sioni namna wanavyoweza kuishinda CCM. Lakini sio kwa ujanja ujanja ni kwa sababu yapo mambo mengi mazuri yaliyofanywa na serikali zetu mbili, lakini ni mambo ambayo yana manufaa kwa Watanzania.” – Jakaya Kikwete, Rais Mstaafu wa Tanzania
    Like
    1
    · 0 Comments ·0 Shares ·352 Views
  • Mwaka 1966, Indira Gandhi alichaguliwa kuwa Waziri Mkuu wa nne wa India, akiwa ni Waziri Mkuu wa kwanza mwanamke nchini humo.
    Mwaka 1966, Indira Gandhi alichaguliwa kuwa Waziri Mkuu wa nne wa India, akiwa ni Waziri Mkuu wa kwanza mwanamke nchini humo.
    Like
    1
    · 0 Comments ·0 Shares ·130 Views