·3 Views
·13836 Views
Directory
Share your ideas, Make money with Social Pop, enjoy on our lager village
-
-
Mtandao wa TikTok umerejea na kurudisha huduma zake Nchini Marekani baada ya Rais Mteule Donald Trump kuruhusu mtandao huo kuendelea kufanya kazi Marekani.
TikTok ilikuwa imeacha kufanya kazi kwa Watumiaji wa Marekani kutokana na sheria iliyopiga marufuku app hiyo. Trump amesema atatafuta suluhisho la kuirudisha TikTok, ikiwemo uwezekano wa kushirikiana na kampuni za Marekani.
Mtandao wa TikTok umerejea na kurudisha huduma zake Nchini Marekani baada ya Rais Mteule Donald Trump kuruhusu mtandao huo kuendelea kufanya kazi Marekani. TikTok ilikuwa imeacha kufanya kazi kwa Watumiaji wa Marekani kutokana na sheria iliyopiga marufuku app hiyo. Trump amesema atatafuta suluhisho la kuirudisha TikTok, ikiwemo uwezekano wa kushirikiana na kampuni za Marekani.·6 Views -
"Nisingependa binti yangu Tiffah awe mwanamziki bali ningependa awe msimamizi wa shughuli zangu ilo tu, ila kusema aimbe hapana sitaki maana sipendi apitie mateso ninayo pitia mimi baba yake, mziki una mateso sana" - diamond Platnumz.
"Nisingependa binti yangu Tiffah awe mwanamziki bali ningependa awe msimamizi wa shughuli zangu ilo tu, ila kusema aimbe hapana sitaki maana sipendi apitie mateso ninayo pitia mimi baba yake, mziki una mateso sana" - diamond Platnumz.·8 Views