• 0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·192 Visualizações
  • 0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·197 Visualizações
  • Mtandao wa TikTok umerejea na kurudisha huduma zake Nchini Marekani baada ya Rais Mteule Donald Trump kuruhusu mtandao huo kuendelea kufanya kazi Marekani.

    TikTok ilikuwa imeacha kufanya kazi kwa Watumiaji wa Marekani kutokana na sheria iliyopiga marufuku app hiyo. Trump amesema atatafuta suluhisho la kuirudisha TikTok, ikiwemo uwezekano wa kushirikiana na kampuni za Marekani.

    Mtandao wa TikTok umerejea na kurudisha huduma zake Nchini Marekani baada ya Rais Mteule Donald Trump kuruhusu mtandao huo kuendelea kufanya kazi Marekani. TikTok ilikuwa imeacha kufanya kazi kwa Watumiaji wa Marekani kutokana na sheria iliyopiga marufuku app hiyo. Trump amesema atatafuta suluhisho la kuirudisha TikTok, ikiwemo uwezekano wa kushirikiana na kampuni za Marekani.
    Like
    2
    · 0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·516 Visualizações
  • Like
    1
    · 0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·102 Visualizações
  • Like
    1
    · 0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·91 Visualizações
  • Like
    1
    · 0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·104 Visualizações
  • "Nisingependa binti yangu Tiffah awe mwanamziki bali ningependa awe msimamizi wa shughuli zangu ilo tu, ila kusema aimbe hapana sitaki maana sipendi apitie mateso ninayo pitia mimi baba yake, mziki una mateso sana" - diamond Platnumz.

    "Nisingependa binti yangu Tiffah awe mwanamziki bali ningependa awe msimamizi wa shughuli zangu ilo tu, ila kusema aimbe hapana sitaki maana sipendi apitie mateso ninayo pitia mimi baba yake, mziki una mateso sana" - diamond Platnumz.
    Like
    1
    · 0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·475 Visualizações
  • Mtandao wa TikTok umerejea na kurudisha huduma zake Nchini Marekani baada ya Rais Mteule Donald Trump kuruhusu mtandao huo kuendelea kufanya kazi Marekani.

    TikTok ilikuwa imeacha kufanya kazi kwa Watumiaji wa Marekani kutokana na sheria iliyopiga marufuku app hiyo. Trump amesema atatafuta suluhisho la kuirudisha TikTok, ikiwemo uwezekano wa kushirikiana na kampuni za Marekani.

    Mtandao wa TikTok umerejea na kurudisha huduma zake Nchini Marekani baada ya Rais Mteule Donald Trump kuruhusu mtandao huo kuendelea kufanya kazi Marekani. TikTok ilikuwa imeacha kufanya kazi kwa Watumiaji wa Marekani kutokana na sheria iliyopiga marufuku app hiyo. Trump amesema atatafuta suluhisho la kuirudisha TikTok, ikiwemo uwezekano wa kushirikiana na kampuni za Marekani.
    Like
    1
    · 0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·479 Visualizações
  • 0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·161 Visualizações
  • Orodha ya klabu (30) bora barani Afrika baada ya mechi za hatua ya makundi 2024/25 ya Shirikisho la mpira wa miguu barani Afrika CAF.

    1. Al Ahly
    2. ES Tunis
    3. Mamelodi Sundowns
    4. Zamalek SC
    5. Wydad AC

    6. Simba SC
    7. USM Alger
    7. RS Berkane
    9. CR Belouizdad
    10. Young Africans

    Orodha ya klabu (30) bora barani Afrika baada ya mechi za hatua ya makundi 2024/25 ya Shirikisho la mpira wa miguu barani Afrika CAF. 1. Al Ahly 2. ES Tunis 3. Mamelodi Sundowns 4. Zamalek SC 5. Wydad AC 6. Simba SC 7. USM Alger 7. RS Berkane 9. CR Belouizdad 10. Young Africans
    Like
    1
    · 0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·493 Visualizações