0 Reacties
·0 aandelen
·409 Views
-
-
-
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu Hassan amempendekeza Katibu Mkuu wa Chama hicho, Dkt. Emmanuel Nchimbi kuwa mgombea mweza wa Rais katika Uchaguzi Mkuu mwaka huu.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu Hassan amempendekeza Katibu Mkuu wa Chama hicho, Dkt. Emmanuel Nchimbi kuwa mgombea mweza wa Rais katika Uchaguzi Mkuu mwaka huu. -
https://youtu.be/GwyNFTN9x-M?si=CG-daSpv7LL1bR8_ Video ipo YouTube please Subscribe share na comment Ameeenhttps://youtu.be/GwyNFTN9x-M?si=CG-daSpv7LL1bR8_ Video ipo YouTube please Subscribe share na comment Ameeen 🙏
-
Taarifa kutoka Nchini Pakistan kwenye Mji uitwao Karachi unakabiliwa na ongezeko la visa vya Wagonjwa wa Covid -19 (Corona ) huku asilimia 25% mpaka 30% ya Wagonjwa hao wakionyesha kuwa na dalili za kikohozi na kukutwa na virusi baada ya kufanyiwa vipimo.
Ripoti hiyo imetolewa na Shirika la ARY News, inasema Profesa Saeed Khan kutoka Hospitali ya Dow alitangaza kupokea Wagonjwa wenye dalili za homa, baridi na kikohozi huku wengine wakigundulika kuwa na changamoto ya "influenza" pamoja na changamoto ya kupumua kwa shida.
Kwa sasa Nchini Pakistan kuna baridi, hivyo Ugonjwa huo unasambaa kwa kasi. Wataalamu wa afya wanahimiza kuvaa barakoa, kudumisha usafi, kuwa na joto na kupata chanjo dhidi ya mafua ili kuzuia maambukizi.
Taarifa kutoka Nchini Pakistan kwenye Mji uitwao Karachi unakabiliwa na ongezeko la visa vya Wagonjwa wa Covid -19 (Corona ) huku asilimia 25% mpaka 30% ya Wagonjwa hao wakionyesha kuwa na dalili za kikohozi na kukutwa na virusi baada ya kufanyiwa vipimo. Ripoti hiyo imetolewa na Shirika la ARY News, inasema Profesa Saeed Khan kutoka Hospitali ya Dow alitangaza kupokea Wagonjwa wenye dalili za homa, baridi na kikohozi huku wengine wakigundulika kuwa na changamoto ya "influenza" pamoja na changamoto ya kupumua kwa shida. Kwa sasa Nchini Pakistan kuna baridi, hivyo Ugonjwa huo unasambaa kwa kasi. Wataalamu wa afya wanahimiza kuvaa barakoa, kudumisha usafi, kuwa na joto na kupata chanjo dhidi ya mafua ili kuzuia maambukizi.0 Reacties ·0 aandelen ·461 Views -
-
-
-