Upgrade to Pro

  • Ligi Kuu Tanzania imetoa maboresho mapya ya ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara kufuatia kughairishwa kwa michuano ya CHAN 2024 ambayo ilisababisha ligi kusimama.

    Ratiba hiyo mpya imeonesha tarehe mpya za mechi mbalimbali za Ligi Kuu Tanzania Bara ambapo kwa upande wa mechi ya KARIAKOO DERBY imepanga kuchezwa MACHI 28 MWAKA HUU.

    YANGA SC VS SIMBA SC
    Benjamin Mkapa Stadium
    28, Machi, 2025
    Saa 10:00 Jioni

    #paulswai
    Ligi Kuu Tanzania imetoa maboresho mapya ya ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara kufuatia kughairishwa kwa michuano ya CHAN 2024 ambayo ilisababisha ligi kusimama. Ratiba hiyo mpya imeonesha tarehe mpya za mechi mbalimbali za Ligi Kuu Tanzania Bara ambapo kwa upande wa mechi ya KARIAKOO DERBY imepanga kuchezwa MACHI 28 MWAKA HUU. YANGA SC VS SIMBA SC Benjamin Mkapa Stadium 🏟️ 28, Machi, 2025 📅 Saa 10:00 Jioni ⏰ #paulswai
    ·48 Views
  • .*TUTUNZE HII MESEJI*

    Kwa mujibu wa Kikokotoo cha CAF, Klabu ya Simba kwa sasa ina points 38 na kushika nafasi ya 6 kwa vilabu vya Afrika. Kama ataishia hatua hii ya robo fainali, basi msimu ujao ataanza na points 25.

    Yanga kwa sasa ana points 34 na kushika nafasi ya 10 kwa vilabu vya Afrika. Msimu ujao ataanza na points 25.

    NB; Simba akitaka kuendelea kuwa juu ya Yanga ni lazima ahakikishe anavuka hatua ya robo fainali, vinginevyo msimu ujao wataanza sawa na Yanga, na baada ya hapo Yanga ataanza kuchukua nafasi yake.
    .*TUTUNZE HII MESEJI* Kwa mujibu wa Kikokotoo cha CAF, Klabu ya Simba kwa sasa ina points 38 na kushika nafasi ya 6 kwa vilabu vya Afrika. Kama ataishia hatua hii ya robo fainali, basi msimu ujao ataanza na points 25. Yanga kwa sasa ana points 34 na kushika nafasi ya 10 kwa vilabu vya Afrika. Msimu ujao ataanza na points 25. NB; Simba akitaka kuendelea kuwa juu ya Yanga ni lazima ahakikishe anavuka hatua ya robo fainali, vinginevyo msimu ujao wataanza sawa na Yanga, na baada ya hapo Yanga ataanza kuchukua nafasi yake.
    ·54 Views
  • .A: ALAMA ZA SIMBA NA YANGA CAF JAN 2025
    SIMBA
    1. 2 x 5 = 10
    2. 3 x 4 = 12
    3. 3 x 3 = 9
    4. 2 x 2 = 4
    5. 3 x 1 = 3
    Jumla 38

    YANGA
    1. 2 x 5 = 10
    2. 3 x 4 = 12
    3. 4 x 3 = 12
    4. 0
    5. 0
    Jumla 34

    B: KAMA SIMBA ATAISHIA ROBO FAINALI, ALAMA ZITAKAZOANZA MSIMU UJAO NI;
    SIMBA
    1. 0
    2. 2 x 4 = 8
    3. 3 x 3 = 9
    4. 3 x 2 = 6
    5. 2 x 1 = 2
    Jumla 25

    YANGA;
    1. 0
    2. 2 x 4 = 8
    3. 3 x 3 = 9
    4. 4 x 2 = 8
    5. 0
    Jumla 25
    .A: ALAMA ZA SIMBA NA YANGA CAF JAN 2025 SIMBA 1. 2 x 5 = 10 2. 3 x 4 = 12 3. 3 x 3 = 9 4. 2 x 2 = 4 5. 3 x 1 = 3 Jumla 38 YANGA 1. 2 x 5 = 10 2. 3 x 4 = 12 3. 4 x 3 = 12 4. 0 5. 0 Jumla 34 B: KAMA SIMBA ATAISHIA ROBO FAINALI, ALAMA ZITAKAZOANZA MSIMU UJAO NI; SIMBA 1. 0 2. 2 x 4 = 8 3. 3 x 3 = 9 4. 3 x 2 = 6 5. 2 x 1 = 2 Jumla 25 YANGA; 1. 0 2. 2 x 4 = 8 3. 3 x 3 = 9 4. 4 x 2 = 8 5. 0 Jumla 25
    Like
    1
    ·49 Views
  • MUSICIAN/BAND
    MUSICIAN/BAND
    ·15 Views
  • UTHUBUTU kwenye positive projects not every projects 🫴
    UTHUBUTU kwenye positive projects not every projects 👌🤍❤️🫂🫴💡🧠
    Love
    1
    ·18 Views ·10 Views
  • @socialpoll
    @socialpoll
    Angry
    1
    ·19 Views
  • ·16 Views
  • "Twende tukaionyeshe dunia kwamba sisi sio tu chama kikuu cha upinzani nchini, ni chama kinachoheshimiana, chama chenye nidhamu, chama chenye kutambua wajibu wake na chama ambacho kinajiandaa na kinajipanga kwenda kuongoza dola ya nchi. Tukawaoneshe kwamba chama hiki ni kikubwa kuliko tofauti zetu." - Freeman Mbowe, Mwenyekiti CHADEMA
    "Twende tukaionyeshe dunia kwamba sisi sio tu chama kikuu cha upinzani nchini, ni chama kinachoheshimiana, chama chenye nidhamu, chama chenye kutambua wajibu wake na chama ambacho kinajiandaa na kinajipanga kwenda kuongoza dola ya nchi. Tukawaoneshe kwamba chama hiki ni kikubwa kuliko tofauti zetu." - Freeman Mbowe, Mwenyekiti CHADEMA
    Like
    2
    ·18 Views
  • ·16 Views
  • ·16 Views