Ligi Kuu Tanzania imetoa maboresho mapya ya ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara kufuatia kughairishwa kwa michuano ya CHAN 2024 ambayo ilisababisha ligi kusimama.
Ratiba hiyo mpya imeonesha tarehe mpya za mechi mbalimbali za Ligi Kuu Tanzania Bara ambapo kwa upande wa mechi ya KARIAKOO DERBY imepanga kuchezwa MACHI 28 MWAKA HUU.
YANGA SC VS SIMBA SC
Benjamin Mkapa Stadium
28, Machi, 2025
Saa 10:00 Jioni
#paulswai

Benjamin Mkapa Stadium 🏟️
28, Machi, 2025 📅
Saa 10:00 Jioni ⏰
#paulswai
·40 Visualizações