Atualizar para Plus

  • Happy
    Happy
    Love
    1
    ·11 Visualizações
  • ·9 Visualizações
  • Kazi iliyopo mbele yetu

    #paulswai
    Kazi iliyopo mbele yetu #paulswai
    Like
    Love
    3
    1 Comentários ·52 Visualizações
  • Mchezo wa Ligi Kuu kati ya wenyeji SIMBA SC dhidi ya AZAM FC “Mzizima Derby” umepagwa kufanyika Februari 24, mwaka huu kwenye Uwanja wa KMC Complex, saa 10:15 jioni.
    .
    Itakuwa ni mara ya kwanza mchezo Huu wa Mzizima Derby ndani ya Ligi Kuu ya NBC kupigwa katika uwanja wa KMC Complex.

    #paulswai
    🚨 Mchezo wa Ligi Kuu kati ya wenyeji SIMBA SC dhidi ya AZAM FC “Mzizima Derby” umepagwa kufanyika Februari 24, mwaka huu kwenye Uwanja wa KMC Complex, saa 10:15 jioni. . Itakuwa ni mara ya kwanza mchezo Huu wa Mzizima Derby ndani ya Ligi Kuu ya NBC kupigwa katika uwanja wa KMC Complex. #paulswai
    Love
    Like
    3
    ·52 Visualizações

  • Simba imebadilika zaidi. Wanaweza kwenda hata fainali kama wakitaka. Wanacheza kwa kasi kubwa tofauti na msimu mmoja uliopita. Wachezaji wengi wapya wamekuwa muhimu katika kikosi cha Simba. Usajili wa safari hii haukukosewa sana na wachezaji wapya wamekuwa na mchango mkubwa.
    .
    Kocha Fadlu Davis naye amekuwa na mchango mkubwa ukiangalia namna timu inavyocheza unaona kabisa kuna kitu wanatafuta na kweli wanakipata. Mpira ni mchezo wa hadharani na sasa ni wakati wa kuwapongeza Simba kwa kurudisha makali” — Edo Kumwembe.

    #paulswai
    💬 Simba imebadilika zaidi. Wanaweza kwenda hata fainali kama wakitaka. Wanacheza kwa kasi kubwa tofauti na msimu mmoja uliopita. Wachezaji wengi wapya wamekuwa muhimu katika kikosi cha Simba. Usajili wa safari hii haukukosewa sana na wachezaji wapya wamekuwa na mchango mkubwa. . Kocha Fadlu Davis naye amekuwa na mchango mkubwa ukiangalia namna timu inavyocheza unaona kabisa kuna kitu wanatafuta na kweli wanakipata. Mpira ni mchezo wa hadharani na sasa ni wakati wa kuwapongeza Simba kwa kurudisha makali” — Edo Kumwembe. #paulswai
    Like
    3
    ·54 Visualizações

  • Kinara wa mabao ndani ya Simba hatua ya makundi, Kibu Denis aliyefunga matatu, amefunguka kuwa haikuwa rahisi kufuzu robo fainali na kuongoza kundi, hivyo kwa sasa wanajipanga kuhakikisha wanatwaa ubingwa wa michuano hiyo.
    .
    “Tumeweza kutoboa hatua ya mtoano na makundi, sasa tumetinga robo fainali, zote zilikuwa ngumu, tunapoenda ndio kuna ugumu zaidi, mipango yetu ni kuona tunaweka rekodi nyingine kubwa ya kutwaa taji,”
    .
    “Hakuna kisichowezekana, kila mipango tuliyoipanga kuanzia hatua ya awali hadi sasa tumeifanikisha kwa usahihi, naamini hata hatua inayofuata tunaweza kuipambania na hatimaye kuandika historia ya ubingwa wa Kombe la Shirikisho.”
    .
    “Licha ya kutokuwa bora Ligi Kuu naamini pia nina nafasi ya kusawazisha makosa na kuwa bora kama ilivyo kwenye michuano hii ambayo bado tuna nafasi ya kuendelea kuipambania bendera ya nchi lakini pia timu kwa ujumla tuweze kuandika historia.”

    #paulswai
    Kinara wa mabao ndani ya Simba hatua ya makundi, Kibu Denis aliyefunga matatu, amefunguka kuwa haikuwa rahisi kufuzu robo fainali na kuongoza kundi, hivyo kwa sasa wanajipanga kuhakikisha wanatwaa ubingwa wa michuano hiyo. . “Tumeweza kutoboa hatua ya mtoano na makundi, sasa tumetinga robo fainali, zote zilikuwa ngumu, tunapoenda ndio kuna ugumu zaidi, mipango yetu ni kuona tunaweka rekodi nyingine kubwa ya kutwaa taji,” . “Hakuna kisichowezekana, kila mipango tuliyoipanga kuanzia hatua ya awali hadi sasa tumeifanikisha kwa usahihi, naamini hata hatua inayofuata tunaweza kuipambania na hatimaye kuandika historia ya ubingwa wa Kombe la Shirikisho.” . “Licha ya kutokuwa bora Ligi Kuu naamini pia nina nafasi ya kusawazisha makosa na kuwa bora kama ilivyo kwenye michuano hii ambayo bado tuna nafasi ya kuendelea kuipambania bendera ya nchi lakini pia timu kwa ujumla tuweze kuandika historia.” #paulswai
    Like
    3
    1 Comentários ·52 Visualizações
  • ·48 Visualizações
  • ·46 Visualizações
  • Like
    1
    2 Comentários ·7 Visualizações ·4 Visualizações
  • Like
    1
    ·7 Visualizações ·5 Visualizações