Upgrade to Pro

  • YANGA imeaga michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, lakini chapu kocha wa timu hiyo, Sead Ramovic ameanza msako wa kikosi kipya kwa msimu ujao, akianza kupigia hesabu beki wa Kaizer Chiefs, Sphiwe Given Msimango (28) ili kuja kutengeneza ukuta wa maana.
    .
    Taarifa zinasema kuwa, Ramovic ameshazungumza na beki huyo ambaye amekubali kuungana naye Yanga mwisho wa msimu huu ambapo sasa hatua hiyo wameachiwa mabosi wa timu hiyo
    .
    Ndani ya Kaizer mambo hayaonyeshi kumwendea sawa Msimango baada ya Nabi kuonyesha kuwaamini mabeki wengine nahodha Inacio Miguel raia wa Angola anayecheza pamoja na mzawa Rushwin Dortley. Kocha Nabi hamtumii sana beki huyo kwani katika mechi 12 za mashindano yote ilizocheza timu hiyo msimu huu, alizoanza hazizidi tatu, kwa vile mara nyingi anaingia ‘sub’.
    .
    Hata hivyo, Yanga endapo itataka kumpata kwa haraka Masimango itahitajika kumnunua endapo Kaizer haitamuacha mwisho wa msimu kwa kuwa msimu huu ukimalizika beki huyo atabakiza mwaka mmoja kwenye mkataba wake.
    YANGA imeaga michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, lakini chapu kocha wa timu hiyo, Sead Ramovic ameanza msako wa kikosi kipya kwa msimu ujao, akianza kupigia hesabu beki wa Kaizer Chiefs, Sphiwe Given Msimango (28) ili kuja kutengeneza ukuta wa maana. . Taarifa zinasema kuwa, Ramovic ameshazungumza na beki huyo ambaye amekubali kuungana naye Yanga mwisho wa msimu huu ambapo sasa hatua hiyo wameachiwa mabosi wa timu hiyo . Ndani ya Kaizer mambo hayaonyeshi kumwendea sawa Msimango baada ya Nabi kuonyesha kuwaamini mabeki wengine nahodha Inacio Miguel raia wa Angola anayecheza pamoja na mzawa Rushwin Dortley. Kocha Nabi hamtumii sana beki huyo kwani katika mechi 12 za mashindano yote ilizocheza timu hiyo msimu huu, alizoanza hazizidi tatu, kwa vile mara nyingi anaingia ‘sub’. . Hata hivyo, Yanga endapo itataka kumpata kwa haraka Masimango itahitajika kumnunua endapo Kaizer haitamuacha mwisho wa msimu kwa kuwa msimu huu ukimalizika beki huyo atabakiza mwaka mmoja kwenye mkataba wake.
    Like
    1
    1 Kommentare ·21 Ansichten
  • We ulisikia wapi
    We ulisikia wapi😂
    Like
    1
    1 Kommentare ·7 Ansichten
  • Klabu ya SSC Napoli ipo katika mazungumzo na klabu ya Borussia Dortmund Ili kuangalia uwezekano wa kumsajili mshambuliaji wao raia wa Ujerumani Karim Adeyemi katika dirisha hili dogo la usajili.

    Adeyemi dau lake katika Soko la usajili ni €45-50m.

    Source: [ Fabrizio Romano ]

    FOLLOW US.
    🚨 Klabu ya SSC Napoli ipo katika mazungumzo na klabu ya Borussia Dortmund Ili kuangalia uwezekano wa kumsajili mshambuliaji wao raia wa Ujerumani 🇩🇪 Karim Adeyemi katika dirisha hili dogo la usajili. Adeyemi dau lake katika Soko la usajili ni €45-50m. Source: [ Fabrizio Romano ] FOLLOW US.
    Like
    1
    1 Kommentare ·18 Ansichten
  • Taswira mbalimbali za Serge Pokou akiwa mazoezini leo kwa mara ya kwanza

    #ArushaCamp #midseason #inawezekana
    Taswira mbalimbali za Serge Pokou akiwa mazoezini leo kwa mara ya kwanza 🐆 #ArushaCamp #midseason #inawezekana
    Like
    1
    1 Kommentare ·10 Ansichten
  • Simba la Masimba Dangote
    Simba la Masimba Dangote😂
    Like
    1
    1 Kommentare ·7 Ansichten
  • Huu Usajili umefanyika lini Tena
    Huu Usajili umefanyika lini Tena😂
    Like
    1
    1 Kommentare ·7 Ansichten
  • Huyu akikaa mwezi mmoja ndo mazima atahamia Tanzania
    Huyu akikaa mwezi mmoja ndo mazima atahamia Tanzania 😂
    Like
    1
    1 Kommentare ·8 Ansichten
  • Kwenye kumbukumbu
    Kwenye kumbukumbu 😂
    Like
    1
    1 Kommentare ·8 Ansichten
  • Aiseee ngoja mimi nizurule kwanza
    Aiseee 😂 ngoja mimi nizurule kwanza
    Like
    1
    1 Kommentare ·17 Ansichten
  • Naitwa nani Baba Yanga
    Naitwa nani Baba Yanga😂
    Like
    1
    1 Kommentare ·15 Ansichten