YANGA imeaga michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, lakini chapu kocha wa timu hiyo, Sead Ramovic ameanza msako wa kikosi kipya kwa msimu ujao, akianza kupigia hesabu beki wa Kaizer Chiefs, Sphiwe Given Msimango (28) ili kuja kutengeneza ukuta wa maana.
.
Taarifa zinasema kuwa, Ramovic ameshazungumza na beki huyo ambaye amekubali kuungana naye Yanga mwisho wa msimu huu ambapo sasa hatua hiyo wameachiwa mabosi wa timu hiyo
.
Ndani ya Kaizer mambo hayaonyeshi kumwendea sawa Msimango baada ya Nabi kuonyesha kuwaamini mabeki wengine nahodha Inacio Miguel raia wa Angola anayecheza pamoja na mzawa Rushwin Dortley. Kocha Nabi hamtumii sana beki huyo kwani katika mechi 12 za mashindano yote ilizocheza timu hiyo msimu huu, alizoanza hazizidi tatu, kwa vile mara nyingi anaingia ‘sub’.
.
Hata hivyo, Yanga endapo itataka kumpata kwa haraka Masimango itahitajika kumnunua endapo Kaizer haitamuacha mwisho wa msimu kwa kuwa msimu huu ukimalizika beki huyo atabakiza mwaka mmoja kwenye mkataba wake.

1 Σχόλια
·27 Views