·30 Views
Directory
Share your ideas, Make money with Social Pop, enjoy on our lager village
-
-
Fahamu namna ya kuokoa akaunti yako, ndani ya masaa 24! Angalia hapa sehemu ya 1 https://youtu.be/Alt7qM7o0uc?si=ktcKMrmKdTBWiGeIFahamu namna ya kuokoa akaunti yako, ndani ya masaa 24! Angalia hapa sehemu ya 1 👉 https://youtu.be/Alt7qM7o0uc?si=ktcKMrmKdTBWiGeI·32 Views
-
"Mbona Yule Rasta wenu alipewa Uraia akiwa mvunja Kuni Tu na Hatukuona Maandiko mengi kama Leo?
Ni Wivu Tu unawasumbua Makolo
Kupenda Kukurupuka na Uvivu wa kufikiri ndo kumewafanya mjidhalilishe kwa Kuandika Barua ya Hovyo Uhamiaji mkiwaombea Wageni Uraia kama mnaomba Rejesho la Vicoba
Punguzeni Kiherehere. Wenye Mamlaka wanajua wanachokifanya
Kama Shida Yenu ni kutaka kukwepa Hela Ya Vibali vya Kuishi Pitisheni Tu Bakuli kama kawaida Yenu na sio kutaka Kulazimisha Kitale awe Mtanzania ..
Nchi Yetu haina Asili ya kuwa na Watoto wenye uwaraza ..
Mkome." - Ally Kamwe, Msemaji wa klabu ya Yanga SC.
"Mbona Yule Rasta wenu alipewa Uraia akiwa mvunja Kuni Tu na Hatukuona Maandiko mengi kama Leo? Ni Wivu Tu unawasumbua Makolo Kupenda Kukurupuka na Uvivu wa kufikiri ndo kumewafanya mjidhalilishe kwa Kuandika Barua ya Hovyo Uhamiaji mkiwaombea Wageni Uraia kama mnaomba Rejesho la Vicoba Punguzeni Kiherehere. Wenye Mamlaka wanajua wanachokifanya Kama Shida Yenu ni kutaka kukwepa Hela Ya Vibali vya Kuishi Pitisheni Tu Bakuli kama kawaida Yenu na sio kutaka Kulazimisha Kitale awe Mtanzania .. Nchi Yetu haina Asili ya kuwa na Watoto wenye uwaraza .. Mkome." - Ally Kamwe, Msemaji wa klabu ya Yanga SC.·3 Views -
Sababu ya Simba SC kuwaombea Wachezaji wake tisa (9) wa kigeni Uraia wa Tanzania.
" - Wachezaji hao wa Simba SC wa kigeni wanapenda kuwa sehemu ya Jamii ya Watanzania.Wanaipenda nchi ya Tanzania
- Idadi ya wachezaji wa kigeni wanaoomba kucheza Ligi ya Tanzania ni kubwa sana kwa sababu ya mvuto wa Ligi ya Tanzania.Hivyo Wachezaji 9 wa kigeni wakipewa uraia wa Tanzania,Simba itakuwa na nafasi ya kuongeza wachezaji wengine wa kigeni" - Ahmed Ally, Msemaji wa klabu ya Simba SC via Clouds FM.
Sababu ya Simba SC kuwaombea Wachezaji wake tisa (9) wa kigeni Uraia wa Tanzania. " - Wachezaji hao wa Simba SC wa kigeni wanapenda kuwa sehemu ya Jamii ya Watanzania.Wanaipenda nchi ya Tanzania - Idadi ya wachezaji wa kigeni wanaoomba kucheza Ligi ya Tanzania ni kubwa sana kwa sababu ya mvuto wa Ligi ya Tanzania.Hivyo Wachezaji 9 wa kigeni wakipewa uraia wa Tanzania,Simba itakuwa na nafasi ya kuongeza wachezaji wengine wa kigeni" - Ahmed Ally, Msemaji wa klabu ya Simba SC via Clouds FM.·3 Views -
Ahmed Ally
MAZUNGUMZO YA URAIA
Mpanzu : Mimi nitakua Mpogoro
Ahoua : Mimi mdigo
Mpanzu : Au niwe Mgogo
Ahoua : Basi mie nitakua mzigua
Kibu : Wewe mbona makabila yako ya Tanga tuu
Ahoua : Napenda kuwa karibu na bahari
Mpanzu : Kibu nishauri mimi niwe kabila gani
Kibu : Kuwa Muha
Mpanzu : Muha hapana nikienda Kigoma napata hisia za Congo
Kibu : Basi Mnyakyusa
Mpanzu : Aaah niwe Mwaisa saafi sana ushauri mzuri huo nitakua naitwa Elia Mwampanzu
Ahoua : Jamani Mimi bado sijapata kabila
Kibu: Chukua Mrangi
Ahoua : Kabila gani wanasema Ubaya Ubwela
Kibu : Wazaramo
Ahoua : Hilo ndio kabila langu sasa, na jina langu John Chale Kambi
Ahmed Ally ✍️ MAZUNGUMZO YA URAIA Mpanzu : Mimi nitakua Mpogoro Ahoua : Mimi mdigo Mpanzu : Au niwe Mgogo Ahoua : Basi mie nitakua mzigua Kibu : Wewe mbona makabila yako ya Tanga tuu Ahoua : Napenda kuwa karibu na bahari Mpanzu : Kibu nishauri mimi niwe kabila gani Kibu : Kuwa Muha Mpanzu : Muha hapana nikienda Kigoma napata hisia za Congo Kibu : Basi Mnyakyusa Mpanzu : Aaah niwe Mwaisa saafi sana ushauri mzuri huo nitakua naitwa Elia Mwampanzu Ahoua : Jamani Mimi bado sijapata kabila Kibu: Chukua Mrangi Ahoua : Kabila gani wanasema Ubaya Ubwela Kibu : Wazaramo Ahoua : Hilo ndio kabila langu sasa, na jina langu John Chale Kambi·4 Views