• Udaku umetazamwa (view) na Watu zaidi laki nne (4) ila wimbo mpya Watazamaji (views) ni zaidi ya elfu (59) pekee... Yaani hawa ndio Ndugu wa Watazamaji .

    Ni umbea au udaku kwanza, mengine baadaye

    Udaku umetazamwa (view) na Watu zaidi laki nne (4) ila wimbo mpya Watazamaji (views) ni zaidi ya elfu (59) pekee... Yaani hawa ndio Ndugu wa Watazamaji 😂. Ni umbea au udaku kwanza, mengine baadaye 😂
    Like
    1
    · 0 Комментарии ·0 Поделились ·329 Просмотры
  • Like
    Haha
    2
    · 0 Комментарии ·0 Поделились ·235 Просмотры
  • Mwaka 2019, Nchini Japan waliweza kupitisha utafiti kwa kuweza kuwaruhusu Wanasayansi kuweza kutengeneza (kuunda) Wanadamu. Mfumo huo ambao unakusanya viungo vya Wanyama na Binadamu ili kuweza kukuza viungo vya Binadamu ndani ya Mnyama kwa njia ya kupandikiza. Watafiti hao wakiongozwa na Mwanasayansi mmoja aitwaye Hiromitsu Nakauchi.

    Utafiti huo unaruhusisha kuingiza "seli" za Binadamu kwenye "viinitete" vya Wanyama (animal embroys) kwa Nguruwe na Panya, ili kuweza kukuza vya Binadamu. Bado kuna wasiwasi wa kimaadili unaweza kujitokeza kuhusu kuchanganya "seli" za kibinadamu na Wanyama haswa kwenye ukuaji wa ubongo.

    Sheria mpya imeruhusu utafiti huo kukuza hadi kuwa Mnyama Binadamu kamili, hivyo kuzua mijadiliano mikali kati ya Sayansi ya matibabu na uumbaji wa Mwenyezi Mungu.

    Mwaka 2019, Nchini Japan 🇯🇵 waliweza kupitisha utafiti kwa kuweza kuwaruhusu Wanasayansi kuweza kutengeneza (kuunda) Wanadamu. Mfumo huo ambao unakusanya viungo vya Wanyama na Binadamu ili kuweza kukuza viungo vya Binadamu ndani ya Mnyama kwa njia ya kupandikiza. Watafiti hao wakiongozwa na Mwanasayansi mmoja aitwaye Hiromitsu Nakauchi. Utafiti huo unaruhusisha kuingiza "seli" za Binadamu kwenye "viinitete" vya Wanyama (animal embroys) kwa Nguruwe na Panya, ili kuweza kukuza vya Binadamu. Bado kuna wasiwasi wa kimaadili unaweza kujitokeza kuhusu kuchanganya "seli" za kibinadamu na Wanyama haswa kwenye ukuaji wa ubongo. Sheria mpya imeruhusu utafiti huo kukuza hadi kuwa Mnyama Binadamu kamili, hivyo kuzua mijadiliano mikali kati ya Sayansi ya matibabu na uumbaji wa Mwenyezi Mungu.
    Like
    1
    · 0 Комментарии ·0 Поделились ·609 Просмотры
  • Like
    Love
    3
    · 0 Комментарии ·0 Поделились ·113 Просмотры
  • Like
    Haha
    2
    · 0 Комментарии ·0 Поделились ·114 Просмотры
  • Like
    Haha
    Wow
    4
    · 0 Комментарии ·0 Поделились ·114 Просмотры
  • "Tuelekee Congo sasa tuanze kuitazama na kufahamu kiini cha machafuko ya Goma na kwanini Rwanda wanahusihwa!!..

    Kwanza kabisa tujiulize kwanini machafuko yatokee Goma karibu kabisa na mpaka wa Rwanda yaani kule Kivu kusini na kaskazini ndio kiini cha mapigano na migogoro yote pale Congo sehemu hizi zinapakana na Rwanda pia ni sehemu ambazo ni ngome imara ya M23

    Félix Tshisekedi Rais wa Congo anafahamu fika kiini cha mgogoro huu, Rais wa Rwanda Paul Kagame anafahamu vizuri sana kiini cha mgogoro huu na kwanini mara zote Congo imekuwa ikiishtumu Rwanda kuhusika na kufadhili M23, wote wanafahamu sababu na ukweli wa mambo

    Ngoja nikuache na tafakuri ipo hivi wameuwawa wanajeshi 13 wa Afrika Kusini huko Goma sasa kilichotokea Rais wa Afrika Kusini Ramaphosa kampigia simu Kagame ili kutuliza machafuko Goma!! Jiulize Goma ipo Rwanda au Congo? na kwanini simu apigiwe Kagame?

    Matejoo tutaendelea kuwapa madini taratibu mpaka tupate ukweli hatua kwa hatua lakini kwa sasa niseme wazi wa kumaliza yanayoendelea Congo ni Kagame na Tshisekedi ila Kagame ana nafasi kubwa zaidi!!!

    Tukutane wakati mwingine ili ufahamu zaidi!!" - Zungu, Mchambuzi wa Siasa.

    "Tuelekee Congo sasa tuanze kuitazama na kufahamu kiini cha machafuko ya Goma na kwanini Rwanda wanahusihwa!!.. Kwanza kabisa tujiulize kwanini machafuko yatokee Goma karibu kabisa na mpaka wa Rwanda🇷🇼 yaani kule Kivu kusini na kaskazini ndio kiini cha mapigano na migogoro yote pale Congo sehemu hizi zinapakana na Rwanda pia ni sehemu ambazo ni ngome imara ya M23 Félix Tshisekedi Rais wa Congo anafahamu fika kiini cha mgogoro huu, Rais wa Rwanda Paul Kagame anafahamu vizuri sana kiini cha mgogoro huu na kwanini mara zote Congo imekuwa ikiishtumu Rwanda kuhusika na kufadhili M23, wote wanafahamu sababu na ukweli wa mambo Ngoja nikuache na tafakuri ipo hivi wameuwawa wanajeshi 13 wa Afrika Kusini huko Goma sasa kilichotokea Rais wa Afrika Kusini Ramaphosa kampigia simu Kagame ili kutuliza machafuko Goma!! Jiulize Goma ipo Rwanda au Congo? na kwanini simu apigiwe Kagame? Matejoo tutaendelea kuwapa madini taratibu mpaka tupate ukweli hatua kwa hatua👊 lakini kwa sasa niseme wazi wa kumaliza yanayoendelea Congo ni Kagame na Tshisekedi ila Kagame ana nafasi kubwa zaidi!!! Tukutane wakati mwingine ili ufahamu zaidi!!" - Zungu, Mchambuzi wa Siasa.
    Like
    Sad
    4
    · 0 Комментарии ·0 Поделились ·436 Просмотры
  • Like
    2
    · 0 Комментарии ·0 Поделились ·139 Просмотры
  • Namba kwenye mtandao wa YouTube anadai kuingiza Dola milioni moja kwa siku, baadaye Tajiri namba moja Duniani kamjibu kuwa yeye anaingiza Dola milioni moja kwa dakika moja.

    Namba kwenye mtandao wa YouTube anadai kuingiza Dola milioni moja kwa siku, baadaye Tajiri namba moja Duniani kamjibu kuwa yeye anaingiza Dola milioni moja kwa dakika moja.
    Like
    2
    · 0 Комментарии ·0 Поделились ·244 Просмотры
  • mpaka nione, hivi hivi hamtoboi
    mpaka nione, hivi hivi hamtoboi😀
    Like
    3
    · 1 Комментарии ·0 Поделились ·218 Просмотры