0 Commentarios
路0 Acciones
路2K Views
-
-
-
-
-
-
-
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo , Félix Tshisekedi na Rais wa Burundi , Evariste Ndayishimiye wamekataa kuhudhuria mkutano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki ulioitishwa na Rais wa Kenya , William Ruto, ambao pia ulipangwa kumjumuisha Rais wa Rwanda Paul Kagame ambaye alishasema kuwa yupo tayari kuhudhuria mkutano huo ila kwa kusisitiza, yagusiwe kiini haswa cha ngorongoro uliopo kati ya DR Congo na Waasi.
Aidha, Tshisekedi amesema kuwa hatoweza kuhudhuria mkutano huo kwa sababu ya ratiba.
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo 馃嚚馃嚛, Félix Tshisekedi na Rais wa Burundi 馃嚙馃嚠, Evariste Ndayishimiye wamekataa kuhudhuria mkutano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki ulioitishwa na Rais wa Kenya 馃嚢馃嚜, William Ruto, ambao pia ulipangwa kumjumuisha Rais wa Rwanda 馃嚪馃嚰 Paul Kagame ambaye alishasema kuwa yupo tayari kuhudhuria mkutano huo ila kwa kusisitiza, yagusiwe kiini haswa cha ngorongoro uliopo kati ya DR Congo na Waasi. Aidha, Tshisekedi amesema kuwa hatoweza kuhudhuria mkutano huo kwa sababu ya ratiba.0 Commentarios 路0 Acciones 路897 Views -
Baada ya kuripotiwa kuwa zaidi ya Watanzania mia tatu (300) wamerudishwa Nchini Tanzania kufuatia agizo la Rais wa Marekani , Donald Trump la kuwaondoa Watu wanaoishi Nchini Marekani kinyume cha sheria, Mange Kimambi ameibuka na kusema hayo:
"Naomba niwaambie ndugu zangu kwa mara ya mwisho na nisione ten comments za issue hii. Ni hivi mimi sitokaa nirudishwe Tanzania… Yani hiyo kitu ifuteni kabisa. Haipoooo.
.Huyo jamaa aliekatwa kwenye hii picha hawezi kubali nirudishwe kwa kimama hata siku moja Atapambana na serikali yake juu chini hadi waniache . Alafu hata hatohitaji kupambana maana huyo ni supporter wa Trump, kipindi cha uchaguzi kidogo tupeane talaka maana mimi Trump sijawahi kumwelewa…Huyo jamaa aliekatwa kwenye picha barua moja tu au simu moja tu wanamwachia mpare wake….. … Siwezi guswa na mtu mimi.- Mange kimambi, Mwanaharakati (Mtanzania) aishiye Nchini Marekani .
Baada ya kuripotiwa kuwa zaidi ya Watanzania mia tatu (300) wamerudishwa Nchini Tanzania 馃嚬馃嚳 kufuatia agizo la Rais wa Marekani 馃嚭馃嚫, Donald Trump la kuwaondoa Watu wanaoishi Nchini Marekani kinyume cha sheria, Mange Kimambi ameibuka na kusema hayo: "Naomba niwaambie ndugu zangu kwa mara ya mwisho na nisione ten comments za issue hii. Ni hivi mimi sitokaa nirudishwe Tanzania… Yani hiyo kitu ifuteni kabisa. Haipoooo. .Huyo jamaa aliekatwa kwenye hii picha hawezi kubali nirudishwe kwa kimama hata siku moja 馃ぃ馃ぃ馃ぃAtapambana na serikali yake juu chini hadi waniache 馃ぃ馃ぃ馃ぃ馃ぃ馃ぃ. Alafu hata hatohitaji kupambana maana huyo ni supporter wa Trump, kipindi cha uchaguzi kidogo tupeane talaka maana mimi Trump sijawahi kumwelewa…Huyo jamaa aliekatwa kwenye picha barua moja tu au simu moja tu wanamwachia mpare wake….. 馃ぃ馃ぃ馃ぃ馃ぃ馃ぃ… Siwezi guswa na mtu mimi.- Mange kimambi, Mwanaharakati (Mtanzania) aishiye Nchini Marekani 馃嚭馃嚫.0 Commentarios 路0 Acciones 路928 Views -
"Rais wa Afrika Kusini tumeongea siku mbili nyuma na alisema M23 hawajauwa Wanajeshi wake bali FARDC na hakutoa onyo lolote labda kama aliongea kwa Kilugha ambacho Mimi sikifahamu, ila kama Afrika Kusini wanataka kuchangia kwenye upatikanaji wa amani huko Congo hilo ni jambo zuri sana, ila kama Afrika Kusini wanataka vurugu basi Rwanda itajibu mapigo muda wowote na saa yoyote ile” Paul Kagame, Rais wa Rwanda .
"Rais wa Afrika Kusini tumeongea siku mbili nyuma na alisema M23 hawajauwa Wanajeshi wake bali FARDC na hakutoa onyo lolote labda kama aliongea kwa Kilugha ambacho Mimi sikifahamu, ila kama Afrika Kusini wanataka kuchangia kwenye upatikanaji wa amani huko Congo hilo ni jambo zuri sana, ila kama Afrika Kusini wanataka vurugu basi Rwanda itajibu mapigo muda wowote na saa yoyote ile” Paul Kagame, Rais wa Rwanda 馃嚪馃嚰.路 0 Commentarios 路0 Acciones 路410 Views1