Результаты поиска
Все результаты
Socialpop Socialpop Socialpop
Главная
Группы
Страницы
Marketplace
Больше
Группы Страницы Marketplace Мероприятия Статьи пользователей Funding Offers Jobs Courses Форумы Кинозал
Вступить
Войти Регистрация
Theme Switcher
Ночной режим
Каталог
Пользователи
Записей
Страницы
Группы
Мероприятия
  • Dullah Tz98 @DullahX98 добавлены фото
    2025-01-30 06:24:33 ·
    Baba Levo atangaza Mbosso kujitoa kwenye Lebo ya WCB Wasafi.

    Baba Levo atangaza Mbosso kujitoa kwenye Lebo ya WCB Wasafi.
    0 Комментарии ·0 Поделились ·2Кб Просмотры
    Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
  • Dullah Tz98 @DullahX98 добавлены фото
    2025-01-30 06:24:50 ·
    0 Комментарии ·0 Поделились ·198 Просмотры
    Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
  • Dullah Tz98 @DullahX98 добавлены фото
    2025-01-30 06:25:05 ·
    Like
    1
    · 0 Комментарии ·0 Поделились ·209 Просмотры
    Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
  • Dullah Tz98 @DullahX98 добавлены фото
    2025-01-30 06:25:24 ·
    Like
    1
    · 0 Комментарии ·0 Поделились ·210 Просмотры
    Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
  • Dullah Tz98 @DullahX98 добавлены фото
    2025-01-30 06:25:35 ·
    0 Комментарии ·0 Поделились ·215 Просмотры
    Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
  • Dullah Tz98 @DullahX98 добавлены фото
    2025-01-30 06:25:52 ·
    0 Комментарии ·0 Поделились ·218 Просмотры
    Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
  • Dullah Tz98 @DullahX98 добавлены фото
    2025-01-30 06:26:05 ·
    0 Комментарии ·0 Поделились ·222 Просмотры
    Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
  • Dullah Tz98 @DullahX98 добавлены фото
    2025-01-30 06:27:54 ·
    Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo , Félix Tshisekedi na Rais wa Burundi , Evariste Ndayishimiye wamekataa kuhudhuria mkutano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki ulioitishwa na Rais wa Kenya , William Ruto, ambao pia ulipangwa kumjumuisha Rais wa Rwanda Paul Kagame ambaye alishasema kuwa yupo tayari kuhudhuria mkutano huo ila kwa kusisitiza, yagusiwe kiini haswa cha ngorongoro uliopo kati ya DR Congo na Waasi.

    Aidha, Tshisekedi amesema kuwa hatoweza kuhudhuria mkutano huo kwa sababu ya ratiba.

    Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo 🇨🇩, Félix Tshisekedi na Rais wa Burundi 🇧🇮, Evariste Ndayishimiye wamekataa kuhudhuria mkutano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki ulioitishwa na Rais wa Kenya 🇰🇪, William Ruto, ambao pia ulipangwa kumjumuisha Rais wa Rwanda 🇷🇼 Paul Kagame ambaye alishasema kuwa yupo tayari kuhudhuria mkutano huo ila kwa kusisitiza, yagusiwe kiini haswa cha ngorongoro uliopo kati ya DR Congo na Waasi. Aidha, Tshisekedi amesema kuwa hatoweza kuhudhuria mkutano huo kwa sababu ya ratiba.
    0 Комментарии ·0 Поделились ·896 Просмотры
    Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
  • Dullah Tz98 @DullahX98 добавлены фото
    2025-01-30 06:28:44 ·
    Baada ya kuripotiwa kuwa zaidi ya Watanzania mia tatu (300) wamerudishwa Nchini Tanzania kufuatia agizo la Rais wa Marekani , Donald Trump la kuwaondoa Watu wanaoishi Nchini Marekani kinyume cha sheria, Mange Kimambi ameibuka na kusema hayo:

    "Naomba niwaambie ndugu zangu kwa mara ya mwisho na nisione ten comments za issue hii. Ni hivi mimi sitokaa nirudishwe Tanzania… Yani hiyo kitu ifuteni kabisa. Haipoooo.

    .Huyo jamaa aliekatwa kwenye hii picha hawezi kubali nirudishwe kwa kimama hata siku moja Atapambana na serikali yake juu chini hadi waniache . Alafu hata hatohitaji kupambana maana huyo ni supporter wa Trump, kipindi cha uchaguzi kidogo tupeane talaka maana mimi Trump sijawahi kumwelewa…Huyo jamaa aliekatwa kwenye picha barua moja tu au simu moja tu wanamwachia mpare wake….. … Siwezi guswa na mtu mimi.- Mange kimambi, Mwanaharakati (Mtanzania) aishiye Nchini Marekani .

    Baada ya kuripotiwa kuwa zaidi ya Watanzania mia tatu (300) wamerudishwa Nchini Tanzania 🇹🇿 kufuatia agizo la Rais wa Marekani 🇺🇸, Donald Trump la kuwaondoa Watu wanaoishi Nchini Marekani kinyume cha sheria, Mange Kimambi ameibuka na kusema hayo: "Naomba niwaambie ndugu zangu kwa mara ya mwisho na nisione ten comments za issue hii. Ni hivi mimi sitokaa nirudishwe Tanzania… Yani hiyo kitu ifuteni kabisa. Haipoooo. .Huyo jamaa aliekatwa kwenye hii picha hawezi kubali nirudishwe kwa kimama hata siku moja 🤣🤣🤣Atapambana na serikali yake juu chini hadi waniache 🤣🤣🤣🤣🤣. Alafu hata hatohitaji kupambana maana huyo ni supporter wa Trump, kipindi cha uchaguzi kidogo tupeane talaka maana mimi Trump sijawahi kumwelewa…Huyo jamaa aliekatwa kwenye picha barua moja tu au simu moja tu wanamwachia mpare wake….. 🤣🤣🤣🤣🤣… Siwezi guswa na mtu mimi.- Mange kimambi, Mwanaharakati (Mtanzania) aishiye Nchini Marekani 🇺🇸.
    0 Комментарии ·0 Поделились ·927 Просмотры
    Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
  • Dullah Tz98 @DullahX98 добавлены фото
    2025-01-30 06:29:30 ·
    "Rais wa Afrika Kusini tumeongea siku mbili nyuma na alisema M23 hawajauwa Wanajeshi wake bali FARDC na hakutoa onyo lolote labda kama aliongea kwa Kilugha ambacho Mimi sikifahamu, ila kama Afrika Kusini wanataka kuchangia kwenye upatikanaji wa amani huko Congo hilo ni jambo zuri sana, ila kama Afrika Kusini wanataka vurugu basi Rwanda itajibu mapigo muda wowote na saa yoyote ile” Paul Kagame, Rais wa Rwanda .

    "Rais wa Afrika Kusini tumeongea siku mbili nyuma na alisema M23 hawajauwa Wanajeshi wake bali FARDC na hakutoa onyo lolote labda kama aliongea kwa Kilugha ambacho Mimi sikifahamu, ila kama Afrika Kusini wanataka kuchangia kwenye upatikanaji wa amani huko Congo hilo ni jambo zuri sana, ila kama Afrika Kusini wanataka vurugu basi Rwanda itajibu mapigo muda wowote na saa yoyote ile” Paul Kagame, Rais wa Rwanda 🇷🇼.
    Like
    1
    · 0 Комментарии ·0 Поделились ·409 Просмотры
    Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
  • Отображение (22321-22330 из 32711)
  • «
  • Назад
  • 2231
  • 2232
  • 2233
  • 2234
  • 2235
  • Далее
  • »
Обновить до Про
Выберите подходящий план
Обновить
© 2025 Socialpop
Russian
English Arabic French Spanish Portuguese Deutsch Turkish Dutch Italiano Russian Romaian Portuguese (Brazil) Greek
О нас Условия использования Конфиденциальность Свяжитесь с нами Каталог Разработчики