• Mwanamitindo maarufu duniani, video vixen na mtangazaji wa TV Amber Rose ameishangaza dunia baada ya kusema alilia kwa muda wa miaka 3 baada ya kuachana na aliekua mumewe Hit Maker wa Black & Yellow rapa Wiz Khalifa.

    Katika mahojiano alioyafanya na Podcast ya No Jumper Amber amesema " Pindi Wiz Khalifa aliponiacha nililia kwa miaka mitatu mfululizo. Nampenda sana na ananiwezea vizuri kitandani.

    " Najua nimedate wanaume zaidi ya 50 lakini Wiz Khalifa alikua ndio kipenzi cha maisha yangu. Wiki 3 za mwanzo, nililia kama mtoto, nilikua nakaa bafuni afu najisemea, F**k

    Hapa tunazungumzia siku 1096 ndizo Amber Rose anadai alilia baada ya kuachana na Wiz Khalifa
    Mwanamitindo maarufu duniani, video vixen na mtangazaji wa TV Amber Rose ameishangaza dunia baada ya kusema alilia kwa muda wa miaka 3 baada ya kuachana na aliekua mumewe Hit Maker wa Black & Yellow rapa Wiz Khalifa. Katika mahojiano alioyafanya na Podcast ya No Jumper Amber amesema " Pindi Wiz Khalifa aliponiacha nililia kwa miaka mitatu mfululizo. Nampenda sana na ananiwezea vizuri kitandani. " Najua nimedate wanaume zaidi ya 50 lakini Wiz Khalifa alikua ndio kipenzi cha maisha yangu. Wiki 3 za mwanzo, nililia kama mtoto, nilikua nakaa bafuni afu najisemea, F**k Hapa tunazungumzia siku 1096 ndizo Amber Rose anadai alilia baada ya kuachana na Wiz Khalifa 🤔
    Like
    Love
    2
    · 0 Commenti ·0 condivisioni ·799 Views
  • COMPLEX NA VIVY.
    Walipata ajali mbaya ya gari wakitokea Morogoro kwenda Arusha kwenye sherehe ya kumbukizi ya miaka 25 ya ndoa ya wazazi wa Vivian a.k.a Vivy.

    Complex na Vivy walikuwa ni wapenzi waliozaliwa tarehe moja, mwezi mmoja na mwaka mmoja. Walishangaza wengi baada ya wao kufa pamoja tar 21.08.2005.

    Walikutanishwa na mtaalamu Ambwene Yessayah, A.Y. Complex akiwa ni producer wa studio ya Algies Records huku Vivian akiwa Ni mtangazaji wa Clouds FM.

    Kisa Cha kukutana nakuwa Wapenzi Kiko hivi Vivian alifahamiana na A.Y Mkoani Iringa Kipindi A.Y anasoma Ifunda na Vivian alikuwa anasoma Mkwawa.

    Baada ya School, AY alikuja kukutana na Vivian Arusha alipoenda kwenye show akamshawishi Vivian kwa muonekano wake awe Mtangazaji. Vivian akaelewa Mchongo akakutanishwa na Hayati Gardener G Habash pale Clouds akapewa Mchongo wa Utangazaji.

    Simon Sai a.K.a Complex alikuwa anafanya kazi na A.Y

    Kuna ngoma walishirikishana kiufupi walikuwa Maswahiba wakubwa baada ya kufahamiana.

    Simon Sai a.K.a Complex akamuona Vivian pale Clouds FM kupitia A.Y akatokea kumpenda Vivian

    Baada ya hapo kilichofuata ni kuibuka kwa Penzi Zito kati ya Complex na Vivian..

    #BURUDANI #michezoonlineupdates #mahusiano

    Like & follow
    COMPLEX NA VIVY. Walipata ajali mbaya ya gari wakitokea Morogoro kwenda Arusha kwenye sherehe ya kumbukizi ya miaka 25 ya ndoa ya wazazi wa Vivian a.k.a Vivy. Complex na Vivy walikuwa ni wapenzi waliozaliwa tarehe moja, mwezi mmoja na mwaka mmoja. Walishangaza wengi baada ya wao kufa pamoja tar 21.08.2005. Walikutanishwa na mtaalamu Ambwene Yessayah, A.Y. Complex akiwa ni producer wa studio ya Algies Records huku Vivian akiwa Ni mtangazaji wa Clouds FM. Kisa Cha kukutana nakuwa Wapenzi Kiko hivi Vivian alifahamiana na A.Y Mkoani Iringa Kipindi A.Y anasoma Ifunda na Vivian alikuwa anasoma Mkwawa. Baada ya School, AY alikuja kukutana na Vivian Arusha alipoenda kwenye show akamshawishi Vivian kwa muonekano wake awe Mtangazaji. Vivian akaelewa Mchongo akakutanishwa na Hayati Gardener G Habash pale Clouds akapewa Mchongo wa Utangazaji. Simon Sai a.K.a Complex alikuwa anafanya kazi na A.Y Kuna ngoma walishirikishana kiufupi walikuwa Maswahiba wakubwa baada ya kufahamiana. Simon Sai a.K.a Complex akamuona Vivian pale Clouds FM kupitia A.Y akatokea kumpenda Vivian 😊 Baada ya hapo kilichofuata ni kuibuka kwa Penzi Zito kati ya Complex na Vivian.. #BURUDANI #michezoonlineupdates #mahusiano Like & follow 🙏 🙏
    Like
    1
    · 0 Commenti ·0 condivisioni ·2K Views
  • Love
    1
    · 0 Commenti ·0 condivisioni ·194 Views
  • one blood
    one blood
    0 Commenti ·0 condivisioni ·520 Views
  • Ya Mange Kimambi kuhusu sakata la Mbosso na Zuchu kujitoa kwenye Lebo ya WCB Wasafi.

    Mnaosema Mbosso bora angebaki wasafi hivi mnawaza nini? Hivi mnadhani hawa wasanii ni wajinga wanapoamua kutoka kwa Diamond?

    Wanatoka coz wanaona hawapati matunda ya kazi zao, wanapiga kazi kubwa, wanakuwa famous nchi nzima ila hakuna pesa ya maana wanayopata, faida kubwa inaenda kwa kampuni ndo maana wanaona bora watoke wakajitafutie hata kama ni kidogo ila angalau ni chake na hatumiki tena kumtajirisha mtu.

    Nawaambia hata Zuchu leo akiachwa na Dai kesho yake asubuhi na mapema anatoka Wasafi. kinachomuweka Zuchu wasafi ni kwamba yuko obsessed na kuolewa na Diamond.

    Oh yeah, bado tukiwa kwenye hiyo topic ya king’ang’a ngoja niwaambie hivi, ni ngumu mnooo Diamond kumuacha king’ang’a, tena mnooooo. Hivi ndugu zangu mnajua maisha yalivyo magumu, mnataka Diamond amuache mwanamke anaemuingizia mabilioni ya pesa then aje kwenu vishanshuda wa mjini mnaosubiri kupewa? Itabidi akununulie gari, akupangie nyumba, akupe hela ya mawigi, akupe hela ya kulea ukoo wako, then uombe akujengee nyumba, why aingie kwenye matatizo hayo wakati Zuchu hayo mambo yote anajifanyia mwenyewe na on top of that anamwingizia pesa kwenye account? Yani aache mwanamke ambae hamcosti hata senti moja na bado anamwingizia mahela kwenye account aje kwenu omba omba na makalio yenu ya Uturuki? Itabidi Zuchu ashuke kimziki aache kumwingizia Diamond mahela ndo atapigwa chini. Yani Zuchu siku akishindwa kumwingizia Dai pesa kwenye account ndio ataachwa na sio kabla.Sasa acheni kujaji uzuri wako vs wa king’ang’a, jaji pesa utakayoweza kumwingizia Dai kwenye account Vs Zuchu anayomwingizia ndo utapata majibu. Na sasa hivi Zuchu kawaka moto Dai amuoe au anaingia mitini mnadhani Dai atachagua nini? Ampoteze top money maker wa Wasafi au aoe?Tumieni akili hapo, mnadhani atachagua nini?

    Basi kwa hii posti kama namuona Dai atavyoniletea barua ingine ya lawyer huku Marekani . Weee mi sio kina Mwijaku uliowatishia na vibarua vya lawyer siku hizi wameufyata wooote. Weeee, mimi tutagaragazana mahakamani mpaka woote tufilisike kwa kulipa malawyer . Chezea wapare tunavyopenda kesi .Yes guys, kama mnenoti siku hizi hakuna mtu bongo anadhubutu kumchamba Dai, wooote kawanyoosha kwa kuwatishia lawyer.

    Ya Mange Kimambi kuhusu sakata la Mbosso na Zuchu kujitoa kwenye Lebo ya WCB Wasafi. Mnaosema Mbosso bora angebaki wasafi hivi mnawaza nini? Hivi mnadhani hawa wasanii ni wajinga wanapoamua kutoka kwa Diamond? Wanatoka coz wanaona hawapati matunda ya kazi zao, wanapiga kazi kubwa, wanakuwa famous nchi nzima ila hakuna pesa ya maana wanayopata, faida kubwa inaenda kwa kampuni ndo maana wanaona bora watoke wakajitafutie hata kama ni kidogo ila angalau ni chake na hatumiki tena kumtajirisha mtu. Nawaambia hata Zuchu leo akiachwa na Dai kesho yake asubuhi na mapema anatoka Wasafi. kinachomuweka Zuchu wasafi ni kwamba yuko obsessed na kuolewa na Diamond. Oh yeah, bado tukiwa kwenye hiyo topic ya king’ang’a ngoja niwaambie hivi, ni ngumu mnooo Diamond kumuacha king’ang’a, tena mnooooo. Hivi ndugu zangu mnajua maisha yalivyo magumu, mnataka Diamond amuache mwanamke anaemuingizia mabilioni ya pesa then aje kwenu vishanshuda wa mjini mnaosubiri kupewa? Itabidi akununulie gari, akupangie nyumba, akupe hela ya mawigi, akupe hela ya kulea ukoo wako, then uombe akujengee nyumba, why aingie kwenye matatizo hayo wakati Zuchu hayo mambo yote anajifanyia mwenyewe na on top of that anamwingizia pesa kwenye account? Yani aache mwanamke ambae hamcosti hata senti moja na bado anamwingizia mahela kwenye account aje kwenu omba omba na makalio yenu ya Uturuki? Itabidi Zuchu ashuke kimziki aache kumwingizia Diamond mahela ndo atapigwa chini. Yani Zuchu siku akishindwa kumwingizia Dai pesa kwenye account ndio ataachwa na sio kabla.Sasa acheni kujaji uzuri wako vs wa king’ang’a, jaji pesa utakayoweza kumwingizia Dai kwenye account Vs Zuchu anayomwingizia ndo utapata majibu. Na sasa hivi Zuchu kawaka moto Dai amuoe au anaingia mitini mnadhani Dai atachagua nini? Ampoteze top money maker wa Wasafi au aoe?Tumieni akili hapo, mnadhani atachagua nini? Basi kwa hii posti kama namuona Dai atavyoniletea barua ingine ya lawyer huku Marekani 🤣. Weee mi sio kina Mwijaku uliowatishia na vibarua vya lawyer siku hizi wameufyata wooote. Weeee, mimi tutagaragazana mahakamani mpaka woote tufilisike kwa kulipa malawyer 🤣. Chezea wapare tunavyopenda kesi 🤣🤣.Yes guys, kama mnenoti siku hizi hakuna mtu bongo anadhubutu kumchamba Dai, wooote kawanyoosha kwa kuwatishia lawyer.
    0 Commenti ·0 condivisioni ·2K Views
  • 0 Commenti ·0 condivisioni ·164 Views
  • 0 Commenti ·0 condivisioni ·171 Views
  • Kutoka kwa Juma Lokole, chapisho la Mange Kimambi kuhusu Zuchu na Mbosso ni uongo.

    Kutoka kwa Juma Lokole, chapisho la Mange Kimambi kuhusu Zuchu na Mbosso ni uongo.
    0 Commenti ·0 condivisioni ·883 Views
  • Mange Kimambi amjibu Juma Lokole.
    Mange Kimambi amjibu Juma Lokole.
    0 Commenti ·0 condivisioni ·180 Views
  • Kazi ya Bando la Wananchi wa Kenya
    Kazi ya Bando la Wananchi wa Kenya 🇰🇪 😳
    Wow
    1
    · 0 Commenti ·0 condivisioni ·1K Views