• Clean sheet ya 13 inaenda kutafutwa Jumapili.

    #paulswai
    Clean sheet ya 13 inaenda kutafutwa Jumapili. #paulswai
    Like
    Love
    2
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·381 Views
  • Mnyama atanguruma wikiendi hii kwenye makazi ya nyuki


    #paulswai
    🦁 Mnyama atanguruma wikiendi hii kwenye makazi ya nyuki 🐝 #paulswai
    Love
    1
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·382 Views
  • muda mwingi yeye yeye utamkuta anaiongoza camera drone (ndege isiyo na rubani) au anakuwa na peni na karatasi yako muda mwingi anaandika baadhi ya vitu

    huyu ndo mfungua code wa kocha fadlu davies , huyu ndo anampa mifumo na uwezo wa timu inayotarajiwa kucheza na SIMBA , huyu ndo humpa udhaifu na ubora wa timu pinzani inayotarajiwa kucheza na SIMBA huyu ndo anajifungia ndani na kocha fadlu kumpa mrejesho wa perfomance ya mchezaji mmoja mmoja wa SIMBA baada ya kumalizika mazoezi

    Ni bwanamdogo sana ila uwezo wake unatisha sana ukizungumzia mafanikio ya RAJA CASABLANCA msimu uliopita basi moja kati ya waliochangia ni huyu jamaa na raja ikamaliza msimu uliopita ligi ya moroco wakiwa mabingwa na walimaliza msimu bila kufungwa (unbeaten)

    anaitwa MUEEZKAJEE ni mchambuzi wa video wa SIMBA SPORTS CLUB ( video &perfomance analysis) ni kijana mzaliwa wa africa kusini ila uwezo mkubwa sana , hata ile siku anaenda kuuambia uongozi wa RAJA kuwa anaondoka na anamfata kocha fadlu viongozi wa RAJA waliumia sana

    wote kwa pamoja walikuwa raja na msimu uliopita na wakaipa ubingwa namsimu huu wapo SIMBA wanaendelea kuwapa furaha wanasimba.


    #paulswai
    muda mwingi yeye yeye utamkuta anaiongoza camera drone (ndege isiyo na rubani) au anakuwa na peni na karatasi yako muda mwingi anaandika baadhi ya vitu huyu ndo mfungua code wa kocha fadlu davies , huyu ndo anampa mifumo na uwezo wa timu inayotarajiwa kucheza na SIMBA , huyu ndo humpa udhaifu na ubora wa timu pinzani inayotarajiwa kucheza na SIMBA huyu ndo anajifungia ndani na kocha fadlu kumpa mrejesho wa perfomance ya mchezaji mmoja mmoja wa SIMBA baada ya kumalizika mazoezi Ni bwanamdogo sana ila uwezo wake unatisha sana ukizungumzia mafanikio ya RAJA CASABLANCA msimu uliopita basi moja kati ya waliochangia ni huyu jamaa na raja ikamaliza msimu uliopita ligi ya moroco wakiwa mabingwa na walimaliza msimu bila kufungwa (unbeaten) anaitwa MUEEZKAJEE ni mchambuzi wa video wa SIMBA SPORTS CLUB ( video &perfomance analysis) ni kijana mzaliwa wa africa kusini ila uwezo mkubwa sana , hata ile siku anaenda kuuambia uongozi wa RAJA kuwa anaondoka na anamfata kocha fadlu viongozi wa RAJA waliumia sana wote kwa pamoja walikuwa raja na msimu uliopita na wakaipa ubingwa namsimu huu wapo SIMBA wanaendelea kuwapa furaha wanasimba. 👍👍👍👍🦁🦁🦁🦁 #paulswai
    Like
    2
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·1K Views
  • Chama kubwa SIMBA SC

    #paulswai
    Chama kubwa SIMBA SC 🦁 #paulswai
    Like
    2
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·444 Views
  • Kwa waliosahau msimamo wa Ligi Kuu ya NBC na Ligi Kuu ya Wanawake.

    Hali ipo hivi

    #paulswai
    📈 Kwa waliosahau msimamo wa Ligi Kuu ya NBC na Ligi Kuu ya Wanawake. Hali ipo hivi 😎 #paulswai
    Love
    1
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·646 Views
  • David Kameta 'DUCHU' baada ya kukosa nafasi ya kucheza mzuunguko wa kwanza wa ligi kuu ya NBC, kesho atakuwa sehemu ya kikosi kinachosafiri kuelekea Tabora pamoja na Manyara kwa ajili ya michezo ya ligi.

    DUCHU alikuwa na kiwango bora mechi iliyopita dhidi ya Kilimanjaro Wonders.

    #paulswai
    David Kameta 'DUCHU' baada ya kukosa nafasi ya kucheza mzuunguko wa kwanza wa ligi kuu ya NBC, kesho atakuwa sehemu ya kikosi kinachosafiri kuelekea Tabora pamoja na Manyara kwa ajili ya michezo ya ligi. DUCHU alikuwa na kiwango bora mechi iliyopita dhidi ya Kilimanjaro Wonders. #paulswai
    Like
    Love
    2
    · 1 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·665 Views
  • Marafiki wapendwa, naomba mjue kwamba hakuna changamoto isiyokuwa na mwisho. Hata katika nyakati ngumu, tuko pamoja na tutashinda. Kila mmoja wetu ana nguvu ya kupambana na kufikia malengo yake. Tusiache kutiana moyo na kuwa msaada kwa kila mmoja. Hakuna kitu kinachozidi nguvu ya urafiki na upendo wa dhati. Tuko pamoja, na tutashinda!
    Marafiki wapendwa, naomba mjue kwamba hakuna changamoto isiyokuwa na mwisho. Hata katika nyakati ngumu, tuko pamoja na tutashinda. Kila mmoja wetu ana nguvu ya kupambana na kufikia malengo yake. Tusiache kutiana moyo na kuwa msaada kwa kila mmoja. Hakuna kitu kinachozidi nguvu ya urafiki na upendo wa dhati. Tuko pamoja, na tutashinda!
    Love
    1
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·577 Views
  • Like
    Love
    3
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·387 Views
  • #socialpop
    #socialpop
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·909 Views
  • How can i call her
    How can i call her 😊
    Love
    1
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·393 Views