• "Tutaboresha uwezo wetu kwenye mchezo huu unaofuata na michezo inayokuja, Ligi si rahisi timu nyingi zinazokuja kwenye huu mzunguko wa pili wanajilinda sana kutokufungwa kwa hiyo nyingi zinaona bora kupata sare kuliko kupoteza alama zote tatu, walimu wanaliona hilo na wanalifanyia kazi" Mshery

    #timuyawananchi
    #daimambelenyumamwiko
    "Tutaboresha uwezo wetu kwenye mchezo huu unaofuata na michezo inayokuja, Ligi si rahisi timu nyingi zinazokuja kwenye huu mzunguko wa pili wanajilinda sana kutokufungwa kwa hiyo nyingi zinaona bora kupata sare kuliko kupoteza alama zote tatu, walimu wanaliona hilo na wanalifanyia kazi" Mshery #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·2K Views
  • Nini kimemkuta star alietamba na hit song zake kama#sorry.na nyingine kibao Star #Justinebieber. asee salimia watu pesa huisha wakuu
    Nini kimemkuta star alietamba na hit song zake kama#sorry.na nyingine kibao Star #Justinebieber. asee salimia watu pesa huisha wakuu🚶🚶
    Sad
    1
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·865 Views
  • Punguza ushauri kwenye maisha ya watu
    Punguza ushauri kwenye maisha ya watu 😂😂
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·408 Views ·2
  • Like
    1
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·207 Views
  • Like
    1
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·194 Views
  • Nchi ya Rwanda imesema kuwa mbinu za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ya kutaka kukomesha mikataba ya Rwanda kimataifa sio suluhisho kwa mzozo wa mashariki mwa DR Congo.

    Hii imekuja baada ya Serikali ya DR Congo kuandikia barua vilabu vya Arsenal FC, PSG na FC Bayern wakivitaka visitishe mikataba na Rwanda kwa madai kuwa Nchi hiyo inaunga mkono Waasi wa kundi la M23 na kuwa makubaliano hayo "yana damu".

    Nchi ya Rwanda 🇷🇼 imesema kuwa mbinu za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo 🇨🇩 ya kutaka kukomesha mikataba ya Rwanda kimataifa sio suluhisho kwa mzozo wa mashariki mwa DR Congo. Hii imekuja baada ya Serikali ya DR Congo kuandikia barua vilabu vya Arsenal FC, PSG na FC Bayern wakivitaka visitishe mikataba na Rwanda kwa madai kuwa Nchi hiyo inaunga mkono Waasi wa kundi la M23 na kuwa makubaliano hayo "yana damu".
    Like
    1
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·920 Views
  • Waziri wa Madini na Petroli wa Afrika Kusini , Gwede Mantashe, amesema katika kongamano la madini linaloendelea Nchini humo:

    "Kwa kweli, Marekani inachukua madini ya Afrika lakini inadai itaondoa ufadhili. Tuna madini katika bara hili, kwa hivyo tuna rasilimali—sisi si ombaomba." - amesema Mantashe

    Kauli hii inakuja kufuatia tamko la Rais wa Marekani , Donald Trump, aliyesema kuwa serikali yake itasitisha ufadhili kwa Afrika Kusini katika siku zijazo, akidai kuwa Nchi hiyo inanyakua ardhi na kunyanyasa Watu wa tabaka fulani.

    Waziri wa Madini na Petroli wa Afrika Kusini 🇿🇦 , Gwede Mantashe, amesema katika kongamano la madini linaloendelea Nchini humo: "Kwa kweli, Marekani inachukua madini ya Afrika lakini inadai itaondoa ufadhili. Tuna madini katika bara hili, kwa hivyo tuna rasilimali—sisi si ombaomba." - amesema Mantashe Kauli hii inakuja kufuatia tamko la Rais wa Marekani 🇺🇸, Donald Trump, aliyesema kuwa serikali yake itasitisha ufadhili kwa Afrika Kusini katika siku zijazo, akidai kuwa Nchi hiyo inanyakua ardhi na kunyanyasa Watu wa tabaka fulani.
    Like
    1
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·272 Views
  • “Naamini mimi ndiye mchezaji bora zaidi katika historia ya soka, hakuna aliyewahi kuwa bora kunizidi. Namba zinaongea , mimi ndiye mchezaji niliyekamilika zaidi kuwahi kutokea. Watu wanaweza kumpenda Messi, Maradona au Pele niliheshimu hilo lakini mimi ndiye mchezaji kamili zaidi na namba zinasema hivyo.”

    “Sijaona mchezaji bora kunizidi katika historia ya soka na nasema ukweli kutoka moyoni mwangu” - Cristiano Ronaldo, Mchezaji wa klabu ya Al Nasr.

    “Naamini mimi ndiye mchezaji bora zaidi katika historia ya soka, hakuna aliyewahi kuwa bora kunizidi. Namba zinaongea , mimi ndiye mchezaji niliyekamilika zaidi kuwahi kutokea. Watu wanaweza kumpenda Messi, Maradona au Pele niliheshimu hilo lakini mimi ndiye mchezaji kamili zaidi na namba zinasema hivyo.” “Sijaona mchezaji bora kunizidi katika historia ya soka na nasema ukweli kutoka moyoni mwangu” - Cristiano Ronaldo, Mchezaji wa klabu ya Al Nasr.
    Like
    1
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·611 Views

    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·593 Views
  • Like
    Love
    Angry
    7
    · 2 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·400 Views