• 0 Comments 0 Shares 38 Views
  • 0 Comments 0 Shares 37 Views
  • 0 Comments 0 Shares 37 Views
  • Kama uliangalia vizuri zile picha za "Best Man na Woman) kwenye harusi ya Jux, huenda ukaelewa hii "Posti" ya Diamond Platnumz. Sijui kwa nini Baba Lebo hajatoboa siri hii wakati tunajua kuwa Friji lake haligandishi .

    Mimi naishi na huyo mstari wa pili (2).

    Kama uliangalia vizuri zile picha za "Best Man na Woman) kwenye harusi ya Jux, huenda ukaelewa hii "Posti" ya Diamond Platnumz. Sijui kwa nini Baba Lebo hajatoboa siri hii wakati tunajua kuwa Friji lake haligandishi 馃槅. Mimi naishi na huyo mstari wa pili (2).
    0 Comments 0 Shares 93 Views
  • 0 Comments 0 Shares 37 Views
  • Na umoja wa klabu zinazodhaminiwa na Azam TV (Media) hatujafurahi hata kidogo .

    NB : Klabu zinazodhaminiwa na Azam TV ni klabu zote za Ligi Kuu Tanzania Bara.

    Na umoja wa klabu zinazodhaminiwa na Azam TV (Media) hatujafurahi hata kidogo 馃槅. NB : Klabu zinazodhaminiwa na Azam TV ni klabu zote za Ligi Kuu Tanzania Bara.
    0 Comments 0 Shares 91 Views
  • Harmonize akitoa ufafanuzi kuhusu madai kwamba wimbo wake mpya uitwao "X" kudaiwa kumuimbia Kajala.
    Harmonize akitoa ufafanuzi kuhusu madai kwamba wimbo wake mpya uitwao "X" kudaiwa kumuimbia Kajala.
    0 Comments 0 Shares 52 Views
  • Mzize Walid

    Nawasalimia Watu wote ambao huwa hawachagui kazi ya kufanya ili kujipatia kipato.
    Mzize Walid 馃檶 Nawasalimia Watu wote ambao huwa hawachagui kazi ya kufanya ili kujipatia kipato.
    0 Comments 0 Shares 48 Views
  • Kwa mujibu wa Tovuti ya The Guardian, Wananajeshi wa Jeshi la Ulinzi la Rwanda (RDF) wameripotiwa kuuawa katika operesheni za siri Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo . Kuuawa kwa Wanajeshi hao katika operesheni hiyo kunapingana na msimamo wa Serikali ya Rwanda inayodai Askari wake hawahusiki wala kushiriki katika mzozo unaoendelea kati ya kundi la M23 na Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo .

    Taarifa hiyo iliyochapishwa na tovuti ya The Guardian imedai kuwa vyanzo mbalimbali vya kijasusi, kijeshi na kidiplomasia vinasema idadi ya Wanajeshi wa RDF waliouawa ni kubwa, huku wakidai walikuwa wakisaidia mashambulizi yanayofanywa na Waasi wa M23 ndani ya DR Congo.

    Picha za Setilaiti zilizopigwa katika makaburi ya kijeshi yaliyoko Jijini Kigali, Nchini Rwanda, zimethibitisha kuonekana kwa makaburi mapya yasiyopungua 600 yaliyopatikana tangu Waasi wa M23, wanaodaiwa kuungwa mkono na Rwanda, walipoanza operesheni zao ndani ya DR Congo miaka mitatu iliyopita.

    Kwa mujibu wa Tovuti ya The Guardian, Wananajeshi wa Jeshi la Ulinzi la Rwanda 馃嚪馃嚰 (RDF) wameripotiwa kuuawa katika operesheni za siri Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo 馃嚚馃嚛. Kuuawa kwa Wanajeshi hao katika operesheni hiyo kunapingana na msimamo wa Serikali ya Rwanda inayodai Askari wake hawahusiki wala kushiriki katika mzozo unaoendelea kati ya kundi la M23 na Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo 馃嚚馃嚛. Taarifa hiyo iliyochapishwa na tovuti ya The Guardian imedai kuwa vyanzo mbalimbali vya kijasusi, kijeshi na kidiplomasia vinasema idadi ya Wanajeshi wa RDF waliouawa ni kubwa, huku wakidai walikuwa wakisaidia mashambulizi yanayofanywa na Waasi wa M23 ndani ya DR Congo. Picha za Setilaiti zilizopigwa katika makaburi ya kijeshi yaliyoko Jijini Kigali, Nchini Rwanda, zimethibitisha kuonekana kwa makaburi mapya yasiyopungua 600 yaliyopatikana tangu Waasi wa M23, wanaodaiwa kuungwa mkono na Rwanda, walipoanza operesheni zao ndani ya DR Congo miaka mitatu iliyopita.
    0 Comments 0 Shares 59 Views
  • #Blame your self
    #Blame your self馃悵
    Sad
    1
    0 Comments 0 Shares 88 Views