• Kwa mujibu wa Tovuti ya The Guardian, Wananajeshi wa Jeshi la Ulinzi la Rwanda (RDF) wameripotiwa kuuawa katika operesheni za siri Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo . Kuuawa kwa Wanajeshi hao katika operesheni hiyo kunapingana na msimamo wa Serikali ya Rwanda inayodai Askari wake hawahusiki wala kushiriki katika mzozo unaoendelea kati ya kundi la M23 na Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo .

    Taarifa hiyo iliyochapishwa na tovuti ya The Guardian imedai kuwa vyanzo mbalimbali vya kijasusi, kijeshi na kidiplomasia vinasema idadi ya Wanajeshi wa RDF waliouawa ni kubwa, huku wakidai walikuwa wakisaidia mashambulizi yanayofanywa na Waasi wa M23 ndani ya DR Congo.

    Picha za Setilaiti zilizopigwa katika makaburi ya kijeshi yaliyoko Jijini Kigali, Nchini Rwanda, zimethibitisha kuonekana kwa makaburi mapya yasiyopungua 600 yaliyopatikana tangu Waasi wa M23, wanaodaiwa kuungwa mkono na Rwanda, walipoanza operesheni zao ndani ya DR Congo miaka mitatu iliyopita.

    Kwa mujibu wa Tovuti ya The Guardian, Wananajeshi wa Jeshi la Ulinzi la Rwanda 🇷🇼 (RDF) wameripotiwa kuuawa katika operesheni za siri Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo 🇨🇩. Kuuawa kwa Wanajeshi hao katika operesheni hiyo kunapingana na msimamo wa Serikali ya Rwanda inayodai Askari wake hawahusiki wala kushiriki katika mzozo unaoendelea kati ya kundi la M23 na Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo 🇨🇩. Taarifa hiyo iliyochapishwa na tovuti ya The Guardian imedai kuwa vyanzo mbalimbali vya kijasusi, kijeshi na kidiplomasia vinasema idadi ya Wanajeshi wa RDF waliouawa ni kubwa, huku wakidai walikuwa wakisaidia mashambulizi yanayofanywa na Waasi wa M23 ndani ya DR Congo. Picha za Setilaiti zilizopigwa katika makaburi ya kijeshi yaliyoko Jijini Kigali, Nchini Rwanda, zimethibitisha kuonekana kwa makaburi mapya yasiyopungua 600 yaliyopatikana tangu Waasi wa M23, wanaodaiwa kuungwa mkono na Rwanda, walipoanza operesheni zao ndani ya DR Congo miaka mitatu iliyopita.
    0 Comments ·0 Shares ·609 Views
  • #Blame your self
    #Blame your self🐝
    Sad
    1
    · 0 Comments ·0 Shares ·544 Views
  • LEVEL NILIO IFIKIA,WANACHAKUJIFUNZA
    LEVEL NILIO IFIKIA,WANACHAKUJIFUNZA
    Like
    1
    · 0 Comments ·0 Shares ·336 Views
  • Haloooooo!!!
    Haloooooo!!!
    Yay
    1
    · 0 Comments ·0 Shares ·326 Views ·1
  • Kwa nini rais wa Congo, Félix Tshisekedi, hakudhuria huu mkutano huu muhimu wa kujadili mambo ya kiusalama ndani ya nchi yake ya Congo?

    Hakuna excuse inayoweza kuelezea dharau na kukosa heshima ambayo amezionyesha taasisi hizi mbili—EAC & SADC.

    Shuka nayo
    Kwa nini rais wa Congo, Félix Tshisekedi, hakudhuria huu mkutano huu muhimu wa kujadili mambo ya kiusalama ndani ya nchi yake ya Congo? Hakuna excuse inayoweza kuelezea dharau na kukosa heshima ambayo amezionyesha taasisi hizi mbili—EAC & SADC. Shuka nayo ⤵️
    0 Comments ·0 Shares ·411 Views
  • Hii joint meeting imehudhuriwa na viongozi karibu wote wa SADC na EAC kwa kutambua umuhimu wake kwa usalama eneo la maziwa makuu.

    Viongozi hawa wanajua kuwa usalama wa eneo hili ni muhimu kwa ustawi wa kanda nzima, hasa ikizingatiwa mizozo ya muda mrefu kama ile ya Mashariki mwa DRC.

    Lakini pia hata viongozi ambao nchi zao zimekuwa kwenye msuguano kwenye mgogoro wa Congo wamehushuria. Paul Kagame wa Rwanda na Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini wamehudhuria pia.

    Wote tunakumbuka kwamba hivi karibuni Kagame na Ramaphosa walikuwa kwenye uhasama hawa kwa sababu ya tuhuma zinazoelekewa kwa Rwanda kwamba wanawaunda mkono M23, kundi la waasi linalohusishwa na kuvuruga amani Mashariki mwa DRC.

    Hata hivyo, Tshisekedi ameshindwa kuona umuhimu wa mkutano huu mpaka kumtuma mwakilishi badala yake?

    Hii inaashiria kutokuwa na ushirikiano wa kutosha au kutokubaliana na juhudi za kutatua mgogoro huu kwa njia ya kidiplomasia.

    Is this a sign of deeper political divisions within the DRC or a strategic move to maintain sovereignty?..
    Hii joint meeting imehudhuriwa na viongozi karibu wote wa SADC na EAC kwa kutambua umuhimu wake kwa usalama eneo la maziwa makuu. Viongozi hawa wanajua kuwa usalama wa eneo hili ni muhimu kwa ustawi wa kanda nzima, hasa ikizingatiwa mizozo ya muda mrefu kama ile ya Mashariki mwa DRC. Lakini pia hata viongozi ambao nchi zao zimekuwa kwenye msuguano kwenye mgogoro wa Congo wamehushuria. Paul Kagame wa Rwanda na Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini wamehudhuria pia. Wote tunakumbuka kwamba hivi karibuni Kagame na Ramaphosa walikuwa kwenye uhasama hawa kwa sababu ya tuhuma zinazoelekewa kwa Rwanda kwamba wanawaunda mkono M23, kundi la waasi linalohusishwa na kuvuruga amani Mashariki mwa DRC. Hata hivyo, Tshisekedi ameshindwa kuona umuhimu wa mkutano huu mpaka kumtuma mwakilishi badala yake? Hii inaashiria kutokuwa na ushirikiano wa kutosha au kutokubaliana na juhudi za kutatua mgogoro huu kwa njia ya kidiplomasia. Is this a sign of deeper political divisions within the DRC or a strategic move to maintain sovereignty?..
    0 Comments ·0 Shares ·685 Views
  • Love
    1
    · 0 Comments ·0 Shares ·255 Views
  • #Sports Elite kwenye ligi ya uingereza ni timu mbili pekee zilizowahi kubeba makombe makubwa msimu mzima(treble)
    #Sports Elite kwenye ligi ya uingereza ni timu mbili pekee zilizowahi kubeba makombe makubwa msimu mzima(treble)
    Love
    1
    · 0 Comments ·0 Shares ·243 Views
  • #SportsElite haya wababe wa hizi harakati taja jina la staa hapo...
    #SportsElite haya wababe wa hizi harakati taja jina la staa hapo...
    Like
    1
    · 0 Comments ·0 Shares ·250 Views
  • #SportsElite kikosi kinachoanza dhidi ya Sevilla
    #SportsElite kikosi kinachoanza dhidi ya Sevilla
    Wow
    1
    · 0 Comments ·0 Shares ·258 Views