Résultats de Recherche
Voir tous les résulats
Socialpop Socialpop Socialpop
Domicile
Groupes
Pages
Marketplace
Plus
Groupes Pages Marketplace Evènements Blogs Financement Offres Emplois Courses Forums Film
Nous rejoindre
Se connecter S’enregistrer
Sélecteur de thème
Mode nuit
Annuaire
Utilisateurs
Articles
Pages
Groupes
Evènements
  • Dullah Tz98 @DullahX98 a ajouté une photo
    2025-02-10 18:38:34 ·
    Love
    1
    · 0 Commentaires ·0 Parts ·153 Vue
    Connectez-vous pour aimer, partager et commenter!
  • Dullah Tz98 @DullahX98 a ajouté une photo
    2025-02-10 18:38:47 ·
    Love
    1
    · 0 Commentaires ·0 Parts ·152 Vue
    Connectez-vous pour aimer, partager et commenter!
  • Dullah Tz98 @DullahX98 a ajouté une photo
    2025-02-10 18:38:59 ·
    Like
    1
    · 0 Commentaires ·0 Parts ·205 Vue
    Connectez-vous pour aimer, partager et commenter!
  • Dullah Tz98 @DullahX98 a ajouté une photo
    2025-02-10 18:39:10 ·
    Haha
    1
    · 0 Commentaires ·0 Parts ·211 Vue
    Connectez-vous pour aimer, partager et commenter!
  • Dullah Tz98 @DullahX98 a ajouté une photo
    2025-02-10 18:39:22 ·
    Like
    1
    · 0 Commentaires ·0 Parts ·204 Vue
    Connectez-vous pour aimer, partager et commenter!
  • Dullah Tz98 @DullahX98 a ajouté une photo
    2025-02-10 18:39:35 ·
    0 Commentaires ·0 Parts ·208 Vue
    Connectez-vous pour aimer, partager et commenter!
  • Dullah Tz98 @DullahX98 a ajouté une photo
    2025-02-10 18:40:14 ·
    0 Commentaires ·0 Parts ·206 Vue
    Connectez-vous pour aimer, partager et commenter!
  • Dullah Tz98 @DullahX98 a ajouté une photo
    2025-02-10 18:43:01 ·
    Kama ukijaaliwa kufikia mwaka 2030 basi tambua mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani utakua mara mbili (2) ambapo mara ya kwanza (1) Waislam watafunga mwezi wa Januari na mfungo wa pili (2) watafunga mwezi wa Disemba. Hii ni kwa sababu ya kalenda ya Kiislamu inakua inatangulia siku kumi (10) mbele ya kalenda ya Gregory ambapo huhama mapema kila mwaka.

    Hivyo, mnamo mwaka 2030 Mwezi wa Ramadhani utatarajiwa kuanza tarehe 4 Januari na kujirudia tena Mwezi Desemba Tarehe 26, 2030. Mara ya mwisho kutokea Ramadhani mbali (2) ndani ya mwaka mmoja (kalenda ya Gregory) ilikua mwaka 1997 kwa maana hiyo imepita miaka (28) tangu litokee tukio hilo hadi kutokea tena mwaka 2030 kisha litaweza kujirudia tena ifikapo mwaka 2063.

    Kama ukijaaliwa kufikia mwaka 2030 basi tambua mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani utakua mara mbili (2) ambapo mara ya kwanza (1) Waislam watafunga mwezi wa Januari na mfungo wa pili (2) watafunga mwezi wa Disemba. Hii ni kwa sababu ya kalenda ya Kiislamu inakua inatangulia siku kumi (10) mbele ya kalenda ya Gregory ambapo huhama mapema kila mwaka. Hivyo, mnamo mwaka 2030 Mwezi wa Ramadhani utatarajiwa kuanza tarehe 4 Januari na kujirudia tena Mwezi Desemba Tarehe 26, 2030. Mara ya mwisho kutokea Ramadhani mbali (2) ndani ya mwaka mmoja (kalenda ya Gregory) ilikua mwaka 1997 kwa maana hiyo imepita miaka (28) tangu litokee tukio hilo hadi kutokea tena mwaka 2030 kisha litaweza kujirudia tena ifikapo mwaka 2063.
    0 Commentaires ·0 Parts ·285 Vue
    Connectez-vous pour aimer, partager et commenter!
  • Dullah Tz98 @DullahX98 a ajouté une photo
    2025-02-10 18:43:15 ·
    Love
    1
    · 0 Commentaires ·0 Parts ·185 Vue
    Connectez-vous pour aimer, partager et commenter!
  • Dullah Tz98 @DullahX98 a ajouté une photo
    2025-02-10 18:44:06 ·
    Rais wa Nchi ya Rwanda , Paul Kagame ameendelea kukanusha madai kuwa wao kuwa ndiyo chanzo cha mgogoro wa Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kwa kusema kuwa huo ni mgogoro wa ndani ya DR Congo na hautoki nje ya Congo na suluhu lazima itoke kwa Serikali ya Nchi hiyo.

    Ikumbukwe kwamba Rais Paul Kagame alihudhuria mkutano wa Marais wa Afrika Mashariki na Kusini mwa Afrika Febuari 8,2025 uliojadili namna gani ya kurudisha usalama Nchini DR Congo ambapo Waasi wa kundi la M23 wameiteka Mkoa wa Kivu Kaskazini.

    Rais wa Nchi ya Rwanda 🇷🇼, Paul Kagame ameendelea kukanusha madai kuwa wao kuwa ndiyo chanzo cha mgogoro wa Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo 🇨🇩 kwa kusema kuwa huo ni mgogoro wa ndani ya DR Congo na hautoki nje ya Congo na suluhu lazima itoke kwa Serikali ya Nchi hiyo. Ikumbukwe kwamba Rais Paul Kagame alihudhuria mkutano wa Marais wa Afrika Mashariki na Kusini mwa Afrika Febuari 8,2025 uliojadili namna gani ya kurudisha usalama Nchini DR Congo ambapo Waasi wa kundi la M23 wameiteka Mkoa wa Kivu Kaskazini.
    0 Commentaires ·0 Parts ·379 Vue
    Connectez-vous pour aimer, partager et commenter!
  • Affichage (22851-22860 de 32689)
  • «
  • Préc.
  • 2284
  • 2285
  • 2286
  • 2287
  • 2288
  • Étape Suivante
  • »
Mise à niveau vers Pro
Choisissez le forfait qui vous convient
Mise à niveau
© 2025 Socialpop
French
English Arabic French Spanish Portuguese Deutsch Turkish Dutch Italiano Russian Romaian Portuguese (Brazil) Greek
Environ Conditions générale de vente Confidentialité Contactez nous Annuaire Développeurs