0 Commenti
路0 condivisioni
路48 Views
-
-
-
-
-
Kama ukijaaliwa kufikia mwaka 2030 basi tambua mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani utakua mara mbili (2) ambapo mara ya kwanza (1) Waislam watafunga mwezi wa Januari na mfungo wa pili (2) watafunga mwezi wa Disemba. Hii ni kwa sababu ya kalenda ya Kiislamu inakua inatangulia siku kumi (10) mbele ya kalenda ya Gregory ambapo huhama mapema kila mwaka.
Hivyo, mnamo mwaka 2030 Mwezi wa Ramadhani utatarajiwa kuanza tarehe 4 Januari na kujirudia tena Mwezi Desemba Tarehe 26, 2030. Mara ya mwisho kutokea Ramadhani mbali (2) ndani ya mwaka mmoja (kalenda ya Gregory) ilikua mwaka 1997 kwa maana hiyo imepita miaka (28) tangu litokee tukio hilo hadi kutokea tena mwaka 2030 kisha litaweza kujirudia tena ifikapo mwaka 2063.
Kama ukijaaliwa kufikia mwaka 2030 basi tambua mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani utakua mara mbili (2) ambapo mara ya kwanza (1) Waislam watafunga mwezi wa Januari na mfungo wa pili (2) watafunga mwezi wa Disemba. Hii ni kwa sababu ya kalenda ya Kiislamu inakua inatangulia siku kumi (10) mbele ya kalenda ya Gregory ambapo huhama mapema kila mwaka. Hivyo, mnamo mwaka 2030 Mwezi wa Ramadhani utatarajiwa kuanza tarehe 4 Januari na kujirudia tena Mwezi Desemba Tarehe 26, 2030. Mara ya mwisho kutokea Ramadhani mbali (2) ndani ya mwaka mmoja (kalenda ya Gregory) ilikua mwaka 1997 kwa maana hiyo imepita miaka (28) tangu litokee tukio hilo hadi kutokea tena mwaka 2030 kisha litaweza kujirudia tena ifikapo mwaka 2063.0 Commenti 路0 condivisioni 路99 Views -
-
Rais wa Nchi ya Rwanda , Paul Kagame ameendelea kukanusha madai kuwa wao kuwa ndiyo chanzo cha mgogoro wa Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kwa kusema kuwa huo ni mgogoro wa ndani ya DR Congo na hautoki nje ya Congo na suluhu lazima itoke kwa Serikali ya Nchi hiyo.
Ikumbukwe kwamba Rais Paul Kagame alihudhuria mkutano wa Marais wa Afrika Mashariki na Kusini mwa Afrika Febuari 8,2025 uliojadili namna gani ya kurudisha usalama Nchini DR Congo ambapo Waasi wa kundi la M23 wameiteka Mkoa wa Kivu Kaskazini.
Rais wa Nchi ya Rwanda 馃嚪馃嚰, Paul Kagame ameendelea kukanusha madai kuwa wao kuwa ndiyo chanzo cha mgogoro wa Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo 馃嚚馃嚛 kwa kusema kuwa huo ni mgogoro wa ndani ya DR Congo na hautoki nje ya Congo na suluhu lazima itoke kwa Serikali ya Nchi hiyo. Ikumbukwe kwamba Rais Paul Kagame alihudhuria mkutano wa Marais wa Afrika Mashariki na Kusini mwa Afrika Febuari 8,2025 uliojadili namna gani ya kurudisha usalama Nchini DR Congo ambapo Waasi wa kundi la M23 wameiteka Mkoa wa Kivu Kaskazini.0 Commenti 路0 condivisioni 路59 Views -
-
Miongon mwa ndugu walio wai kucheza soka ligi Moja ipi ni couple Yako bora kuwai kuishuhudia ###@Miongon mwa ndugu walio wai kucheza soka ligi Moja ipi ni couple Yako bora kuwai kuishuhudia ###@馃敟馃敟馃敟馃敟馃敟馃敟馃敟馃敟馃敟馃敟馃敟馃敟0 Commenti 路0 condivisioni 路14 Views