• They wish that every time they see us we cry, but God saves us from their desires.
    Say amen if you believe God can save you from your enemies.
    They wish that every time they see us we cry, but God saves us from their desires. 🙏🙏🙏Say amen if you believe God can save you from your enemies.
    0 Commentaires ·0 Parts ·51 Vue
  • 0 Commentaires ·0 Parts ·40 Vue
  • Rais wa Marekani , Donald Trump ameonya kuwa kama kundi la Hamas (Gaza) hawatawaachilia mateka wote wa Nchi ya Israel kufikia Jumamosi ya Wiki hii basi Dunia itashuhudia mashambulizi halisi katika eneo hilo. Onyo la Trump linakuja siku moja baada ya Kundi la Wapiganaji wa Hamas kuvunja makubaliano ya usitishwaji vita na Israel kwa kugoma kuendelea na zoezi la kuwaachia huru mateka wa Israel mpaka watakapotoa taarifa nyingine.

    Uamuzi huo wa Hamas umekuja siku chache baada ya Viongozi wake Wakuu kufanya ziara Nchini Iran na kukutana na Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khemenei ambaye aliwapongeza kwa kuendelea kusimama imara dhidi ya Israel. Trump wiki iliyopita alionya kuwa Gaza haitofaa kuwa eneo la kuishi chini ya Uongozi wa Hamas na kupendekeza kwamba Marekani ingependa kulichukua eneo hilo na kulisimamia huku Wakazi wa eneo hilo wakihamishiwa Nchi za Misri na Jordan .

    Rais huyo wa Marekani alisema Marekani ipo tayari kulinunua eneo hilo na kulimiliki na kuahidi kwamba Marekani italijenga na kulifanya kuwa eneo zuri la mfano Mashariki ya Kati. Kiufupi kundi la Hamas wanacheza na moto kwa sasa, Waziri wa ulinzi wa Israel, Israel Katz ameviagiza Vikosi vya Israel kukaa tayari kwa mashambulizi mapya iwapo Kundi hilo la Hamas likigoma kutii maelekezo ya kuachia mateka.

    Marekani ndio imekuwa Nchi inayoipa misaada mikubwa ya kibinadamu na kiuchumi Gaza pamoja na kuizuia Israel kutokuifutilia mbali Gaza kwa miaka mingi sasa ambapo Hamas imekua ikifanya uchokozi. Ikumbukwe Trump ni kati ya Viongozi wa Marekani ambaye ana msimamo mkali mno dhidi ya kundi la Hamas na tokea kuanza kwa mapigano Oktoba 7 mwaka 2023 Trump alisema Israel inachopaswa kufanya ni kulifutilia mbali kundi hilo.

    Rais wa Marekani 🇺🇸, Donald Trump ameonya kuwa kama kundi la Hamas (Gaza) hawatawaachilia mateka wote wa Nchi ya Israel 🇮🇱 kufikia Jumamosi ya Wiki hii basi Dunia itashuhudia mashambulizi halisi katika eneo hilo. Onyo la Trump linakuja siku moja baada ya Kundi la Wapiganaji wa Hamas kuvunja makubaliano ya usitishwaji vita na Israel kwa kugoma kuendelea na zoezi la kuwaachia huru mateka wa Israel mpaka watakapotoa taarifa nyingine. Uamuzi huo wa Hamas umekuja siku chache baada ya Viongozi wake Wakuu kufanya ziara Nchini Iran 🇮🇷 na kukutana na Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khemenei ambaye aliwapongeza kwa kuendelea kusimama imara dhidi ya Israel. Trump wiki iliyopita alionya kuwa Gaza haitofaa kuwa eneo la kuishi chini ya Uongozi wa Hamas na kupendekeza kwamba Marekani ingependa kulichukua eneo hilo na kulisimamia huku Wakazi wa eneo hilo wakihamishiwa Nchi za Misri 🇪🇬 na Jordan 🇯🇴. Rais huyo wa Marekani alisema Marekani ipo tayari kulinunua eneo hilo na kulimiliki na kuahidi kwamba Marekani italijenga na kulifanya kuwa eneo zuri la mfano Mashariki ya Kati. Kiufupi kundi la Hamas wanacheza na moto kwa sasa, Waziri wa ulinzi wa Israel, Israel Katz ameviagiza Vikosi vya Israel kukaa tayari kwa mashambulizi mapya iwapo Kundi hilo la Hamas likigoma kutii maelekezo ya kuachia mateka. Marekani ndio imekuwa Nchi inayoipa misaada mikubwa ya kibinadamu na kiuchumi Gaza pamoja na kuizuia Israel kutokuifutilia mbali Gaza kwa miaka mingi sasa ambapo Hamas imekua ikifanya uchokozi. Ikumbukwe Trump ni kati ya Viongozi wa Marekani ambaye ana msimamo mkali mno dhidi ya kundi la Hamas na tokea kuanza kwa mapigano Oktoba 7 mwaka 2023 Trump alisema Israel inachopaswa kufanya ni kulifutilia mbali kundi hilo.
    Like
    1
    · 0 Commentaires ·0 Parts ·110 Vue
  • SHEREHEKEENI PAMOJA SIKU YENU

    Picha inaiieleza kwamba ni ya mwaka 1948, waasisi wa klabu ya Yanga wakiwa na wenzao wa Africa Sports ya Zanzibar.

    Picha hii inatufundisha kwamba Muungano wa Tanganyika na Zanzibar haukuwa mwaka 1964 bali zamani sana...mwaka 1964 ulikuwa mkataba tu.

    Na hata kutengana kuliletwa na wakoloni, wakaweka mipaka na kuigawana ardhi...mjerumani akachukua Bara na mwingereza akachukua Zanzibar.

    Lakini kabla ya mipaka yao, hii nchi ilikuwa moja tu, na hata mji wa Dar es Salaam ulianzishwa na Sultan Majid wa Zanzibar.

    Yaani aliamua tu kutoka sehemu moja ya nchi yake na kwenda kuanzisha mji sehemu nyingine ya nchi yake.

    Lakini hilo lengo la andiko hili...

    Lengo la kuandika hapa ni kutaka kuwakumbusha watu kwamba waliopo kwenye picha ni waasisi wa Yanga, na pia hawa ndiyo waasisi wa Simba.

    Na hii ni kwa sababu walioanzisha Simba ni wale wale walioanzisha Yanga, lakini wakajitenga na wenzao.

    Ni hivi

    Kulikuwa na timu iliyoitwa New Young, ambayo ilianzishwa mwaka 1935 na kuanza kushiriki ligi mwaka huo huo.

    Wakati huo ligi ilikuwa moja tu, ya Dar es Salaam...na Dar es Salaam yenyewe ilikuwa wilaya ya jimbo la Mashariki.

    Hakukuwa na ligi nyingine yoyote nchini, japo miaka michache baadaye wilaya zingine nazo zikaanzisha ligi...ikianza wilaya ya Iringa. Stori yake itakuja siku nyingine.

    Ligi ya Dar es Salaam ambayo ilianza 1929 ikiwa na daraja moja tu, la kwanza...ilikua na kuongeza daraja la pili kwenye miaka ya 1930.

    Kwa hiyo New Young ilipojiunga na ligi mwaka 1935, ikaanzia daraja la pili.

    Ikashinda ubingwa na kupanda daraja la kwanza, mwaka 1936. Hata hivyo ilicheza ligi kwa mtindo wa VIEW ONCE kwani ilishuka mwaka huo huo.

    Kushuka kwao ndiko kulikoleta mpasuko na wengine kujitenga.

    Waliojitenga ndiyo hawa ambao sasa ni Simba, na waliobaki wakabadili jina kutoka New Young na kujiita Young Africans ambao ndiyo Yanga.

    Lakini hawa watu walikuwa pamoja mwaka mmoja tu uliopita...na ndiyo waliopo kwenye picha hii.

    Kwa hiyo leo inatakiwa hii sherehe iwe yao wote! Happy Birthday Yanga na Simba. Furahieni siku yenu kwa amani. Sisi tunajua nyinyi ni ndugu ila mnatuzuga tu!
    (Zakazakazi )

    SHEREHEKEENI PAMOJA SIKU YENU Picha inaiieleza kwamba ni ya mwaka 1948, waasisi wa klabu ya Yanga wakiwa na wenzao wa Africa Sports ya Zanzibar. Picha hii inatufundisha kwamba Muungano wa Tanganyika na Zanzibar haukuwa mwaka 1964 bali zamani sana...mwaka 1964 ulikuwa mkataba tu. Na hata kutengana kuliletwa na wakoloni, wakaweka mipaka na kuigawana ardhi...mjerumani akachukua Bara na mwingereza akachukua Zanzibar. Lakini kabla ya mipaka yao, hii nchi ilikuwa moja tu, na hata mji wa Dar es Salaam ulianzishwa na Sultan Majid wa Zanzibar. Yaani aliamua tu kutoka sehemu moja ya nchi yake na kwenda kuanzisha mji sehemu nyingine ya nchi yake. Lakini hilo lengo la andiko hili... Lengo la kuandika hapa ni kutaka kuwakumbusha watu kwamba waliopo kwenye picha ni waasisi wa Yanga, na pia hawa ndiyo waasisi wa Simba. Na hii ni kwa sababu walioanzisha Simba ni wale wale walioanzisha Yanga, lakini wakajitenga na wenzao. Ni hivi Kulikuwa na timu iliyoitwa New Young, ambayo ilianzishwa mwaka 1935 na kuanza kushiriki ligi mwaka huo huo. Wakati huo ligi ilikuwa moja tu, ya Dar es Salaam...na Dar es Salaam yenyewe ilikuwa wilaya ya jimbo la Mashariki. Hakukuwa na ligi nyingine yoyote nchini, japo miaka michache baadaye wilaya zingine nazo zikaanzisha ligi...ikianza wilaya ya Iringa. Stori yake itakuja siku nyingine. Ligi ya Dar es Salaam ambayo ilianza 1929 ikiwa na daraja moja tu, la kwanza...ilikua na kuongeza daraja la pili kwenye miaka ya 1930. Kwa hiyo New Young ilipojiunga na ligi mwaka 1935, ikaanzia daraja la pili. Ikashinda ubingwa na kupanda daraja la kwanza, mwaka 1936. Hata hivyo ilicheza ligi kwa mtindo wa VIEW ONCE kwani ilishuka mwaka huo huo. Kushuka kwao ndiko kulikoleta mpasuko na wengine kujitenga. Waliojitenga ndiyo hawa ambao sasa ni Simba, na waliobaki wakabadili jina kutoka New Young na kujiita Young Africans ambao ndiyo Yanga. Lakini hawa watu walikuwa pamoja mwaka mmoja tu uliopita...na ndiyo waliopo kwenye picha hii. Kwa hiyo leo inatakiwa hii sherehe iwe yao wote! Happy Birthday Yanga na Simba. Furahieni siku yenu kwa amani. Sisi tunajua nyinyi ni ndugu ila mnatuzuga tu! (Zakazakazi ✍️)
    Love
    1
    · 0 Commentaires ·0 Parts ·46 Vue
  • #SportsElite...Manchester United wako tayari kuwasilisha dau la £33.3m (euro 40m) kwa beki wa kushoto wa Barcelona mwenye umri wa miaka 21 Alejandro Balde msimu ujao. (El Nacional - Spanish)

    Newcastle wanapanga kutoa dau la pauni milioni 33.3 (euro milioni 40) msimu ujao kwa mshambuliaji wa PSV Eindhoven na Ubelgiji Johan Bakayoko, 21. (Tuttosport – In Italy)

    Newcastle pia wanatazamiwa kuzipiku Barcelona na Real Madrid katika usajili wa bure wa winga wa Uhispania chini ya umri wa miaka 19 Antonio Cordero, 18, ambaye mkataba wake wa Malaga unamalizika msimu huu wa joto. (Mail)

    Manchester United na Chelsea wanavutiwa na mshambuliaji wa Ipswich Mwingereza Liam Delap, 22. (Football Insider)
    #SportsElite🌏...Manchester United wako tayari kuwasilisha dau la £33.3m (euro 40m) kwa beki wa kushoto wa Barcelona mwenye umri wa miaka 21 Alejandro Balde msimu ujao. (El Nacional - Spanish) Newcastle wanapanga kutoa dau la pauni milioni 33.3 (euro milioni 40) msimu ujao kwa mshambuliaji wa PSV Eindhoven na Ubelgiji Johan Bakayoko, 21. (Tuttosport – In Italy) Newcastle pia wanatazamiwa kuzipiku Barcelona na Real Madrid katika usajili wa bure wa winga wa Uhispania chini ya umri wa miaka 19 Antonio Cordero, 18, ambaye mkataba wake wa Malaga unamalizika msimu huu wa joto. (Mail) Manchester United na Chelsea wanavutiwa na mshambuliaji wa Ipswich Mwingereza Liam Delap, 22. (Football Insider)
    Love
    1
    · 0 Commentaires ·0 Parts ·40 Vue
  • #SportsElite #UEFA...Manchester City itamenyana na Real Madrid katika nusu fainali ya kombe la Ligi ya Mabingwa siku ya Jumanne Uwanjani Etihad.

    City ilifikia kiwango hiki baada ya kumaliza nafasi ya 22 kwenye jedwali lililopangwa upya la kombe la Ligi ya Mabingwa kuanzia msimu huu.

    Real Madrid, ambao walishinda Ligi ya Mabingwa mara ya 15 kwa jumla msimu uliopita, walimaliza katika nafasi ya 11 kwenye jedwali, wakiwa wameshinda mechi tano kati ya nane na kupoteza tatu.

    Hii itakuwa mara ya tano kwa City na Real kukutana katika misimu sita iliyopita.
    #SportsElite #UEFA...Manchester City itamenyana na Real Madrid katika nusu fainali ya kombe la Ligi ya Mabingwa siku ya Jumanne Uwanjani Etihad. City ilifikia kiwango hiki baada ya kumaliza nafasi ya 22 kwenye jedwali lililopangwa upya la kombe la Ligi ya Mabingwa kuanzia msimu huu. Real Madrid, ambao walishinda Ligi ya Mabingwa mara ya 15 kwa jumla msimu uliopita, walimaliza katika nafasi ya 11 kwenye jedwali, wakiwa wameshinda mechi tano kati ya nane na kupoteza tatu. Hii itakuwa mara ya tano kwa City na Real kukutana katika misimu sita iliyopita.
    Love
    1
    · 0 Commentaires ·0 Parts ·77 Vue
  • 0 Commentaires ·0 Parts ·6 Vue
  • 1 Commentaires ·0 Parts ·8 Vue
  • #SportsElite Mwamba João Felix ndani ya AC Milan
    #SportsElite🇮🇹 Mwamba João Felix ndani ya AC Milan
    0 Commentaires ·0 Parts ·4 Vue
  • 😂😂😂
    0 Commentaires ·0 Parts ·3 Vue