0 Commenti
·0 condivisioni
·226 Views
·14999
-
-
-
#SportsElite 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Pau Cubarsí ameingeza kandarasi mpya hadi June 2029, club clabu ya Barcelona imethibitisha hilo
#SportsElite🇪🇸 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Pau Cubarsí ameingeza kandarasi mpya hadi June 2029, club clabu ya Barcelona imethibitisha hilo 🔵🔴✨ -
-
-
TBT ya Haji Manara
"September 2007 nikiwa kijana Mdogo na nikiwa kiongozi wa Chama changu na hapo ni fresh from School kule Beijing China.
Kipindi hicho nna madini ya hatari kuhusu taaluma ya Propaganda na Uenezi,enzi ambazo nilikuwa naweza kukuaminisha Jiwe ni Keki
Enzi ambazo nilikuwa naweza kuwavusha hata kuku barabarani kwa maneno tu,
Ni zile zile zama nilizowaaminisha Barcelona haichomoki kwa Mkapa, tena Barcelona kweli ya Xavi ,Iniesta na kina Messi.
Taaluma iliyonipa ujasiri wa kusema na kuamini tutafuzu kwa AFCON ya 2019 kule Misri,wakati huo tukiwa chini kwenye msimamo wa kundi letu, na Nchi nzima ikiwa imejikatia tamaa ya kwenda Cairo.
Bila kusahau one day kule Paris France niliposahau Passport hotelini na siku hiyo tulisimamishwa na Manjagu njiani nikiwa na wenzangu ambao walikuwa Kamil Gado,
Nikazuga kama naitoa kwenye mfuko wa koti, Askari wakaniamini kabla ya kuwaonyesha ,wakaturuhusu kilaini kabisa,inaitwa Blue Propaganda
Yes: Pembeni yangu katika hiyo picha ni Marehemu Captain Barongo aliyekuwa Katibu wa CCM Mkoa wa Dar es salaam,
Na hii ilikuwa sherehe ya harusi ya DC wa Temeke hivi sasa Mh Sixtus Mapunda ambae wakati huo alikuwa Katibu wa Umoja wa Vijana ( UV CCM ) Mkoa huu.
Hadi leo tumebaki marafiki wakubwa na hakosi mwaliko wowote kwangu
Nb: Usicheke ukubwa wa koti,miaka ile ilikuwa ndio fashion na wenyewe tuliyaita Majumba "
TBT ya Haji Manara "September 2007 nikiwa kijana Mdogo na nikiwa kiongozi wa Chama changu na hapo ni fresh from School kule Beijing China. Kipindi hicho nna madini ya hatari kuhusu taaluma ya Propaganda na Uenezi,enzi ambazo nilikuwa naweza kukuaminisha Jiwe ni Keki 😀😀😀 Enzi ambazo nilikuwa naweza kuwavusha hata kuku barabarani kwa maneno tu😀😀😀, Ni zile zile zama nilizowaaminisha Barcelona haichomoki kwa Mkapa, tena Barcelona kweli ya Xavi ,Iniesta na kina Messi. Taaluma iliyonipa ujasiri wa kusema na kuamini tutafuzu kwa AFCON ya 2019 kule Misri,wakati huo tukiwa chini kwenye msimamo wa kundi letu, na Nchi nzima ikiwa imejikatia tamaa ya kwenda Cairo. Bila kusahau one day kule Paris France niliposahau Passport hotelini na siku hiyo tulisimamishwa na Manjagu njiani nikiwa na wenzangu ambao walikuwa Kamil Gado, Nikazuga kama naitoa kwenye mfuko wa koti, Askari wakaniamini kabla ya kuwaonyesha ,wakaturuhusu kilaini kabisa,inaitwa Blue Propaganda 😀😀😀 Yes: Pembeni yangu katika hiyo picha ni Marehemu Captain Barongo aliyekuwa Katibu wa CCM Mkoa wa Dar es salaam, Na hii ilikuwa sherehe ya harusi ya DC wa Temeke hivi sasa Mh Sixtus Mapunda ambae wakati huo alikuwa Katibu wa Umoja wa Vijana ( UV CCM ) Mkoa huu. Hadi leo tumebaki marafiki wakubwa na hakosi mwaliko wowote kwangu 🙏🙏 Nb: Usicheke ukubwa wa koti,miaka ile ilikuwa ndio fashion na wenyewe tuliyaita Majumba 😀😀😀"0 Commenti ·0 condivisioni ·1K Views -
Rais wa Nchi ya Liberia , Joseph Boakai amewasimamisha kazi zaidi ya Maafisa 450 wa Serikali yake akiwemo Waziri anayesimamia bajeti pamoja na Mabalozi kwa kushindwa kutangaza mali zao ndani ya muda uliowekwa. Uamuzi huo unafuatia agizo la Rais huyo lililotolewa Novemba 27, 2024, ambalo lilitoa muda wa nyongeza wa siku kumi (10) kwa Maafisa hao kutekeleza agizo hilo lakini wakashindwa kufanya hivyo.
Maafisa hao wamesimamishwa kazi kwa muda wa mwezi mmoja bila mshahara au hadi watakapowasilisha tamko la mali zao kama inavyotakiwa.
Rais wa Nchi ya Liberia 🇱🇷, Joseph Boakai amewasimamisha kazi zaidi ya Maafisa 450 wa Serikali yake akiwemo Waziri anayesimamia bajeti pamoja na Mabalozi kwa kushindwa kutangaza mali zao ndani ya muda uliowekwa. Uamuzi huo unafuatia agizo la Rais huyo lililotolewa Novemba 27, 2024, ambalo lilitoa muda wa nyongeza wa siku kumi (10) kwa Maafisa hao kutekeleza agizo hilo lakini wakashindwa kufanya hivyo. Maafisa hao wamesimamishwa kazi kwa muda wa mwezi mmoja bila mshahara au hadi watakapowasilisha tamko la mali zao kama inavyotakiwa.0 Commenti ·0 condivisioni ·434 Views -
-