"Unajua hadithi hiyo, sihitaji kuirudia. Tuna
angalau makubaliano matano na serikali za Congo tangu Mwaka 2007 na hakuna hata mmoja wao ambaye ameheshimu toka DRC. Wanamgambo wa mauaji ya kimbari bado wanaishi Congo. Kuifanya Rwanda kuwa tatizo ni njia ya kuficha tatizo halisi na kuandika upya historia kwa kumbadilisha mhasiriwa kuwa Mnyongaji“
"Halafu kuna kutokubaliana kwa wazi na udanganyifu kwa upande wa nchi , kama Ubelgiji, ambazo ni sehemu ya historia na tatizo. Serikali ya DRC inaajiri mamluki, kama kila mtu anavyojua.Wanatoka wapi? Kutoka Ulaya. Je, umewahi kusikia kuhusu nchi moja ya Ulaya wanalaumu wale raia wao ambao wanahusika, pamoja na serikali pia. Nani aliwaajiri?Hakuna. Na bado wanaendelea kurudia kwamba kila kitu ni makosa ya Rwanda. ” - Paul Kagame, Rais wa Rwanda kupitia AJ
"Unajua hadithi hiyo, sihitaji kuirudia. Tuna
angalau makubaliano matano na serikali za Congo tangu Mwaka 2007 na hakuna hata mmoja wao ambaye ameheshimu toka DRC. Wanamgambo wa mauaji ya kimbari bado wanaishi Congo. Kuifanya Rwanda kuwa tatizo ni njia ya kuficha tatizo halisi na kuandika upya historia kwa kumbadilisha mhasiriwa kuwa Mnyongaji“
"Halafu kuna kutokubaliana kwa wazi na udanganyifu kwa upande wa nchi , kama Ubelgiji, ambazo ni sehemu ya historia na tatizo. Serikali ya DRC inaajiri mamluki, kama kila mtu anavyojua.Wanatoka wapi? Kutoka Ulaya. Je, umewahi kusikia kuhusu nchi moja ya Ulaya wanalaumu wale raia wao ambao wanahusika, pamoja na serikali pia. Nani aliwaajiri?Hakuna. Na bado wanaendelea kurudia kwamba kila kitu ni makosa ya Rwanda. ” - Paul Kagame, Rais wa Rwanda 🇷🇼 kupitia AJ