0 Comments
路0 Shares
路136 Views
-
-
-
-
-
-
-
Kweli kabisa, nakubaliana na Gérard Piqué
"Hakuna mtu anayeweza kulipa tiketi ya €100 au €200 au hata €300 kufuatilia mechi inayomalizika kwa 0-0, ningependa kwamba timu zote mbili zipate pointi 0 endapo mechi itamalizika 0-0." - Gérard Piqué, Mchezaji wa zamani wa klabu ya FC Barcelona.
Kweli kabisa, nakubaliana na Gérard Piqué 馃ぃ "Hakuna mtu anayeweza kulipa tiketi ya €100 au €200 au hata €300 kufuatilia mechi inayomalizika kwa 0-0, ningependa kwamba timu zote mbili zipate pointi 0 endapo mechi itamalizika 0-0." - Gérard Piqué, Mchezaji wa zamani wa klabu ya FC Barcelona.0 Comments 路0 Shares 路375 Views -
-
Tafsiri isiyo rasmi
"Tulikuwa na mkutano wa maana sana leo (Jana) Ikulu (whilte house) Mengi yamefundishika ambayo yasingeweza kueleweka bila mazungumzo chini ya moto na shinikizo kama hilo. Inashangaza kinachotoka kupitia hisia, na nimeamua kuwa Rais Zelenskyy hayuko tayari kwa Amani ikiwa Amerika itahusika, kwa sababu anahisi kuhusika kwetu kunampa faida kubwa katika mazungumzo. Sitaki faida, nataka AMANI.
Ameidharau Marekani katika Ofisi yake pendwa ya Oval. Anaweza kurudi pale atakapokuwa tayari kwa Amani.” - Donald J. Trump, Rais wa Marekani .
Tafsiri isiyo rasmi "Tulikuwa na mkutano wa maana sana leo (Jana) Ikulu (whilte house) Mengi yamefundishika ambayo yasingeweza kueleweka bila mazungumzo chini ya moto na shinikizo kama hilo. Inashangaza kinachotoka kupitia hisia, na nimeamua kuwa Rais Zelenskyy hayuko tayari kwa Amani ikiwa Amerika itahusika, kwa sababu anahisi kuhusika kwetu kunampa faida kubwa katika mazungumzo. Sitaki faida, nataka AMANI. Ameidharau Marekani katika Ofisi yake pendwa ya Oval. Anaweza kurudi pale atakapokuwa tayari kwa Amani.” - Donald J. Trump, Rais wa Marekani 馃嚭馃嚫.0 Comments 路0 Shares 路339 Views