Maskari wa Jeshi la Ulinzi la Afrika Kusini (SANDF) waliojeruhiwa katika mapigano Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo , limeanza kurejea nyumbani kupitia Jijini Kigali, Rwanda baada ya kukwama katika kambi zao kwa takriban mwezi mmoja DR Congo.
Wanajeshi hao ni miongoni mwa Askari wa (SANDF) walioko chini ya Kikosi cha Walinda Amani wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SAMIDRC), wanaoimarisha ulinzi Mashariki mwa DR Congo pamoja na kukabiliana na uovu wa Waasi wa kundi la M23 dhidi ya Raia wa DR Congo.
Televisheni ya Afrika Kusini ya SABC imesema, Wanajeshi hao ambao walishindwa kupambana na Waasi wa kundi la M23 ambao waliitwaa Miji ya mashariki mwa Nchi hiyo, walionekana wakiondoka Mjini Goma kuanzia juzi jioni kwa barabara bila vifaa na sare zao za Kijeshi. Ripoti ya Jarida la Afrika Kusini la Rapport iliyochapishwa Jumapili ilieleza kuwa Wanajeshi wa Afrika Kusini waliojeruhiwa ni zaidi ya 189.
Kwa mujibu wa Jarida hilo, miongoni mwa waliojeruhiwa ni Wanajeshi wawili (2) ambao ni Wajawazito, huku idadi ya Wanajeshi wa (SANDF) wanaoendelea kukwama Nchini DR Congo ikikadiriwa kuwa kati ya elfu moja (1,000) na elfu mbili (2,000).

Maskari wa Jeshi la Ulinzi la Afrika Kusini 馃嚳馃嚘 (SANDF) waliojeruhiwa katika mapigano Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo 馃嚚馃嚛, limeanza kurejea nyumbani kupitia Jijini Kigali, Rwanda 馃嚪馃嚰 baada ya kukwama katika kambi zao kwa takriban mwezi mmoja DR Congo.
Wanajeshi hao ni miongoni mwa Askari wa (SANDF) walioko chini ya Kikosi cha Walinda Amani wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SAMIDRC), wanaoimarisha ulinzi Mashariki mwa DR Congo pamoja na kukabiliana na uovu wa Waasi wa kundi la M23 dhidi ya Raia wa DR Congo.
Televisheni ya Afrika Kusini ya SABC imesema, Wanajeshi hao ambao walishindwa kupambana na Waasi wa kundi la M23 ambao waliitwaa Miji ya mashariki mwa Nchi hiyo, walionekana wakiondoka Mjini Goma kuanzia juzi jioni kwa barabara bila vifaa na sare zao za Kijeshi. Ripoti ya Jarida la Afrika Kusini la Rapport iliyochapishwa Jumapili ilieleza kuwa Wanajeshi wa Afrika Kusini waliojeruhiwa ni zaidi ya 189.
Kwa mujibu wa Jarida hilo, miongoni mwa waliojeruhiwa ni Wanajeshi wawili (2) ambao ni Wajawazito, huku idadi ya Wanajeshi wa (SANDF) wanaoendelea kukwama Nchini DR Congo ikikadiriwa kuwa kati ya elfu moja (1,000) na elfu mbili (2,000).
0 Comments
路0 Shares
路30 Views