• Mashabiki wanataka boss miluzi asepe
    Mashabiki wanataka boss miluzi asepe
    Love
    1
    · 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·192 Views
  • Karibu tule ndugu zangu
    Karibu tule ndugu zangu
    Like
    1
    · 1 Commentarii ·0 Distribuiri ·256 Views
  • Like
    Love
    2
    · 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·52 Views
  • Like
    1
    · 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·49 Views
  • Like
    1
    · 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·52 Views
  • "Huyu ni mwandishi wa nyimbo za Beyonce, Usher, Nick Minaj, Chris Brown, alishawahi kifanya kazi na Michael Jackson! Amekuja kwenye Tuzo za @traceawards na stori page zote ni kuhusu mimi kufanan nae sana @seangarrettthepen imagine ppzi hili tumepiga yeye alishai kupiga picha ivo na mimi ukifatilia utakuta napenda sana kupiga picha ivo!! (Another post itafuata) asa watu wengine walikua wanamfata apa Zanzibar wakidhani na mimi wanamuita " - Lil Ommy, Mtangazaji wa Wasafi FM.

    "Huyu ni mwandishi wa nyimbo za Beyonce, Usher, Nick Minaj, Chris Brown, alishawahi kifanya kazi na Michael Jackson! Amekuja kwenye Tuzo za @traceawards na stori page zote ni kuhusu mimi kufanan nae sana @seangarrettthepen imagine ppzi hili tumepiga yeye alishai kupiga picha ivo na mimi ukifatilia utakuta napenda sana kupiga picha ivo!! (Another post itafuata) asa watu wengine walikua wanamfata apa Zanzibar wakidhani na mimi wanamuita 😆😆😆" - Lil Ommy, Mtangazaji wa Wasafi FM.
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·711 Views
  • Shirikisho la mpira wa miguu Duniani (FIFA), leo hii litakutana kuchakata kanuni mpya nne (4) ambazo zinaweza kuanza kutumika Julai 1, 2025 endepo zitapitishwa.

    1. Kanuni ya Arsene Wenger:

    Mchezaji atahesabiwa kuwa yuko "offside" ikiwa mwili wake mzima utapita Mchezaji wa mwisho. Ikumbukwe kwamba "offside" ya sasa ni kuwa Mchezaji anahesabiwa kuwa yupo "offside" endapo sehemu yake ndogo ya mwili au mwili mzima itampita Mchezaji wa mwisho.

    2. Waamuzi (Refarii) kutoa ufafanuzi wa maamuzi yao kwa Watazamaji Uwanjani kwa kutumia kipaza sauti (Microphone):

    Baada ya kushirikiana na VAR, Waamuzi wataelezea maamuzi yao kwa kutumia kipaza sauti kwa Watazamaji wote waliopo Uwanjani.

    3. Challenge System:

    Kila Kocha Mkuu wa Timu ataruhusiwa kuomba kutumia VAR wakati wa mchezo ili kupitia tukio wanaloona kuwa lina utata.

    NB : Wataweka idadi maalumu ya kuomba kutumia VAR na sio muda wote.

    4. Waamuzi kusimamisha muda:

    Waamuzi wataweza kusimamisha saa ili kuchunguza tukio lenye utata au wakati wa majeraha makubwa. Lengo: kuepuka kupoteza muda mwingi katika mpira wa miguu na kuhakikisha muda halisi wa kucheza unatumika.

    NB : Hii itamika pia kwa wale Wachezaji ambao hupenda kupoteza muda kipindi anatolewa Uwanjani ili Mchezaji mwingine aingie.

    Shirikisho la mpira wa miguu Duniani (FIFA), leo hii litakutana kuchakata kanuni mpya nne (4) ambazo zinaweza kuanza kutumika Julai 1, 2025 endepo zitapitishwa. 1. Kanuni ya Arsene Wenger: Mchezaji atahesabiwa kuwa yuko "offside" ikiwa mwili wake mzima utapita Mchezaji wa mwisho. Ikumbukwe kwamba "offside" ya sasa ni kuwa Mchezaji anahesabiwa kuwa yupo "offside" endapo sehemu yake ndogo ya mwili au mwili mzima itampita Mchezaji wa mwisho. 2. Waamuzi (Refarii) kutoa ufafanuzi wa maamuzi yao kwa Watazamaji Uwanjani kwa kutumia kipaza sauti (Microphone): Baada ya kushirikiana na VAR, Waamuzi wataelezea maamuzi yao kwa kutumia kipaza sauti kwa Watazamaji wote waliopo Uwanjani. 3. Challenge System: Kila Kocha Mkuu wa Timu ataruhusiwa kuomba kutumia VAR wakati wa mchezo ili kupitia tukio wanaloona kuwa lina utata. NB : Wataweka idadi maalumu ya kuomba kutumia VAR na sio muda wote. 4. Waamuzi kusimamisha muda: Waamuzi wataweza kusimamisha saa ili kuchunguza tukio lenye utata au wakati wa majeraha makubwa. Lengo: kuepuka kupoteza muda mwingi katika mpira wa miguu na kuhakikisha muda halisi wa kucheza unatumika. NB : Hii itamika pia kwa wale Wachezaji ambao hupenda kupoteza muda kipindi anatolewa Uwanjani ili Mchezaji mwingine aingie.
    Like
    1
    · 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·701 Views
  • Uingereza imesitisha kutoa baadhi ya misaada ya moja kwa moja kwa Nchi ya Rwanda kufuatia kuendelea kwa machafuko ya yanayosababishwa na Vikundi huko Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kikiwemo Kikundi cha Waasi cha M23 ambacho kinadaiwa kuungwa mkono na Nchi ya Rwanda.

    Uamuzi huo unakuja baada ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza, David Lammy kukutana na Rais wa Rwanda, Paul Kagame Jijini Kigali, Rwanda na Rais wa DR Congo, Felix Tshisekedi Jijini Kinshasa, DR Congo.

    Uingereza 🇬🇧 imesitisha kutoa baadhi ya misaada ya moja kwa moja kwa Nchi ya Rwanda 🇷🇼 kufuatia kuendelea kwa machafuko ya yanayosababishwa na Vikundi huko Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo 🇨🇩 kikiwemo Kikundi cha Waasi cha M23 ambacho kinadaiwa kuungwa mkono na Nchi ya Rwanda. Uamuzi huo unakuja baada ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza, David Lammy kukutana na Rais wa Rwanda, Paul Kagame Jijini Kigali, Rwanda na Rais wa DR Congo, Felix Tshisekedi Jijini Kinshasa, DR Congo.
    Like
    1
    · 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·471 Views
  • Baada ya kujiondoa kwenye Umoja wa Nchi Magharibi (ECOWAS) na kuunda Umoja wao wa Mataifa wa Sahel (AES), Nchi za Niger , Mali , na Burkina faso , zimezindua rasmi Bendera yake mpya ya Umoja huo.

    Umoja huo wa (AES) baada ya kuanzisha Pasi ya kusafiria (Pasipoti) na Kikosi cha Wanajeshi Elfu wa pamoja tano (5000), umepanga pia kuanzisha (kuunda) sarafu moja inayotumika katika Mataifa hayo.

    Ikumbukwe kwamba Nchi hizo tatu (3) zinazoongozwa Kijeshi baada ya Majeshi ya Nchi hizo kupundua Kiongozi waliokuwepo madarakani

    Baada ya kujiondoa kwenye Umoja wa Nchi Magharibi (ECOWAS) na kuunda Umoja wao wa Mataifa wa Sahel (AES), Nchi za Niger 🇳🇪, Mali 🇲🇱, na Burkina faso 🇧🇫, zimezindua rasmi Bendera yake mpya ya Umoja huo. Umoja huo wa (AES) baada ya kuanzisha Pasi ya kusafiria (Pasipoti) na Kikosi cha Wanajeshi Elfu wa pamoja tano (5000), umepanga pia kuanzisha (kuunda) sarafu moja inayotumika katika Mataifa hayo. Ikumbukwe kwamba Nchi hizo tatu (3) zinazoongozwa Kijeshi baada ya Majeshi ya Nchi hizo kupundua Kiongozi waliokuwepo madarakani
    Like
    1
    · 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·419 Views
  • 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·121 Views