0 Commentarios
·0 Acciones
·45 Views
-
-
-
-
-
-
-
-
Kweli kabisa, nakubaliana na Gérard Piqué
"Hakuna mtu anayeweza kulipa tiketi ya €100 au €200 au hata €300 kufuatilia mechi inayomalizika kwa 0-0, ningependa kwamba timu zote mbili zipate pointi 0 endapo mechi itamalizika 0-0." - Gérard Piqué, Mchezaji wa zamani wa klabu ya FC Barcelona.
Kweli kabisa, nakubaliana na Gérard Piqué 🤣 "Hakuna mtu anayeweza kulipa tiketi ya €100 au €200 au hata €300 kufuatilia mechi inayomalizika kwa 0-0, ningependa kwamba timu zote mbili zipate pointi 0 endapo mechi itamalizika 0-0." - Gérard Piqué, Mchezaji wa zamani wa klabu ya FC Barcelona.0 Commentarios ·0 Acciones ·45 Views -