Tafsiri isiyo rasmi
"Tulikuwa na mkutano wa maana sana leo (Jana) Ikulu (whilte house) Mengi yamefundishika ambayo yasingeweza kueleweka bila mazungumzo chini ya moto na shinikizo kama hilo. Inashangaza kinachotoka kupitia hisia, na nimeamua kuwa Rais Zelenskyy hayuko tayari kwa Amani ikiwa Amerika itahusika, kwa sababu anahisi kuhusika kwetu kunampa faida kubwa katika mazungumzo. Sitaki faida, nataka AMANI.
Ameidharau Marekani katika Ofisi yake pendwa ya Oval. Anaweza kurudi pale atakapokuwa tayari kwa Amani.” - Donald J. Trump, Rais wa Marekani .

Ameidharau Marekani katika Ofisi yake pendwa ya Oval. Anaweza kurudi pale atakapokuwa tayari kwa Amani.” - Donald J. Trump, Rais wa Marekani 馃嚭馃嚫.
0 Comments
路0 Shares
路35 Views