• Tafsiri isiyo rasmi

    "Tulikuwa na mkutano wa maana sana leo (Jana) Ikulu (whilte house) Mengi yamefundishika ambayo yasingeweza kueleweka bila mazungumzo chini ya moto na shinikizo kama hilo. Inashangaza kinachotoka kupitia hisia, na nimeamua kuwa Rais Zelenskyy hayuko tayari kwa Amani ikiwa Amerika itahusika, kwa sababu anahisi kuhusika kwetu kunampa faida kubwa katika mazungumzo. Sitaki faida, nataka AMANI.
    Ameidharau Marekani katika Ofisi yake pendwa ya Oval. Anaweza kurudi pale atakapokuwa tayari kwa Amani.” - Donald J. Trump, Rais wa Marekani .

    Tafsiri isiyo rasmi "Tulikuwa na mkutano wa maana sana leo (Jana) Ikulu (whilte house) Mengi yamefundishika ambayo yasingeweza kueleweka bila mazungumzo chini ya moto na shinikizo kama hilo. Inashangaza kinachotoka kupitia hisia, na nimeamua kuwa Rais Zelenskyy hayuko tayari kwa Amani ikiwa Amerika itahusika, kwa sababu anahisi kuhusika kwetu kunampa faida kubwa katika mazungumzo. Sitaki faida, nataka AMANI. Ameidharau Marekani katika Ofisi yake pendwa ya Oval. Anaweza kurudi pale atakapokuwa tayari kwa Amani.” - Donald J. Trump, Rais wa Marekani 馃嚭馃嚫.
    0 Commentarios 0 Acciones 32 Views
  • Mazungunzo kati ya Rais wa Marekani , Donald Trump na Rais wa Ukraine , Volorymyr Zelensky yameishia njiani baada ya kushindwa kuelewana kuhusu hatima ya vita ya Russia dhidi ya Ukraine. Ilianza kama utani wakati wa kikao hicho ambacho kimehudhuriwa na Makamu wa Rais wa Marekani JD Vance na Waandishi wa Habari.

    Kila upande ulianza kuelezea kile ambacho wamejadiliana kuhusiana na makubaliano yaliyokuwa yanatarajiwa kutiwa saini. Awali Trump alieleza kuwa makubaliano hayo ni pamoja na kusaini mkataba unaoiruhusu Marekani kuchimba madini adimu (rare minerals) katika ardhi ya Ukraine.

    Wakati mrejesho wa hatua iliyofikiwa kuhusu makubaliano hayo ya mkataba wa madini mambo yalikuwa sawa ila yakaanza kwenda mrama pale Trump alipohamisha mada na kuingia suala la kupata mwafaka wa mzozo kati ya Ukraine na Russia ya Vladimir Putin.

    Trump kwenye suala hilo alienda moja kwa moja na kumtaka Rais Zelensky, kuingia makubaliano na Russia ya kumaliza vita hivyo, la sivyo Marekani itajindoa katika mazungumzo hayo na haitoendelea kuifadhili tena wala kuipatia misaada Ukraine. Wawili hao walikatizana mara kwa mara wakati wa majibizano yao kwa namna isiyo ya kawaida ndani ya Marekani (White House).

    Mazungunzo kati ya Rais wa Marekani 馃嚭馃嚫, Donald Trump na Rais wa Ukraine 馃嚭馃嚘, Volorymyr Zelensky yameishia njiani baada ya kushindwa kuelewana kuhusu hatima ya vita ya Russia 馃嚪馃嚭 dhidi ya Ukraine. Ilianza kama utani wakati wa kikao hicho ambacho kimehudhuriwa na Makamu wa Rais wa Marekani JD Vance na Waandishi wa Habari. Kila upande ulianza kuelezea kile ambacho wamejadiliana kuhusiana na makubaliano yaliyokuwa yanatarajiwa kutiwa saini. Awali Trump alieleza kuwa makubaliano hayo ni pamoja na kusaini mkataba unaoiruhusu Marekani kuchimba madini adimu (rare minerals) katika ardhi ya Ukraine. Wakati mrejesho wa hatua iliyofikiwa kuhusu makubaliano hayo ya mkataba wa madini mambo yalikuwa sawa ila yakaanza kwenda mrama pale Trump alipohamisha mada na kuingia suala la kupata mwafaka wa mzozo kati ya Ukraine na Russia ya Vladimir Putin. Trump kwenye suala hilo alienda moja kwa moja na kumtaka Rais Zelensky, kuingia makubaliano na Russia ya kumaliza vita hivyo, la sivyo Marekani itajindoa katika mazungumzo hayo na haitoendelea kuifadhili tena wala kuipatia misaada Ukraine. Wawili hao walikatizana mara kwa mara wakati wa majibizano yao kwa namna isiyo ya kawaida ndani ya Marekani (White House).
    0 Commentarios 0 Acciones 34 Views
  • 0 Commentarios 0 Acciones 5 Views
  • Hii kama sijaielewa hivi.
    Hii kama sijaielewa hivi.
    0 Commentarios 0 Acciones 5 Views
  • 0 Commentarios 0 Acciones 5 Views