• "Kupitia kituo cha Wasafi, Kamishna wa mchezo wa Simba na Yanga wa raundi ya kwanza Khalid Bitebo ameomba radhi kuwa aliteleza sio kweli kwamba Yanga walifanya mazoezi ya mwisho kwenye uwanja wa Mkapa kwenye Derby iliyopita, kifupi ameomba radhi kuwa alijichanganya.

    Na huo ndio ukweli ulio wazi kuwa kwenye historia ya Derby hakuna aliyewahi kufanya mazoezi siku moja kabla ya mchezo pale hata Mimi siku ya kwanza ya sakata hili niliripoti kuwa Yanga alifanya mazoezi pale ila sio kweli hawakufanya, Simba na Yanga hata mechi yao iwe Mwanza au Kigoma hawafanyi mazoezi kwenye uwanja wa game, inaenda mbali hadi pitch feeling wanakwepa.

    Wakongwe wa Simba na Yanga pia wakanikumbusha zamani kwanza walikuwa wote wanapakimbia Dar Es Slaaam sio Mgeni wala Mwenyeji wa mechi, mwingine anaenda Pemba mwingine Morogoro, mara Zanzibar mwingine Pemba, timu zinakutana Mjini Mzizima hapa siku ya mbungi na inapigwa kwelikweli ndio utaratibu wao.

    Kwakuwa Kamishna wa mchezo ameomba radhi nadhani ni muhimu ila sio lazima basi na wale waliounga mkono, wakaaminisha Umma kuwa Yanga alifanya mazoezi pale wakaomba radhi pia, ni muhimu ila sio lazima ni katika kuweka kumbukumbu tu sawa, tunakubaliana?" - Farhan JR, Mchambuzi.

    "Kupitia kituo cha Wasafi, Kamishna wa mchezo wa Simba na Yanga wa raundi ya kwanza Khalid Bitebo ameomba radhi kuwa aliteleza sio kweli kwamba Yanga walifanya mazoezi ya mwisho kwenye uwanja wa Mkapa kwenye Derby iliyopita, kifupi ameomba radhi kuwa alijichanganya. Na huo ndio ukweli ulio wazi kuwa kwenye historia ya Derby hakuna aliyewahi kufanya mazoezi siku moja kabla ya mchezo pale hata Mimi siku ya kwanza ya sakata hili niliripoti kuwa Yanga alifanya mazoezi pale ila sio kweli hawakufanya, Simba na Yanga hata mechi yao iwe Mwanza au Kigoma hawafanyi mazoezi kwenye uwanja wa game, inaenda mbali hadi pitch feeling wanakwepa. Wakongwe wa Simba na Yanga pia wakanikumbusha zamani kwanza walikuwa wote wanapakimbia Dar Es Slaaam sio Mgeni wala Mwenyeji wa mechi, mwingine anaenda Pemba mwingine Morogoro, mara Zanzibar mwingine Pemba, timu zinakutana Mjini Mzizima hapa siku ya mbungi na inapigwa kwelikweli ndio utaratibu wao. Kwakuwa Kamishna wa mchezo ameomba radhi nadhani ni muhimu ila sio lazima basi na wale waliounga mkono, wakaaminisha Umma kuwa Yanga alifanya mazoezi pale wakaomba radhi pia, ni muhimu ila sio lazima ni katika kuweka kumbukumbu tu sawa, tunakubaliana?" - Farhan JR, Mchambuzi.
    Like
    1
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·908 Views
  • Afande Sele, Msanii wa muziki Hip-hop Tanzania

    "Tutusa" limeamua kugawa rasilimali muhimu za nchi yake masikini sana kwa Marekani,kusudi Marekani walihakikishie ulinzi wa cheo chake cha urais tu,

    Kuna wakati fulani pale bungeni Dodoma,Mbunge wa Misungwi mdogo wangu Mnyeti,aliwahi kutania kwa kusema vijana wa Congo kama Mayele,badala ya kubaki kwao kulinda nchi yao,kinyume chake wao wanakimbilia nje ya nchi kutetema na kukata mauno

    Baada ya Mnyeti kutania utani huo wa kweli,chakushangaza wabongo lala kama kawaida yetu,tukaacha kujadili hoja yake,badala yake tukaanza kumshambulia mtoa hoja kwasababu za ugonjwa wetu sugu wa usimba na Yanga,

    Ona sasa matokeo yake ndio haya,,nchi yao inauzwa kwa malipo ya kulinda madaraka ya Rais wao ambae hata hivyo hakushinda kihalalii na wakati huo wacongoman wanaendelea kuuza mauno duniani na sio kupaaza sauti zao au kuandamana kupinga ujambazi huo kwa kumshinikiza Rais wao akae kwenye meza ya mazungumzo na ndugu zao wa M23 ili kumaliza mzozo kama Dunia yote inavyomshaurj

    Kinachosikitisha zaidi nj ukweli kwamba Marekani siku zote huwa wanasema hawana rafiki wala Adui wa kudumu,bali wao wanamaslahi ya kudumu,hivyo sio ajabu Marekani wakatumia ufala huo wa Tutusa kuvuna madini kutoka upande wa serekali na upande wa waasi kwa kugawa silaha pande zote kusudi waendelee kupigana na wao Marekani wapate nafasi nzuri ya kuchukua madini ya kila upande kwa Raha zao

    Bila Marekani.

    Each one Teach one
    I Change Nation
    Sina Hatia

    Afande Sele, Msanii wa muziki Hip-hop Tanzania ✍️ "Tutusa" limeamua kugawa rasilimali muhimu za nchi yake masikini sana kwa Marekani,kusudi Marekani walihakikishie ulinzi wa cheo chake cha urais tu,😞 Kuna wakati fulani pale bungeni Dodoma,Mbunge wa Misungwi mdogo wangu Mnyeti,aliwahi kutania kwa kusema vijana wa Congo kama Mayele,badala ya kubaki kwao kulinda nchi yao,kinyume chake wao wanakimbilia nje ya nchi kutetema na kukata mauno🤣 Baada ya Mnyeti kutania utani huo wa kweli,chakushangaza wabongo lala kama kawaida yetu,tukaacha kujadili hoja yake,badala yake tukaanza kumshambulia mtoa hoja kwasababu za ugonjwa wetu sugu wa usimba na Yanga,⚽ Ona sasa matokeo yake ndio haya,,nchi yao inauzwa kwa malipo ya kulinda madaraka ya Rais wao ambae hata hivyo hakushinda kihalalii na wakati huo wacongoman wanaendelea kuuza mauno duniani na sio kupaaza sauti zao au kuandamana kupinga ujambazi huo kwa kumshinikiza Rais wao akae kwenye meza ya mazungumzo na ndugu zao wa M23 ili kumaliza mzozo kama Dunia yote inavyomshaurj💪 Kinachosikitisha zaidi nj ukweli kwamba Marekani siku zote huwa wanasema hawana rafiki wala Adui wa kudumu,bali wao wanamaslahi ya kudumu,hivyo sio ajabu Marekani wakatumia ufala huo wa Tutusa kuvuna madini kutoka upande wa serekali na upande wa waasi kwa kugawa silaha pande zote kusudi waendelee kupigana na wao Marekani wapate nafasi nzuri ya kuchukua madini ya kila upande kwa Raha zao 😜 Bila Marekani.🌚 Each one Teach one🔨 I Change Nation🌎 Sina Hatia⚖️
    Like
    1
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·852 Views
  • Mazoezi ni muhimu kwa Afya
    Mazoezi ni muhimu kwa Afya
    Like
    Love
    2
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·521 Views
  • MNYAMA ANATINGA 16 BORA FA CUP
    .
    FT: SIMBA SC 3-0 TMA


    #paulswai
    MNYAMA ANATINGA 16 BORA FA CUP . FT: SIMBA SC 3-0 TMA #paulswai
    Like
    3
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·769 Views
  • Unakuja wakati katika maisha wakati kila kitu kinaonekana kuwa kibaya na kisicho na tumaini. Familia yako haikuamini tena. Marafiki zako wanakutazama kwa huruma. Wengine hata hucheka nyuma yako. Wanasema hutafanikiwa kamwe. Na ndani kabisa, umeanza kuwaamini kwa sababu, umejitahidi, umefanya kazi kwa bidii, na umefanya kila kitu unachoweza, lakini hakuna kinachoonekana kubadilika. Unawatazama wengine wakifanikiwa huku wewe ukiwa umekwama katika sehemu moja. Inahisi kama maisha yamekusahau.

    Usiku, wakati hakuna mtu anayekutazama, unalia. Unalia kwa sababu unahisi umepotea. Unalia kwa sababu unahisi kushindwa. Unalia kwa sababu umechoka, umechoka kujaribu, umechoka kutumaini, umechoka kusubiri upenyo ambao hauji.

    Nisikilize. USIKATE TAMAA. Shikilia kwa muda mrefu kidogo. Hata kama barabara ni ngumu, endelea kutembea, endelea kupigana na endelea kujiamini, hata kama hakuna mtu anayekuamini. Siku moja, utaangalia nyuma na kutambua kwamba kila kitu ulichopitia kilikuwa muhimu ili kukufikisha pale ulipokusudiwa kuwa.

    Na siku hiyo hao hao waliokutilia shaka ndio watakupigia makofi. Kwa hiyo usikate tamaa. Hadithi yako bado haijaisha.

    WAKATI WAKO UTAKUJA!

    Credit:
    Quadic Bangura
    Unakuja wakati katika maisha wakati kila kitu kinaonekana kuwa kibaya na kisicho na tumaini. Familia yako haikuamini tena. Marafiki zako wanakutazama kwa huruma. Wengine hata hucheka nyuma yako. Wanasema hutafanikiwa kamwe. Na ndani kabisa, umeanza kuwaamini kwa sababu, umejitahidi, umefanya kazi kwa bidii, na umefanya kila kitu unachoweza, lakini hakuna kinachoonekana kubadilika. Unawatazama wengine wakifanikiwa huku wewe ukiwa umekwama katika sehemu moja. Inahisi kama maisha yamekusahau. Usiku, wakati hakuna mtu anayekutazama, unalia. Unalia kwa sababu unahisi umepotea. Unalia kwa sababu unahisi kushindwa. Unalia kwa sababu umechoka, umechoka kujaribu, umechoka kutumaini, umechoka kusubiri upenyo ambao hauji. Nisikilize. USIKATE TAMAA. Shikilia kwa muda mrefu kidogo. Hata kama barabara ni ngumu, endelea kutembea, endelea kupigana na endelea kujiamini, hata kama hakuna mtu anayekuamini. Siku moja, utaangalia nyuma na kutambua kwamba kila kitu ulichopitia kilikuwa muhimu ili kukufikisha pale ulipokusudiwa kuwa. Na siku hiyo hao hao waliokutilia shaka ndio watakupigia makofi. Kwa hiyo usikate tamaa. Hadithi yako bado haijaisha. WAKATI WAKO UTAKUJA! Credit: Quadic Bangura
    Love
    1
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·672 Views
  • Mtoto mmoja mwenye miaka minne (4) kutoka Jijini Wisconsin, Marekani , amepiga simu ya dharura Polisi baada ya Mama yake kula "ice cream" yake huku akiwata Maafisa hao Polisi wanapaswa kumfunga Jela Mama yake Mzazi kwa kutenda kosa hilo la kula "Ice Cream" yake. Katika utetezi kwa Maafisa hao wa Polisi, Mama huyo aliwaambia Polisi kwa njia ya Simu kuwa Mwanae alikasirika sana kwa sababu ya kula "ice cream" hiyo.

    Aidha, baada ya Polisi kufika katika Nyumba hiyo ili kuhakikisha hakuna tatizo kubwa zaidi, Mtoto huyo aliwathibitishia kuwa Mama yake kweli alikula "ice cream" yake na akisisitiza lazima apelekwe Jela, lakini baada ya mazungumzo na Maafisa hao Polisi, Mtoto huyo alikubali yaishe na kubadilisha mawazo yake ya kumshtaki Mama yake.

    Mtoto mmoja mwenye miaka minne (4) kutoka Jijini Wisconsin, Marekani 🇺🇸, amepiga simu ya dharura Polisi baada ya Mama yake kula "ice cream" yake huku akiwata Maafisa hao Polisi wanapaswa kumfunga Jela Mama yake Mzazi kwa kutenda kosa hilo la kula "Ice Cream" yake. Katika utetezi kwa Maafisa hao wa Polisi, Mama huyo aliwaambia Polisi kwa njia ya Simu kuwa Mwanae alikasirika sana kwa sababu ya kula "ice cream" hiyo. Aidha, baada ya Polisi kufika katika Nyumba hiyo ili kuhakikisha hakuna tatizo kubwa zaidi, Mtoto huyo aliwathibitishia kuwa Mama yake kweli alikula "ice cream" yake na akisisitiza lazima apelekwe Jela, lakini baada ya mazungumzo na Maafisa hao Polisi, Mtoto huyo alikubali yaishe na kubadilisha mawazo yake ya kumshtaki Mama yake.
    Like
    1
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·523 Views
  • Klabu ya Zamalek amepewa alama tatu na mabao matatu baada ya klabu ya Al Ahly kushindwa kupeleka Timu Uwanjani.

    Klabu ya Zamalek amepewa alama tatu na mabao matatu baada ya klabu ya Al Ahly kushindwa kupeleka Timu Uwanjani.
    Like
    1
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·306 Views
  • Taarifa kutoka Nchini Angola zinadai kuwa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo , Felix Tshisekedi anatarajia kukutana na Waasi cha M23, Jijini Luanda Nchini Angola. Taarifa hii kwa mujibu wa Ofisi ya Rais wa Angola.

    Bado hakijafahamika lini na Pande hizo mbili zitatakutana Nchini humo lakini taarifa hiyo inasema kuwa siku chache zijazo Rais wa Félix Tshisekedi atakutana na Waasi hao ili kutatua tatizo la usalama mdogo Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

    Taarifa kutoka Nchini Angola 🇦🇴 zinadai kuwa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo 🇨🇩, Felix Tshisekedi anatarajia kukutana na Waasi cha M23, Jijini Luanda Nchini Angola. Taarifa hii kwa mujibu wa Ofisi ya Rais wa Angola. Bado hakijafahamika lini na Pande hizo mbili zitatakutana Nchini humo lakini taarifa hiyo inasema kuwa siku chache zijazo Rais wa Félix Tshisekedi atakutana na Waasi hao ili kutatua tatizo la usalama mdogo Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
    Like
    1
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·430 Views
  • "Msimu uliyopita Zamalek aligomea mechi dhidi ya Al Ahly, Mamlaka za soka nchini Misri zikampa ushindi Al Ahly wa mabao mawili na alama zake tatu kisha wakailima Zamalek alama tatu na timu ikashuka mpaka nafasi ya 12 kama sikosei, Bodi na Chama wala hakikuwaza mara mbili, ni kesi kubwa sana kwenye dunia ya soka kukacha mechi.

    Jana, Al Ahly nae kaleta mbwembwe zile zile za masuala ya Kanuni akagomea mchezo, akasahau kanuni ya kutokea Uwanjani na kucheza mechi ndio kanuni yenye maana zaidi kwenye soka, amejikuta anapoteza alama tatu na mabao matatu kwa Zamalek, Kanuni hii inaweza kusema hivi ila Kanuni nyingine ikawa na maelezo mengine.

    Nikukumbushe tu Al Ahly aliyeadhibiwa ndio Klabu Tajiri zaidi Afrika, Klabu yenye Mashabiki na Wanachama wengi zaidi Afrika, ndio Klabu ya pili kwa Mataji mengi duniani baada ya Real Madrid, ila huko Misri watu hawatazami makunyanzi, ukileta maksudi, Bodi na Chama cha soka zinakufanyia bahati mbaya, Ahly inatajwa pia ina nguvu kubwa sana CAF, sio ya kufikirika ama nadharia ndio uhalisia ila wamepita nayo mapema tu.

    Nawakumbusha tena Watu wangu HAKI huenda na WAJIBU, mfano Tanzania kwa mujibu wa Katiba kuandamana ni haki yako ila unapaswa kutoa taarifa kwa Polisi masaa 72 kabla, umeelewa hapo? Ni haki yako ila huja na Wajibu, Kanuni ili ikulinde hakikisha umetekeleza Wajibu, biashara za Mamlaka za soka duniani ni mpira, kutocheza mpira ni kuzitusi, hazikuachi salama.

    Ni haki yako kuja kufanya mazoezi uwanja wa mechi siku moja kabla ila ni Wajibu wako kunijulisha kuwa nakuja, ili nikuandalie mazingira, huenda narekebisha mfumo wa Umeme? Huenda hali ya usalama sio shwari, huenda nimepulizia dawa za dudu zinaweka kukuathiri, yaani ni HAKI yako ila una WAJIBU wako huu ni mfano tu.

    Mnasemaje Watu wangu wa nchini Yemen haya hayawahusu sana, huko kwenu Kivyenu vyenu Wayemen" - Farhan JR, Mchambuzi.

    "Msimu uliyopita Zamalek aligomea mechi dhidi ya Al Ahly, Mamlaka za soka nchini Misri zikampa ushindi Al Ahly wa mabao mawili na alama zake tatu kisha wakailima Zamalek alama tatu na timu ikashuka mpaka nafasi ya 12 kama sikosei, Bodi na Chama wala hakikuwaza mara mbili, ni kesi kubwa sana kwenye dunia ya soka kukacha mechi. Jana, Al Ahly nae kaleta mbwembwe zile zile za masuala ya Kanuni akagomea mchezo, akasahau kanuni ya kutokea Uwanjani na kucheza mechi ndio kanuni yenye maana zaidi kwenye soka, amejikuta anapoteza alama tatu na mabao matatu kwa Zamalek, Kanuni hii inaweza kusema hivi ila Kanuni nyingine ikawa na maelezo mengine. Nikukumbushe tu Al Ahly aliyeadhibiwa ndio Klabu Tajiri zaidi Afrika, Klabu yenye Mashabiki na Wanachama wengi zaidi Afrika, ndio Klabu ya pili kwa Mataji mengi duniani baada ya Real Madrid, ila huko Misri watu hawatazami makunyanzi, ukileta maksudi, Bodi na Chama cha soka zinakufanyia bahati mbaya, Ahly inatajwa pia ina nguvu kubwa sana CAF, sio ya kufikirika ama nadharia ndio uhalisia ila wamepita nayo mapema tu. Nawakumbusha tena Watu wangu HAKI huenda na WAJIBU, mfano Tanzania kwa mujibu wa Katiba kuandamana ni haki yako ila unapaswa kutoa taarifa kwa Polisi masaa 72 kabla, umeelewa hapo? Ni haki yako ila huja na Wajibu, Kanuni ili ikulinde hakikisha umetekeleza Wajibu, biashara za Mamlaka za soka duniani ni mpira, kutocheza mpira ni kuzitusi, hazikuachi salama. Ni haki yako kuja kufanya mazoezi uwanja wa mechi siku moja kabla ila ni Wajibu wako kunijulisha kuwa nakuja, ili nikuandalie mazingira, huenda narekebisha mfumo wa Umeme? Huenda hali ya usalama sio shwari, huenda nimepulizia dawa za dudu zinaweka kukuathiri, yaani ni HAKI yako ila una WAJIBU wako huu ni mfano tu. Mnasemaje Watu wangu wa nchini Yemen haya hayawahusu sana, huko kwenu Kivyenu vyenu Wayemen😀" - Farhan JR, Mchambuzi.
    Like
    1
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·1K Views
  • 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·147 Views