نتائج البحث
عرض كل النتائج
Socialpop Socialpop Socialpop
الرئيسية
المجموعات
الصفحات
سوق المنتجات
شاهد المزيد
المجموعات الصفحات سوق المنتجات المناسبات المدونات التمويل مفاوضاتي وظائف Courses المنتديات الافلام
انضم إلينا
تسجيل الدخول تسجيل
Theme Switcher
الوضع المظلم
الدليل
المستخدمون
المنشورات
الصفحات
المجموعات
المناسبات
  • Dullah Tz98 @DullahX98 أضاف صورة
    2025-03-18 07:25:19 ·
    Like
    Haha
    2
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·170 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • Dullah Tz98 @DullahX98 أضاف صورة
    2025-03-18 07:27:24 ·
    Klabu ya Yanga SC imefungua malalamiko kwenye Mahakama ya usuhishi wa michezo Duniani (CAS) baada ya kutoridhishwa na majibu ya TFF. Klabu ya Yanga haina imani na Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara na wameshindwa kukubaliana kabisa na majibu ya barua iliyotoka na hivyo wameamuwa kusonga mbele (CAS) ili kudai haki yao.

    Mara ya baada ya kutuma malalamiko yao CAS, klabu ya Yanga SC itasubiri taratibu kutoka katika Mahakama hiyo kisha kesi yao kuanza kusikilizwa.

    Klabu ya Yanga SC imefungua malalamiko kwenye Mahakama ya usuhishi wa michezo Duniani (CAS) baada ya kutoridhishwa na majibu ya TFF. Klabu ya Yanga haina imani na Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara na wameshindwa kukubaliana kabisa na majibu ya barua iliyotoka na hivyo wameamuwa kusonga mbele (CAS) ili kudai haki yao. Mara ya baada ya kutuma malalamiko yao CAS, klabu ya Yanga SC itasubiri taratibu kutoka katika Mahakama hiyo kisha kesi yao kuanza kusikilizwa.
    Like
    Haha
    2
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·845 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • Dullah Tz98 @DullahX98 أضاف صورة
    2025-03-18 07:27:35 ·
    Like
    1
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·169 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • David Atto @Mefa أضاف صورة
    2025-03-18 07:38:03 ·
    Love
    Like
    3
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·334 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • Dullah Tz98 @DullahX98 أضاف صورة
    2025-03-18 11:13:37 ·
    Nchi ya Israeli imeanza upya mashambulizi yake ya anga ya dhidi ya Gaza, na kuua halaiki ya Wapalestina usiku kucha huku Mamia ya Watu wakijeruhiwa katika mashambulizi hayo. Ofisi ya Waziri Mkuu wa Israeli, Benjamin Netanyahu imeishutumu Hamas kwa kushindwa kuwarudisha mateka wa Israel wapatao (59) waliosalia baada ya kuanzisha tena vita vyake dhidi ya Wapalestina huko Gaza.

    Netanyahu aliviamuru vikosi vya Israeli kurudi vitani huko Gaza, akisema mashambulizi ya anga na ardhini dhidi ya Wapalestina yataendelea hadi pale Hamas itakapowaachilia mateka wote. Idadi ya vifo vinavyotokana na mashambulizi hayo yameongezeka hadi kufikia takribani Wapalestina 340.

    Nchi ya Israeli 🇮🇱 imeanza upya mashambulizi yake ya anga ya dhidi ya Gaza, na kuua halaiki ya Wapalestina usiku kucha huku Mamia ya Watu wakijeruhiwa katika mashambulizi hayo. Ofisi ya Waziri Mkuu wa Israeli, Benjamin Netanyahu imeishutumu Hamas kwa kushindwa kuwarudisha mateka wa Israel wapatao (59) waliosalia baada ya kuanzisha tena vita vyake dhidi ya Wapalestina huko Gaza. Netanyahu aliviamuru vikosi vya Israeli kurudi vitani huko Gaza, akisema mashambulizi ya anga na ardhini dhidi ya Wapalestina yataendelea hadi pale Hamas itakapowaachilia mateka wote. Idadi ya vifo vinavyotokana na mashambulizi hayo yameongezeka hadi kufikia takribani Wapalestina 340.
    Like
    1
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·437 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • Dullah Tz98 @DullahX98 أضاف صورة
    2025-03-18 11:14:19 ·
    Ahmed Ally, Msemaji wa klabu ya Simba SC

    Anatokea mwehu mmoja anamdhihaki huyu Rais au kikundi cha vijana wa hovyo wanadhihaki Mamlaka za mpira wetu, Hii Nchi uhuru umepitiliza sana

    Wallace Karia, TFF na Bodi ya Ligi Wanapaswa kuheshimiwa, kuenziwa, kutunzwa na kulindwa maana wamefanya kazi kubwa na wanaendelea kufanya kazi kubwa kwenye mpira wetu

    Yote tuliyokua tunayaota kwenye mpira sasa hivi yanatokea, yale tuliyodhani ni magumu kwa Karia yamewezekana

    Na kama haitoshi tunaiona kesho njema ya mpira wa Tanzania chini ya Karia na wenzake

    President @wallacekaria na Uongozi wako wa TFF na Bodi ya ligi msirudi nyuma na msikubali mtu akaturudisha nyuma sasa hivi tunawaza World Cup tunawaza Utawala wa AFCON na Ubingwa Afrika ngazi klabu

    KAMA HUMPENDI KARIA PENDA MAFANIKIO YAKE"

    Ahmed Ally, Msemaji wa klabu ya Simba SC ✍️ Anatokea mwehu mmoja anamdhihaki huyu Rais au kikundi cha vijana wa hovyo wanadhihaki Mamlaka za mpira wetu, Hii Nchi uhuru umepitiliza sana Wallace Karia, TFF na Bodi ya Ligi Wanapaswa kuheshimiwa, kuenziwa, kutunzwa na kulindwa maana wamefanya kazi kubwa na wanaendelea kufanya kazi kubwa kwenye mpira wetu Yote tuliyokua tunayaota kwenye mpira sasa hivi yanatokea, yale tuliyodhani ni magumu kwa Karia yamewezekana Na kama haitoshi tunaiona kesho njema ya mpira wa Tanzania chini ya Karia na wenzake President @wallacekaria na Uongozi wako wa TFF na Bodi ya ligi msirudi nyuma na msikubali mtu akaturudisha nyuma sasa hivi tunawaza World Cup tunawaza Utawala wa AFCON na Ubingwa Afrika ngazi klabu KAMA HUMPENDI KARIA PENDA MAFANIKIO YAKE"
    Like
    1
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·1كيلو بايت مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • Saleh Khamis @salevic.10 تحديث صورة الملف الشخصي
    2025-03-18 12:55:06 ·
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·251 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • Dullah Tz98 @DullahX98 أضاف صورة
    2025-03-18 15:15:30 ·
    Like
    1
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·186 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • Dullah Tz98 @DullahX98 أضاف صورة
    2025-03-18 15:15:40 ·
    Like
    1
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·181 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • Dullah Tz98 @DullahX98 أضاف صورة
    2025-03-18 15:15:52 ·
    Like
    Love
    2
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·183 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • عرض (23601-23610 من 28480)
  • «
  • السابق
  • 2359
  • 2360
  • 2361
  • 2362
  • 2363
  • التالي
  • »
ترقية الحساب
اختر الخطة التي تناسبك
ترقية
© 2025 Socialpop
Arabic
English Arabic French Spanish Portuguese Deutsch Turkish Dutch Italiano Russian Romaian Portuguese (Brazil) Greek
الشروط الخصوصية اتصل بنا الدليل المطوريين