0 Comments
·0 Shares
·44 Views
-
Ni mwendo wa kuchambua kila kitu, hakuna cha kupoteza.
"UZINDUZI WA AIRTEL SDTADIUM,KAPETI LA SINGIDA BLACK STARS..Kudos @singidablackstarssc 👏🏻👏🏻👏🏻
Wakubwa wa Kariakoo mtapanga kwa watoto Mpaka Lini? Kila Mwaka kuna Michoro mipya ya Uwanja hasa Uchaguzi ukikaribia
Ukiwa na Kiwanja chako hata Ukituwekea Mabaunsa 10000 Kidogo unaweza Kueleweka.
Au Ukiwa na Kiwanja Chako Mwenyewe hakuna mtu atakuuliza eti mbona umekuja Kufanya Mazoezi bila Kutoa taarifa?
Ukiwa na Kiwanja chako unaweza Kuja hata na Ng’ombe Mazoezini ,mbuzi Kitu gani?
Note; Cha Muhimu zaidi Dimba hili linapatikana Pale MTIPA" - Wilson Orumo, Mchambuzi
Ni mwendo wa kuchambua kila kitu, hakuna cha kupoteza. "UZINDUZI WA AIRTEL SDTADIUM,KAPETI LA SINGIDA BLACK STARS..Kudos @singidablackstarssc 👏🏻👏🏻👏🏻 Wakubwa wa Kariakoo mtapanga kwa watoto Mpaka Lini? Kila Mwaka kuna Michoro mipya ya Uwanja hasa Uchaguzi ukikaribia 😅😅😅😅🙌 Ukiwa na Kiwanja chako hata Ukituwekea Mabaunsa 10000 Kidogo unaweza Kueleweka. Au Ukiwa na Kiwanja Chako Mwenyewe hakuna mtu atakuuliza eti mbona umekuja Kufanya Mazoezi bila Kutoa taarifa? Ukiwa na Kiwanja chako unaweza Kuja hata na Ng’ombe Mazoezini ,mbuzi Kitu gani? 😅 Note; Cha Muhimu zaidi Dimba hili linapatikana Pale MTIPA✅" - Wilson Orumo, Mchambuzi ✍️0 Comments ·0 Shares ·4 Views -
-
"Masaa 72 Yanga waliowapa TPLB yamekwisha, Sasa tukutane CAS
Tukumbuke tarehe March 10, 2025.
Yanga waliandika barua Kwa bodi ya ligi kudai haki Yao ya magoli 3 pamoja na points 3 na fidia ya Tshs million 56,435,000 baada ya uvunjifu wa mchezo ambao ulikuwa ufanyike tarehe 8 March
Simba waliwashinikiza bodi ya ligi katika hali isiyo ya kawaida bodi ya ligi Kwa kuongozwa na hisia na bila ya kufuata kanuni wanavunja mchezo
Bodi ya ligi walijulishwa wao wakachagua kukaa kimya bila kujibu madai ya young Africans
Sasa baada ya saa 72 kutamatika shauri linaenda kwenye mahakama ya usulihisi wa michezo kimataifa CAS
Hapa hata bodi ya ligi walipanga tarehe mpya ya mchezo hakuna kitakachoendelea Kwa kuwa shauri litakuwa CAS
Kila la heri Young Africans
Yanga bingwa" - Mwalimu Yanga, Shabiki kindakindaki wa klabu ya Yanga SC.
"Masaa 72 Yanga waliowapa TPLB yamekwisha, Sasa tukutane CAS Tukumbuke tarehe March 10, 2025. Yanga waliandika barua Kwa bodi ya ligi kudai haki Yao ya magoli 3 pamoja na points 3 na fidia ya Tshs million 56,435,000 baada ya uvunjifu wa mchezo ambao ulikuwa ufanyike tarehe 8 March Simba waliwashinikiza bodi ya ligi katika hali isiyo ya kawaida bodi ya ligi Kwa kuongozwa na hisia na bila ya kufuata kanuni wanavunja mchezo Bodi ya ligi walijulishwa wao wakachagua kukaa kimya bila kujibu madai ya young Africans Sasa baada ya saa 72 kutamatika shauri linaenda kwenye mahakama ya usulihisi wa michezo kimataifa CAS Hapa hata bodi ya ligi walipanga tarehe mpya ya mchezo hakuna kitakachoendelea Kwa kuwa shauri litakuwa CAS Kila la heri Young Africans Yanga bingwa" - Mwalimu Yanga, Shabiki kindakindaki wa klabu ya Yanga SC.0 Comments ·0 Shares ·3 Views -
-
-
-