• "Masaa 72 Yanga waliowapa TPLB yamekwisha, Sasa tukutane CAS

    Tukumbuke tarehe March 10, 2025.

    Yanga waliandika barua Kwa bodi ya ligi kudai haki Yao ya magoli 3 pamoja na points 3 na fidia ya Tshs million 56,435,000 baada ya uvunjifu wa mchezo ambao ulikuwa ufanyike tarehe 8 March

    Simba waliwashinikiza bodi ya ligi katika hali isiyo ya kawaida bodi ya ligi Kwa kuongozwa na hisia na bila ya kufuata kanuni wanavunja mchezo

    Bodi ya ligi walijulishwa wao wakachagua kukaa kimya bila kujibu madai ya young Africans

    Sasa baada ya saa 72 kutamatika shauri linaenda kwenye mahakama ya usulihisi wa michezo kimataifa CAS

    Hapa hata bodi ya ligi walipanga tarehe mpya ya mchezo hakuna kitakachoendelea Kwa kuwa shauri litakuwa CAS

    Kila la heri Young Africans

    Yanga bingwa" - Mwalimu Yanga, Shabiki kindakindaki wa klabu ya Yanga SC.

    "Masaa 72 Yanga waliowapa TPLB yamekwisha, Sasa tukutane CAS Tukumbuke tarehe March 10, 2025. Yanga waliandika barua Kwa bodi ya ligi kudai haki Yao ya magoli 3 pamoja na points 3 na fidia ya Tshs million 56,435,000 baada ya uvunjifu wa mchezo ambao ulikuwa ufanyike tarehe 8 March Simba waliwashinikiza bodi ya ligi katika hali isiyo ya kawaida bodi ya ligi Kwa kuongozwa na hisia na bila ya kufuata kanuni wanavunja mchezo Bodi ya ligi walijulishwa wao wakachagua kukaa kimya bila kujibu madai ya young Africans Sasa baada ya saa 72 kutamatika shauri linaenda kwenye mahakama ya usulihisi wa michezo kimataifa CAS Hapa hata bodi ya ligi walipanga tarehe mpya ya mchezo hakuna kitakachoendelea Kwa kuwa shauri litakuwa CAS Kila la heri Young Africans Yanga bingwa" - Mwalimu Yanga, Shabiki kindakindaki wa klabu ya Yanga SC.
    0 Reacties 0 aandelen 597 Views
  • 0 Reacties 0 aandelen 662 Views
  • Love
    1
    0 Reacties 0 aandelen 237 Views
  • Love
    1
    0 Reacties 0 aandelen 240 Views
  • Love
    1
    1 Reacties 0 aandelen 248 Views
  • 0 Reacties 0 aandelen 86 Views
  • 0 Reacties 0 aandelen 93 Views
  • Margaret Nduta Macharia (37) ambaye ni Raia wa Kenya aliyekamatwa mwaka 2023 Nchini Vietnam na kilogramu mbili (2) za dawa za kulevya aina ya Cocaine, anatarajiwa kunyongwa hadi kufa kesho Jumatatu Machi 17, 2025.

    Kwa mujibu wa tovuti ya Daily Nation, Margaret aliyepewa hukumu hiyo Machi 6, 2025 alisema alipewa mzigo huo wa dawa za kulevya na Mwanaume mmoja kutoka Nchini Kenya aliyemtaja kwa jina moja la John. Pia, taarifa hiyo inaeleza kuwa alifanikiwa kupita katika Viwanja vitatu (3) vya Ndege bila kukamatwa, kabla ya kugundulika Nchini Vietnam. Viwanja hivyo ni pamoja na Jomo Kenyatta (Kenya), Bole (Ethiopia) na Hamad (Qatar).

    Hata hivyo, Margaret akijitetea Mahakamani Nchini Vietnam alidai hakufahamu kama mzigo ule ulikuwa ni dawa za kulevya. Taarifa kutoka Nchini Vietnam, Margaret atakula chakula chake cha mwisho kesho saa 1:30 usiku na kisha kunyongwa saa 2:30 za usiku.

    Margaret Nduta Macharia (37) ambaye ni Raia wa Kenya 馃嚢馃嚜 aliyekamatwa mwaka 2023 Nchini Vietnam 馃嚮馃嚦 na kilogramu mbili (2) za dawa za kulevya aina ya Cocaine, anatarajiwa kunyongwa hadi kufa kesho Jumatatu Machi 17, 2025. Kwa mujibu wa tovuti ya Daily Nation, Margaret aliyepewa hukumu hiyo Machi 6, 2025 alisema alipewa mzigo huo wa dawa za kulevya na Mwanaume mmoja kutoka Nchini Kenya aliyemtaja kwa jina moja la John. Pia, taarifa hiyo inaeleza kuwa alifanikiwa kupita katika Viwanja vitatu (3) vya Ndege bila kukamatwa, kabla ya kugundulika Nchini Vietnam. Viwanja hivyo ni pamoja na Jomo Kenyatta (Kenya), Bole (Ethiopia) na Hamad (Qatar). Hata hivyo, Margaret akijitetea Mahakamani Nchini Vietnam alidai hakufahamu kama mzigo ule ulikuwa ni dawa za kulevya. Taarifa kutoka Nchini Vietnam, Margaret atakula chakula chake cha mwisho kesho saa 1:30 usiku na kisha kunyongwa saa 2:30 za usiku.
    0 Reacties 0 aandelen 570 Views
  • Adhabu ya Raia kutoka Nchini Kenya ambaye alikuwa anyongwe mpaka kifo baada ya kukamatwa na madawa ya kulevya aina ya cocaine Nchini Vietnam imepunguzwa baada ya jitihada nyingi za Viongozi wa Kenya kuomba sana kwa Serikali hiyo impunguzie adhabu ya Magreth Nduta.

    Kwa sasa adhabu ya Magret Nduta imesogezwa mpaka mwezi June ili kuona kama Vietnam watakubali Magreth kurudishwa ili aje apewe kifungo na nchi yake ya Kenya .

    Ikumbukwe kuwa Vietnam ni moja ya Nchi yenye misimamo mikali sana kuhusu Wauzaji na Wasambazaji wa madawa ya kulevya ambapo adhabu yake ni kufa.

    Adhabu ya Raia kutoka Nchini Kenya 馃嚢馃嚜 ambaye alikuwa anyongwe mpaka kifo baada ya kukamatwa na madawa ya kulevya aina ya cocaine Nchini Vietnam 馃嚮馃嚦 imepunguzwa baada ya jitihada nyingi za Viongozi wa Kenya 馃嚢馃嚜 kuomba sana kwa Serikali hiyo impunguzie adhabu ya Magreth Nduta. Kwa sasa adhabu ya Magret Nduta imesogezwa mpaka mwezi June ili kuona kama Vietnam 馃嚮馃嚦 watakubali Magreth kurudishwa ili aje apewe kifungo na nchi yake ya Kenya 馃嚢馃嚜. Ikumbukwe kuwa Vietnam 馃嚮馃嚦 ni moja ya Nchi yenye misimamo mikali sana kuhusu Wauzaji na Wasambazaji wa madawa ya kulevya ambapo adhabu yake ni kufa.
    0 Reacties 0 aandelen 444 Views
  • 0 Reacties 0 aandelen 110 Views