• World Happiness Report 2025 imetangaza orodha ya Nchi zenye furaha zaidi Duniani huku Nchi ya Finland ikiendelea kushika nafasi ya kwanza kwa mwaka wa nane (8) mfululizo, Tanzania imeshika nafasi ya 136 kati ya Nchi 147, ikishuka kwa nafasi tano kutoka nafasi ya 131 mwaka uliopita. Nafasi ya sasa inaiweka Nchi hiyo kuwa miongoni mwa Nchi 11 za mwisho Duniani kwa viwango vya furaha.

    Cha kushangaza ni kwamba Tanzania , licha ya kuwa na amani na utajiri mkubwa wa maliasili, imepitwa hata na mataifa yenye migogoro kama Somalia . Nchi jirani kama Kenya na Uganda , ambazo mara kwa mara hukumbwa na changamoto za kisiasa na kiusalama, zimepata nafasi za juu zaidi. Hapa chini ni orodha ya Nchi zenye furaha kwa mujibu wa World Happiness Report 2025, kuonyesha kumi bora na zilizoshika mkia. Kwa Afrika Mauritius inaongoza, wakati Lebanon , Sierra Leone na Afghanistan ni Nchi tatu za mwisho Duniani.

    1. Finland
    2. Denmark
    3. Iceland
    4. Sweden
    5. Uholanzi

    6. Costa Rica
    7. Norway
    8. Israel
    9. Luxemborg
    10.Mexico

    78. Mauritius
    79. Libya
    84. Algeria
    115. Kenya
    116. Uganda

    122. Somalia
    136. Tanzania
    145. Lebanon
    146. Sierra Leone
    147. Afghanistan

    World Happiness Report 2025 imetangaza orodha ya Nchi zenye furaha zaidi Duniani huku Nchi ya Finland 馃嚝馃嚠 ikiendelea kushika nafasi ya kwanza kwa mwaka wa nane (8) mfululizo, Tanzania imeshika nafasi ya 136 kati ya Nchi 147, ikishuka kwa nafasi tano kutoka nafasi ya 131 mwaka uliopita. Nafasi ya sasa inaiweka Nchi hiyo kuwa miongoni mwa Nchi 11 za mwisho Duniani kwa viwango vya furaha. Cha kushangaza ni kwamba Tanzania 馃嚬馃嚳, licha ya kuwa na amani na utajiri mkubwa wa maliasili, imepitwa hata na mataifa yenye migogoro kama Somalia 馃嚫馃嚧. Nchi jirani kama Kenya 馃嚢馃嚜 na Uganda 馃嚭馃嚞, ambazo mara kwa mara hukumbwa na changamoto za kisiasa na kiusalama, zimepata nafasi za juu zaidi. Hapa chini ni orodha ya Nchi zenye furaha kwa mujibu wa World Happiness Report 2025, kuonyesha kumi bora na zilizoshika mkia. Kwa Afrika Mauritius 馃嚥馃嚪 inaongoza, wakati Lebanon 馃嚤馃嚙, Sierra Leone 馃嚫馃嚤na Afghanistan 馃嚘馃嚝 ni Nchi tatu za mwisho Duniani. 1. Finland 馃嚝馃嚠 2. Denmark 馃嚛馃嚢 3. Iceland 馃嚠馃嚫 4. Sweden 馃嚫馃嚜 5. Uholanzi 馃嚦馃嚤 6. Costa Rica 馃嚚馃嚪 7. Norway 馃嚦馃嚧 8. Israel 馃嚠馃嚤 9. Luxemborg 馃嚤馃嚭 10.Mexico 馃嚥馃嚱 78. Mauritius 馃嚥馃嚪 79. Libya 馃嚤馃嚲 84. Algeria 馃嚛馃嚳 115. Kenya 馃嚢馃嚜 116. Uganda 馃嚭馃嚞 122. Somalia 馃嚫馃嚧 136. Tanzania 馃嚬馃嚳 145. Lebanon 馃嚤馃嚙 146. Sierra Leone 馃嚫馃嚤 147. Afghanistan 馃嚘馃嚝
    0 Comments 0 Shares 26 Views
  • 0 Comments 0 Shares 8 Views
  • 0 Comments 0 Shares 8 Views
  • Love
    1
    0 Comments 0 Shares 6 Views
  • 0 Comments 0 Shares 6 Views
  • Klabu ya Kengold inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara, imeiandikia barua redio ya FURAHA FM kupitia kwa Mwanasheria wake Nicky Ngale wakidai fidia ya Shilingi Billion moja na kuombwa radhi kupitia mitandao ya Kijamii baada ya Radio hiyo kupitia mtandao wake wa Kijamii wa Instagram kuchapisha taarifa kuwa:

    “Kengold yaomba alama 15 atakazokatwa Simba na TFF, wapewe wao alama tatu”

    Kufuatia kuchapisha chapisho hilo, Mwanasheria anadai Mteja wake ameathirika kwa kiasi kikubwa huku jina lao likichafuka kwa kiasi kikubwa, nje na hapo matakwa yao yote yanapaswa kutimizwa ndani ya siku saba (7).

    Klabu ya Kengold inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara, imeiandikia barua redio ya FURAHA FM kupitia kwa Mwanasheria wake Nicky Ngale wakidai fidia ya Shilingi Billion moja na kuombwa radhi kupitia mitandao ya Kijamii baada ya Radio hiyo kupitia mtandao wake wa Kijamii wa Instagram kuchapisha taarifa kuwa: “Kengold yaomba alama 15 atakazokatwa Simba na TFF, wapewe wao alama tatu” Kufuatia kuchapisha chapisho hilo, Mwanasheria anadai Mteja wake ameathirika kwa kiasi kikubwa huku jina lao likichafuka kwa kiasi kikubwa, nje na hapo matakwa yao yote yanapaswa kutimizwa ndani ya siku saba (7).
    0 Comments 0 Shares 22 Views
  • Baada ya kuzindua kiwanda cha kutengeneza Nguo, Rais wa Burkina Faso , Kapteni Ibrahim Traoré, Alhamisi hii, amezindua wa kiwanda kipya cha saruji cha Société Industrielle Sino Burkina de Ciments SA (CISINOB SA) kilichopo Laongo, Ziniaré, Mkoani Plateau-Central. Kiwanda hicho, chenye uwezo wa kuzalisha tonni 2,000 za saruji kwa siku, kinatarajiwa kuchochea maendeleo ya viwanda na kutoa mamia ya ajira kwa vijana wa Burkina Faso.

    Akizungumza katika hafla ya uzinduzi, Rais Traoré alielezea mradi huo kama ushirikiano wa heshima kati ya Burkina Faso na China, akisisitiza kuwa uwekezaji huo unalinda mamlaka ya taifa na unatoa manufaa kwa pande zote mbili.

    "Kiwanda hiki ni ishara ya ushirikiano wa kweli, wenye kuheshimu uhuru wetu wa kitaifa,"

    "Burkina Faso inabaki wazi kwa ushirikiano wa dhati unaohakikisha maendeleo ya pamoja." amesema Traoré

    Mradi huo unatarajiwa kusaidia kupunguza uagizaji wa saruji kutoka nje, kuimarisha sekta ya ujenzi, na kuchangia katika ukuaji wa uchumi wa taifa. Serikali imewahimiza wawekezaji zaidi kuwekeza katika sekta muhimu ili kuimarisha maendeleo ya Burkina Faso.

    Baada ya kuzindua kiwanda cha kutengeneza Nguo, Rais wa Burkina Faso 馃嚙馃嚝, Kapteni Ibrahim Traoré, Alhamisi hii, amezindua wa kiwanda kipya cha saruji cha Société Industrielle Sino Burkina de Ciments SA (CISINOB SA) kilichopo Laongo, Ziniaré, Mkoani Plateau-Central. Kiwanda hicho, chenye uwezo wa kuzalisha tonni 2,000 za saruji kwa siku, kinatarajiwa kuchochea maendeleo ya viwanda na kutoa mamia ya ajira kwa vijana wa Burkina Faso. Akizungumza katika hafla ya uzinduzi, Rais Traoré alielezea mradi huo kama ushirikiano wa heshima kati ya Burkina Faso na China, akisisitiza kuwa uwekezaji huo unalinda mamlaka ya taifa na unatoa manufaa kwa pande zote mbili. "Kiwanda hiki ni ishara ya ushirikiano wa kweli, wenye kuheshimu uhuru wetu wa kitaifa," "Burkina Faso inabaki wazi kwa ushirikiano wa dhati unaohakikisha maendeleo ya pamoja." amesema Traoré Mradi huo unatarajiwa kusaidia kupunguza uagizaji wa saruji kutoka nje, kuimarisha sekta ya ujenzi, na kuchangia katika ukuaji wa uchumi wa taifa. Serikali imewahimiza wawekezaji zaidi kuwekeza katika sekta muhimu ili kuimarisha maendeleo ya Burkina Faso.
    0 Comments 0 Shares 18 Views
  • 0 Comments 0 Shares 2 Views
  • Nani mwenye walpaper kali kuzidi hii
    Nani mwenye walpaper kali kuzidi hii鉂わ笍
    0 Comments 0 Shares 6 Views
  • Hv nyiny social pop mnalipa kwel au mna utam na watu
    Hv nyiny social pop mnalipa kwel au mna utam na watu馃槨馃槨馃槨馃榿馃榿馃榿馃き
    0 Comments 0 Shares 9 Views