• Like
    Love
    5
    · 6 Commenti ·0 condivisioni ·417 Views
  • The blues
    #chalsea
    The blues 💙💙💙 #chalsea
    Like
    3
    · 0 Commenti ·0 condivisioni ·101 Views
  • Like
    Yay
    Love
    6
    · 1 Commenti ·0 condivisioni ·402 Views

  • NightlifeTz
    💃💃💃💃💤💤💤💤💤 NightlifeTz
    Like
    Love
    6
    · 7 Commenti ·0 condivisioni ·882 Views
  • Manchester United wanataka takriban asilimia 75 ya pauni milioni 75 walizolipa Borussia Dortmund kwa winga wa Uingereza Jadon Sancho, 24, ambaye atahitaji kupunguzwa mshahara wake wa pauni 275,000 kwa wiki ikiwa klabu hiyo ya Bundesliga itakamilisha dili la kumsaini tena(Sun)

    RB Leipzig wamempa mshambuliaji wa Slovenia Benjamin Sesko mwenye umri wa miaka 20 - ambaye anahusishwa na kuhamia Arsenal - nyongeza ya muda wa kandarasi ya mwaka mmoja. (Fabrizio Romano)

    Sheffield United ingelazimika kulipa kiasi cha tarakimu sita kwa kiungo wa kati wa Brazil Vinicius Souza kwa klabu ya zamani ya Lommel iwapo mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24 angeanza katika mechi dhidi ya Tottenham Jumapili (Sun)

    THCHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES
    Bayern Munich na Ajax wanaendelea kupigania sahihi ya Erik ten Hag, 54, kwa imani kwamba atafutwa kazi kama meneja wa Manchester United mwishoni mwa msimu huu(Mirror)

    Kipa wa Uhispania David Raya, 28, anasema hajafanya mazungumzo yoyote na Arsenal kuhusu iwapo watafanya uhamisho wake wa mkopo kutoka Brentford kuwa wa kudumu. (Express)

    Meneja wa Tottenham Ange Postecoglou ataweka kipaumbele kumsaini mshambuliaji mpya na kiungo wa safu ya ulinzi huku akipanga kuwaachilia wachezaji wengi msimu wa joto (Mirror)

    Ipswich wanasema wanafanya kila linalowezekana kusalia na meneja Kieran McKenna huku kukiwa na nia ya kumchukua kocha huyo kutoka kwa Brighton , Chelsea na Manchester United .(Teamtalk)

    THCHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES
    Mkufunzi wa Chelsea Mauricio Pochettino anasema atafurahi kusalia na 80-85% ya kikosi chake msimu ujao(football.london)

    Mwenyekiti mwenza wa Arsenal Josh Kroenke amewaambia mashabiki "klabu haitasimama tuli" inapotafuta wachezaji ili kusaidia kupata taji la Uingereza na Ulaya(Goal)

    West Ham wanakaribia kumsajili mlinzi mwenye umri wa miaka 18 Mwingereza Luis Brown kutoka Arsenal(Caught Offside..##Sports view
    Manchester United wanataka takriban asilimia 75 ya pauni milioni 75 walizolipa Borussia Dortmund kwa winga wa Uingereza Jadon Sancho, 24, ambaye atahitaji kupunguzwa mshahara wake wa pauni 275,000 kwa wiki ikiwa klabu hiyo ya Bundesliga itakamilisha dili la kumsaini tena(Sun) RB Leipzig wamempa mshambuliaji wa Slovenia Benjamin Sesko mwenye umri wa miaka 20 - ambaye anahusishwa na kuhamia Arsenal - nyongeza ya muda wa kandarasi ya mwaka mmoja. (Fabrizio Romano) Sheffield United ingelazimika kulipa kiasi cha tarakimu sita kwa kiungo wa kati wa Brazil Vinicius Souza kwa klabu ya zamani ya Lommel iwapo mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24 angeanza katika mechi dhidi ya Tottenham Jumapili (Sun) THCHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES Bayern Munich na Ajax wanaendelea kupigania sahihi ya Erik ten Hag, 54, kwa imani kwamba atafutwa kazi kama meneja wa Manchester United mwishoni mwa msimu huu(Mirror) Kipa wa Uhispania David Raya, 28, anasema hajafanya mazungumzo yoyote na Arsenal kuhusu iwapo watafanya uhamisho wake wa mkopo kutoka Brentford kuwa wa kudumu. (Express) Meneja wa Tottenham Ange Postecoglou ataweka kipaumbele kumsaini mshambuliaji mpya na kiungo wa safu ya ulinzi huku akipanga kuwaachilia wachezaji wengi msimu wa joto (Mirror) Ipswich wanasema wanafanya kila linalowezekana kusalia na meneja Kieran McKenna huku kukiwa na nia ya kumchukua kocha huyo kutoka kwa Brighton , Chelsea na Manchester United .(Teamtalk) THCHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES Mkufunzi wa Chelsea Mauricio Pochettino anasema atafurahi kusalia na 80-85% ya kikosi chake msimu ujao(football.london) Mwenyekiti mwenza wa Arsenal Josh Kroenke amewaambia mashabiki "klabu haitasimama tuli" inapotafuta wachezaji ili kusaidia kupata taji la Uingereza na Ulaya(Goal) West Ham wanakaribia kumsajili mlinzi mwenye umri wa miaka 18 Mwingereza Luis Brown kutoka Arsenal(Caught Offside..##Sports view
    Like
    Love
    6
    · 5 Commenti ·0 condivisioni ·588 Views
  • ##Sports view
    Meneja wa Burnley Vincent Kompany, 38, ni miongoni mwa watu wanaopigiwa upatu kuchukua nafasi ya Thomas Tuchel huko Bayern Munich . (Fabrizio Romano)

    Aston Villa wanakaribia kufikia makubaliano ya kumnunua tena mchezaji wa Luton Town na kiungo wa kati wa zamani wa Uingereza Ross Barkley kwa mkataba wa kudumu, miaka minne baada ya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 30 kujiunga kwa mkopo kutoka Chelsea(Guardian)

    Arsenal wanataka kusajili mshambuliaji kabla ya ziara yao ya kujiandaa na msimu mpya, huku nyota wa Newcastle United na Uswidi Alexander Isak, 24, na mshambuliaji wa Ajax na Uholanzi, Brian Brobbey, wakiongoza orodha hiyo.(Independent)

    Chelsea na Manchester United zote zimewasiliana na mkufunzi wa Ipswich Town Kieran McKenna, huku raia huyo wa Ireland Kaskazini akiwa katika harakati za kuchukua nafasi ya Mauricio Pochettino au Erik ten Hag. (Manchester Evening News)

    Wolves itadai kiasi cha kuvunja rekodi ya klabu cha pauni milioni 60 kwa winga wa Ureno mwenye umri wa miaka 24 Pedro Neto, ambaye analengwa na Manchester City na Newcastle msimu wa joto(Telegraph )

    Aston Villa wako tayari kusikiliza ofa kwa mlinzi wa Brazil Diego Carlos, 31, huku wakitarajia kufuata sheria za faida na uendelevu(Telegraph)

    Mkufunzi wa Villa Unai Emery anataka kumsajili beki wa Barcelona na Uruguay Ronald Araujo, 25. (Sport kwa Kihispania)

    Stoke wameonyesha nia ya kutaka kumsajili beki wa Uingereza Conor Coady, 31, kutoka Leicester(Teamtalk),

    Leicester wanajiandaa kushindana na vilabu vya Ufaransa Lyon na Brest kumnunua fowadi wa Burkina Faso Mohamed Konate, 26, ambaye mkataba wake na klabu ya Urusi Akhmat Grozny unamalizika msimu huu. (Football Insider)

    Meneja wa Tottenham Ange Postecoglou ameiomba klabu hiyo takriban wachezaji watatu wapya msimu huu wa joto. (ESPN)

    Manchester United wanavutiwa na mlinzi wa Everton Muingereza Jarrad Branthwaite, 21, na The Toffees wanaweza kumnunua beki wa kati wa Galatasaray na Colombia Davinson Sanchez, 27, kuziba nafasi yake.(Caught Offside)

    Tottenham wako tayari kumuuza mlinzi wa Brazil Emerson Royal, 25, huku Juventus , AC Milan na Bayern Munich zikiwa na hamu ya kumnunua (Givemesport)

    Newcastle wanaweza kumnunua Lloyd Kelly, 25, huku beki huyo wa Uingereza akitarajiwa kuondoka Bournemouth kama mchezaji huru. (Fabrizio Romano)

    Chelsea itadai ada ya pauni milioni 25 kwa mlinzi wa Uingereza Trevoh Chalobah, 24, ambaye anatarajiwa kuvutia vilabu kadhaa (Telegraph)

    Rais wa Corinthians Augusto Melo atasafiri hadi Uingereza wiki ijayo kuzungumza na vilabu kuhusu uwezekano wa kuuzwa kwa mshambuliaji wa Brazil Wesley mwenye umri wa miaka 19. (Globo Esporte - kwa Kireno), ya nje...##Sports view
    ##Sports view Meneja wa Burnley Vincent Kompany, 38, ni miongoni mwa watu wanaopigiwa upatu kuchukua nafasi ya Thomas Tuchel huko Bayern Munich . (Fabrizio Romano) Aston Villa wanakaribia kufikia makubaliano ya kumnunua tena mchezaji wa Luton Town na kiungo wa kati wa zamani wa Uingereza Ross Barkley kwa mkataba wa kudumu, miaka minne baada ya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 30 kujiunga kwa mkopo kutoka Chelsea(Guardian) Arsenal wanataka kusajili mshambuliaji kabla ya ziara yao ya kujiandaa na msimu mpya, huku nyota wa Newcastle United na Uswidi Alexander Isak, 24, na mshambuliaji wa Ajax na Uholanzi, Brian Brobbey, wakiongoza orodha hiyo.(Independent) Chelsea na Manchester United zote zimewasiliana na mkufunzi wa Ipswich Town Kieran McKenna, huku raia huyo wa Ireland Kaskazini akiwa katika harakati za kuchukua nafasi ya Mauricio Pochettino au Erik ten Hag. (Manchester Evening News) Wolves itadai kiasi cha kuvunja rekodi ya klabu cha pauni milioni 60 kwa winga wa Ureno mwenye umri wa miaka 24 Pedro Neto, ambaye analengwa na Manchester City na Newcastle msimu wa joto(Telegraph ) Aston Villa wako tayari kusikiliza ofa kwa mlinzi wa Brazil Diego Carlos, 31, huku wakitarajia kufuata sheria za faida na uendelevu(Telegraph) Mkufunzi wa Villa Unai Emery anataka kumsajili beki wa Barcelona na Uruguay Ronald Araujo, 25. (Sport kwa Kihispania) Stoke wameonyesha nia ya kutaka kumsajili beki wa Uingereza Conor Coady, 31, kutoka Leicester(Teamtalk), Leicester wanajiandaa kushindana na vilabu vya Ufaransa Lyon na Brest kumnunua fowadi wa Burkina Faso Mohamed Konate, 26, ambaye mkataba wake na klabu ya Urusi Akhmat Grozny unamalizika msimu huu. (Football Insider) Meneja wa Tottenham Ange Postecoglou ameiomba klabu hiyo takriban wachezaji watatu wapya msimu huu wa joto. (ESPN) Manchester United wanavutiwa na mlinzi wa Everton Muingereza Jarrad Branthwaite, 21, na The Toffees wanaweza kumnunua beki wa kati wa Galatasaray na Colombia Davinson Sanchez, 27, kuziba nafasi yake.(Caught Offside) Tottenham wako tayari kumuuza mlinzi wa Brazil Emerson Royal, 25, huku Juventus , AC Milan na Bayern Munich zikiwa na hamu ya kumnunua (Givemesport) Newcastle wanaweza kumnunua Lloyd Kelly, 25, huku beki huyo wa Uingereza akitarajiwa kuondoka Bournemouth kama mchezaji huru. (Fabrizio Romano) Chelsea itadai ada ya pauni milioni 25 kwa mlinzi wa Uingereza Trevoh Chalobah, 24, ambaye anatarajiwa kuvutia vilabu kadhaa (Telegraph) Rais wa Corinthians Augusto Melo atasafiri hadi Uingereza wiki ijayo kuzungumza na vilabu kuhusu uwezekano wa kuuzwa kwa mshambuliaji wa Brazil Wesley mwenye umri wa miaka 19. (Globo Esporte - kwa Kireno), ya nje...##Sports view
    Like
    7
    · 1 Commenti ·0 condivisioni ·903 Views
  • Well
    Well
    Umeona majina ya wachezaji wangapi wa Simba hapo?
    0 Commenti ·0 condivisioni ·42 Views
  • HAKUNA MWALIMU MKALI KAMA ULIMWENGU
    HAKUNA MWALIMU MKALI KAMA ULIMWENGU
    Like
    Haha
    4
    · 1 Commenti ·0 condivisioni ·42 Views
  • Well
    Well
    0 Commenti ·0 condivisioni ·42 Views
  • Well
    Well
    0 Commenti ·0 condivisioni ·38 Views