0 Kommentare
·0 Anteile
·15 Ansichten
-
Mahakama Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imebatilisha hukumu ya kifo waliyopewa Raia watatu (3) wa Marekani kwa makosa ya jinai, ugaidi na kujaribu kuipindua Serikali ya Nchi hiyo.
Shirika la Habari la Reuters, limeripoti leo Aprili 2,2025, kuwa taarifa ya Ikulu ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imeeleza watatu hao sasa hawatotumikia adhabu ya kifo badala yake watatumikia kifungo cha maisha jela. Walikuwa miongoni mwa Watu (37) waliohukumiwa kifo Septemba mwaka jana (2024) na Mahakama ya Kijeshi Nchini DR Congo katika mashitaka hayo ambayo hata hivyo waliyakanusha.
Watatu hao ambao ni Mtoto wa Raia wa Marekani mwenye asili ya DR Congo, Christian Malanga, Marcel Malanga Malu, Rafiki zake Tylor Thomson na Zalman Polun Benjamin, walipewa msamaha kutoka kwa Rais Felix Tshisekedi. Walishtakiwa kwa kuongoza genge la uhalifu lililotekeleza shambulio dhidi ya ikulu na makazi ya Mshirika wa Rais wa Nchi nchi hiyo, Mei, 2024.
Katika Taarifa iliyosomwa na Msemaji wa Rais Félix Tshisekedi, Tyna Salama kwenye Televisheni ya Taifa, imesema kuwa Rais Tshisekedi ametoa msamaha huo kwa kubatilisha hukumu ya kifo kwa Rais hao na kuwa ya kifungo cha maisha Jela kwa sababu ya kudumisha mahusiano mazuri kimataifa na Nchi ya Marekani.
Kubatilishwa kwa hukumu hiyo kunakuja kabla ya ziara ya Mshauri mpya Mwandamizi wa Marekani barani Afrika, Massad Boulos. Ambapo ziara hiyo ililenga kwenda DR Congo.
Mahakama Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo 🇨🇩 imebatilisha hukumu ya kifo waliyopewa Raia watatu (3) wa Marekani 🇺🇸 kwa makosa ya jinai, ugaidi na kujaribu kuipindua Serikali ya Nchi hiyo. Shirika la Habari la Reuters, limeripoti leo Aprili 2,2025, kuwa taarifa ya Ikulu ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imeeleza watatu hao sasa hawatotumikia adhabu ya kifo badala yake watatumikia kifungo cha maisha jela. Walikuwa miongoni mwa Watu (37) waliohukumiwa kifo Septemba mwaka jana (2024) na Mahakama ya Kijeshi Nchini DR Congo katika mashitaka hayo ambayo hata hivyo waliyakanusha. Watatu hao ambao ni Mtoto wa Raia wa Marekani mwenye asili ya DR Congo, Christian Malanga, Marcel Malanga Malu, Rafiki zake Tylor Thomson na Zalman Polun Benjamin, walipewa msamaha kutoka kwa Rais Felix Tshisekedi. Walishtakiwa kwa kuongoza genge la uhalifu lililotekeleza shambulio dhidi ya ikulu na makazi ya Mshirika wa Rais wa Nchi nchi hiyo, Mei, 2024. Katika Taarifa iliyosomwa na Msemaji wa Rais Félix Tshisekedi, Tyna Salama kwenye Televisheni ya Taifa, imesema kuwa Rais Tshisekedi ametoa msamaha huo kwa kubatilisha hukumu ya kifo kwa Rais hao na kuwa ya kifungo cha maisha Jela kwa sababu ya kudumisha mahusiano mazuri kimataifa na Nchi ya Marekani. Kubatilishwa kwa hukumu hiyo kunakuja kabla ya ziara ya Mshauri mpya Mwandamizi wa Marekani barani Afrika, Massad Boulos. Ambapo ziara hiyo ililenga kwenda DR Congo.0 Kommentare ·0 Anteile ·68 Ansichten -
-
"Goli mbili ni nyingi kwenye soka la Africa,tena kwa bahati mbaya ni 2-0,hivyo kwenye mechi ya pili Simba wanatakiwa kufunga goli tatu huku wakipambana kutoruhusu goli lolote….huu ni mlima mkubwa sana.
Kuna mtu atakwambia Simba wamecheza vizuri,walikuwa na on target 7 na total shots 18 ila mwisho wa Siku hakuna goli.
Narudia tena mechi za mtoano watu hawaangalii umiliki wa mpira bali matokeo ya mwisho,ndio maana ushangai kuona Al ahly anapaki Bus kwenye mechi za ugenini.
Ni kweli Simba walikuwa na umiliki mkubwa ila nyuma hawakuwa na nidhamu,Al Masry walikuwa tishio kwenye counter na hata goli la pili limetokana na counter.
Haya ni makosa ya miaka yote ya Simba kutaka umiliki mkubwa kuliko matokeo ya kupita.
Nilitarajia Simba kupaki bus na kupiga counter ila imekuwa tofauti na goli mbili wamefungwa baada ya kuingia kwenye mtego wa Masry
Simba wametengeneza mlima mkubwa sana" - Hans Rafael, Mchambuzi.
"Goli mbili ni nyingi kwenye soka la Africa,tena kwa bahati mbaya ni 2-0,hivyo kwenye mechi ya pili Simba wanatakiwa kufunga goli tatu huku wakipambana kutoruhusu goli lolote….huu ni mlima mkubwa sana. Kuna mtu atakwambia Simba wamecheza vizuri,walikuwa na on target 7 na total shots 18 ila mwisho wa Siku hakuna goli. Narudia tena mechi za mtoano watu hawaangalii umiliki wa mpira bali matokeo ya mwisho,ndio maana ushangai kuona Al ahly anapaki Bus kwenye mechi za ugenini. Ni kweli Simba walikuwa na umiliki mkubwa ila nyuma hawakuwa na nidhamu,Al Masry walikuwa tishio kwenye counter na hata goli la pili limetokana na counter. Haya ni makosa ya miaka yote ya Simba kutaka umiliki mkubwa kuliko matokeo ya kupita. Nilitarajia Simba kupaki bus na kupiga counter ila imekuwa tofauti na goli mbili wamefungwa baada ya kuingia kwenye mtego wa Masry🥲 Simba wametengeneza mlima mkubwa sana" - Hans Rafael, Mchambuzi. -
“Kila siku Robo tu , Kocha naye amechangia Dakika ya kwanza tu toa Ateba weka Mukwala , Halftime toa Ngoma weka Mavambo mwarabu alikuwa anakufa” Mwisho wa kunukuu
Kuna kibanda umiza nipo hapa nimenukuu maneno ya shabiki Ingawa sijafanikiwa kujua ni shabiki wa timu gani" - Shaffih Dauda, Mchambuzi
“Kila siku Robo tu , Kocha naye amechangia Dakika ya kwanza tu toa Ateba weka Mukwala , Halftime toa Ngoma weka Mavambo mwarabu alikuwa anakufa” Mwisho wa kunukuu Kuna kibanda umiza nipo hapa nimenukuu maneno ya shabiki Ingawa sijafanikiwa kujua ni shabiki wa timu gani" - Shaffih Dauda, Mchambuzi ✍️0 Kommentare ·0 Anteile ·24 Ansichten -
-
-
-
"Simba SC wamepoteza lakini HII WANAVUKA, NO DOUBT. Sioni Al Masry wakileta ubishi kwa Mkapa, dhahiri watatii Sheria iwe kwa shuruti au bila shuruti. Heads up boys, come finish your job. TANZANIA KWANZA" - Jemedari Said, Mchambuzi.
"Simba SC wamepoteza lakini HII WANAVUKA, NO DOUBT. Sioni Al Masry wakileta ubishi kwa Mkapa, dhahiri watatii Sheria iwe kwa shuruti au bila shuruti. Heads up boys, come finish your job. TANZANIA 🇹🇿 KWANZA" - Jemedari Said, Mchambuzi. -