
-
-
-
-
-
"Goli 8 Asisti 9 So Far .. Kabatini kwake kuna TUZO 6 za MAN OF THE MATCH. Tuzo 3 kazibeba kwenye mechi za ugenini, Tuzo 3 kazibeba kwenye mechi za Nyumbani
Na kubwa zaidi, Tuzo 3 za Man of The Match kazibeba kwenye MECHI 3 MFULULIZO
Mabibi na Mabwana .. Huyu sio mwingine ni EL PROFFESSSSOR @pacom_zouzoua .. HE IS ON FIRE🫡
Mungu aendelee kumpa afya njema Tukamilishe Jambo letu Msimu huu" - Ali Kamwe, Msemaji wa klabu ya Yanga SC.
"Goli 8 Asisti 9 So Far .. Kabatini kwake kuna TUZO 6 za MAN OF THE MATCH. Tuzo 3 kazibeba kwenye mechi za ugenini, Tuzo 3 kazibeba kwenye mechi za Nyumbani Na kubwa zaidi, Tuzo 3 za Man of The Match kazibeba kwenye MECHI 3 MFULULIZO Mabibi na Mabwana .. Huyu sio mwingine ni EL PROFFESSSSOR @pacom_zouzoua .. HE IS ON FIRE🫡 Mungu aendelee kumpa afya njema Tukamilishe Jambo letu Msimu huu👑" - Ali Kamwe, Msemaji wa klabu ya Yanga SC. -
"Waamuzi wetu waliangalia world cup 2022? Basi hata Saudi pro league inaonyeshwa kwenye visimbuzi ambavyo wako navyo majumbani mwao.
Na sio leo tu, ni kama wameiweka akilini kuwa dakika za nyongeza ni kadhaa tu bila kuangalia matukio yaliyo simamisha mchezo kwenye kipindi husika" - George Job, Mchambuzi.
"Waamuzi wetu waliangalia world cup 2022? Basi hata Saudi pro league inaonyeshwa kwenye visimbuzi ambavyo wako navyo majumbani mwao. Na sio leo tu, ni kama wameiweka akilini kuwa dakika za nyongeza ni kadhaa tu bila kuangalia matukio yaliyo simamisha mchezo kwenye kipindi husika" - George Job, Mchambuzi. -
-
-
Meneja wa Uwanja wa Benjamin Mkapa amekubali kujiweka pembeni kwenye kusimamia Uwanja baada ya ombi la Wazee wa klabu ya Simba SC kumtaka kufanya hivyo mpaka mwisho wa mchezo wa mkondo wa pili wa robo fainali ya kombe la Shirikisho barani Afrika (CAF Confederation Cup) Kati ya Simba SC dhidi ya All Masry ya Misri utakaochezwa keshokutwa April 9, 2025
Wazee wa klabu ya Simba SC walienda kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa asubuhi wakimtaka Meneja wa Uwanja huo kuondoka mara moja kwa sababu hawana imani naye wakihofia kuwa anaweza kuwahujumu kwenye mchezo wao dhidi ya klabu ya Al Masry. Wazee hao wanadai kuwa hata mchezo wao dhidi ya klabu ya Yanga SC ulioahirishwa chanzo ilikuwa yeye Meneja
Meneja wa Uwanja wa Benjamin Mkapa amekubali kujiweka pembeni kwenye kusimamia Uwanja baada ya ombi la Wazee wa klabu ya Simba SC kumtaka kufanya hivyo mpaka mwisho wa mchezo wa mkondo wa pili wa robo fainali ya kombe la Shirikisho barani Afrika (CAF Confederation Cup) Kati ya Simba SC dhidi ya All Masry ya Misri 🇪🇬 utakaochezwa keshokutwa April 9, 2025 Wazee wa klabu ya Simba SC walienda kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa asubuhi wakimtaka Meneja wa Uwanja huo kuondoka mara moja kwa sababu hawana imani naye wakihofia kuwa anaweza kuwahujumu kwenye mchezo wao dhidi ya klabu ya Al Masry. Wazee hao wanadai kuwa hata mchezo wao dhidi ya klabu ya Yanga SC ulioahirishwa chanzo ilikuwa yeye Meneja