• "Nafahamu wote kwa pamoja tuna hamu ya kupata matokeo katika mechi hii lakini matokeo haya kuyapata kwa kushinda na kufuzu. Sisi tumeweka mazingira mazuri ambayo yataiwezesha timu yetu kufuzu.”

    “Nipo hapa kuwataka Watanzania kujitokeza kwa wingi Uwanja wa Mkapa alkini ningependa kutoa taarifa muhimu kwamba tunaendelea kushirikiana na serikali kuimarisha usalama wa siku hiyo. Tunawataka wapenzi wetu kuhakikisha kwamba wanazingatia mazingatio yote ambayo yatawekwa ya usalama. Hatutaruhusu mtu yeyote ambaye sio Mwanasimba kutuharibia shughuli yetu.”

    “Katika mchezo uliopita walisema maneno mengi kwamba kuna wazee wafupi, mbuzi lakini tuwatumie ujumbe kwamba kama mechi aikuhusu wabaki nyumbani na sisi tumejiandaa kuthibiti hilo kama klabu.”- Zubeda Sakuru, CEO wa klabu ya Simba SC.

    "Nafahamu wote kwa pamoja tuna hamu ya kupata matokeo katika mechi hii lakini matokeo haya kuyapata kwa kushinda na kufuzu. Sisi tumeweka mazingira mazuri ambayo yataiwezesha timu yetu kufuzu.” “Nipo hapa kuwataka Watanzania kujitokeza kwa wingi Uwanja wa Mkapa alkini ningependa kutoa taarifa muhimu kwamba tunaendelea kushirikiana na serikali kuimarisha usalama wa siku hiyo. Tunawataka wapenzi wetu kuhakikisha kwamba wanazingatia mazingatio yote ambayo yatawekwa ya usalama. Hatutaruhusu mtu yeyote ambaye sio Mwanasimba kutuharibia shughuli yetu.” “Katika mchezo uliopita walisema maneno mengi kwamba kuna wazee wafupi, mbuzi lakini tuwatumie ujumbe kwamba kama mechi aikuhusu wabaki nyumbani na sisi tumejiandaa kuthibiti hilo kama klabu.”- Zubeda Sakuru, CEO wa klabu ya Simba SC.
    Like
    1
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·1K Views
  • Like
    1
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·142 Views
  • Yanga walianza mchezo vizuri sana kwa kufanya kila kitu kwa usahihi pale wanapokuwa na mpira na wasipokuwa na mpira . Kivipi ?

    1: Wakati wanaanza build up wanakuwa na muundo mzuri wa 2-3-4-1 unawapa walinzi wao machaguo ya kupasia mipira (Job na Bakari wanakuwa nyuma then FBs wanakuwa mstari moja na Aucho , hapo Yanga wanapata msingi sahihi ya kufika kwenye eneo la mwisho kwa kupitia katikati na pembeni ya uwanja , rahisi kuishinda pressing ya Coastal ambayo hawakuwa na idadi nzuri ya wachezaji wakati wanaweka presha .

    2: Kwasababu Coastal Union hawakuweka presha vizuri kwenye mpira na positioning ya wachezaji wa Yanga ilikuwa nzuri , hapo ikawa rahisi kwa Yanga kufika eneo la mwisho baada ya hapo ni Yanga kuwa wafanisi mbele ya goli (unatumiaje nafasi kuimaliza game) .

    Maxi na Pacome waliuliza maswali magumu kwa walinzi wa Coastal walibadilishana nafasi kutokana na wapi mpira ulipo , nafasi zilikuwepo hasa kwenye zile “Half Spaces” na ndio maana pamoja na Coastal kuzuia wakiwa chini mda mwingi lakini Yanga waliwafungua kirahisi kwasababu wachezaji wao walikuwa mara nyingi wanachelewa kufika kwenye eneo la tukio .

    Nafikiri Coastal walijua kabisa hawawezi kupishana na Yanga kutokana na ubora wa mpinzani wake , wakaamua kuchagua vita yao ya kuzuia wakiwa chini na kuweka mtego wa kushambulia kwa kushtukiza . Lakini kuna nyakati wakivuka kwenye mstari wa kati wanachotegemea ni ubora wa mchezaji mmoja mmoja kufanya jambo kubwa .

    NOTE :

    1: Golikipa wa Coastal “FALESI” kafanya saves nyingi nzuri (kupunguza idadi ya magoli)

    2: Maxi na Pacome wamecheza game nzuri sana (Rotation ya nafasi , positioning zao zilikuwa sahihi )

    3: Lawi kacheza vizuri sana kwenye kiungo nimependa Energy ya Maabad

    4: Pacome goli la 8 kwenye NBCPL ( anakupa magoli na kufanya vitu vingine vitokee uwanjani kwa dribbling na Positioning yake )

    FT: Yanga 1-0 Coastal Union .
    (Kelvin Rabson).

    Yanga walianza mchezo vizuri sana kwa kufanya kila kitu kwa usahihi pale wanapokuwa na mpira na wasipokuwa na mpira . Kivipi ? 1: Wakati wanaanza build up wanakuwa na muundo mzuri wa 2-3-4-1 unawapa walinzi wao machaguo ya kupasia mipira (Job na Bakari wanakuwa nyuma then FBs wanakuwa mstari moja na Aucho , hapo Yanga wanapata msingi sahihi ya kufika kwenye eneo la mwisho kwa kupitia katikati na pembeni ya uwanja , rahisi kuishinda pressing ya Coastal ambayo hawakuwa na idadi nzuri ya wachezaji wakati wanaweka presha . 2: Kwasababu Coastal Union hawakuweka presha vizuri kwenye mpira na positioning ya wachezaji wa Yanga ilikuwa nzuri , hapo ikawa rahisi kwa Yanga kufika eneo la mwisho baada ya hapo ni Yanga kuwa wafanisi mbele ya goli (unatumiaje nafasi kuimaliza game) . ✍️ Maxi na Pacome waliuliza maswali magumu kwa walinzi wa Coastal walibadilishana nafasi kutokana na wapi mpira ulipo , nafasi zilikuwepo hasa kwenye zile “Half Spaces” na ndio maana pamoja na Coastal kuzuia wakiwa chini mda mwingi lakini Yanga waliwafungua kirahisi kwasababu wachezaji wao walikuwa mara nyingi wanachelewa kufika kwenye eneo la tukio . ✍️ Nafikiri Coastal walijua kabisa hawawezi kupishana na Yanga kutokana na ubora wa mpinzani wake , wakaamua kuchagua vita yao ya kuzuia wakiwa chini na kuweka mtego wa kushambulia kwa kushtukiza . Lakini kuna nyakati wakivuka kwenye mstari wa kati wanachotegemea ni ubora wa mchezaji mmoja mmoja kufanya jambo kubwa . NOTE : 1: Golikipa wa Coastal “FALESI” kafanya saves nyingi nzuri (kupunguza idadi ya magoli) 2: Maxi na Pacome wamecheza game nzuri sana (Rotation ya nafasi , positioning zao zilikuwa sahihi 🔥) 3: Lawi kacheza vizuri sana kwenye kiungo 👏 nimependa Energy ya Maabad ✅ 4: Pacome goli la 8 kwenye NBCPL ( anakupa magoli na kufanya vitu vingine vitokee uwanjani kwa dribbling na Positioning yake ) FT: Yanga 1-0 Coastal Union . (Kelvin Rabson).
    Like
    1
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·1K Views
  • "Nazielewa sana Frustration za Clement Mzize baada ya Kutolewa

    Imagine wewe ni miongoni mwa top Scorer wa Club na Ligi,unatolewa bado zimebaki Dakika 25 then anaingia IKANGALOMBO.

    Kufanyiwa Substitution Kwenye Football ni Kitu Kawaida sana lakini unatolewa na anangia nani? Hapa ndo swali Kubwa.

    Clemet Mzize yupo Kwenye Pick of his Power lazima alazimishe Heshima kutoka Kwenye Benchi la Ufundi

    Binafsi ningemshangaa sana Kama angetolewa vile then awe anacheka Cheka tu..

    Yani Kama hukasiriki ukitolewa sasa hivi ,unakasirika wakati gani? Tena anatakiwa baada ya Mechi akamuulize Kocha Kwanini amemtoa?

    I like it Clement na inaruhusiwa" - Wilson Orumo, Mchambuzi.

    "Nazielewa sana Frustration za Clement Mzize baada ya Kutolewa✍️ Imagine wewe ni miongoni mwa top Scorer wa Club na Ligi,unatolewa bado zimebaki Dakika 25 then anaingia IKANGALOMBO. Kufanyiwa Substitution Kwenye Football ni Kitu Kawaida sana lakini unatolewa na anangia nani? Hapa ndo swali Kubwa. Clemet Mzize yupo Kwenye Pick of his Power lazima alazimishe Heshima kutoka Kwenye Benchi la Ufundi Binafsi ningemshangaa sana Kama angetolewa vile then awe anacheka Cheka tu.. Yani Kama hukasiriki ukitolewa sasa hivi ,unakasirika wakati gani? Tena anatakiwa baada ya Mechi akamuulize Kocha Kwanini amemtoa? I like it Clement na inaruhusiwa" - Wilson Orumo, Mchambuzi.
    Like
    1
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·875 Views
  • KUTOKA MAKTABA
    KUTOKA MAKTABA
    Love
    2
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·579 Views
  • 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·183 Views
  • UMAKINI sio ki2
    UMAKINI sio ki2
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·309 Views
  • Kikosi cha Real Madrid Vs Arsenal
    Kikosi cha Real Madrid Vs Arsenal
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·588 Views
  • Mwanaume huyo pichani, anaitwa Ho Van Lang na picha hizo zilipigwa mara baada ya kugunduliwa mwaka 2013, akiwa ameishi katika msitu wa mbali Nchini Vietnam kwa miaka 41 pamoja na Baba yake, Ho Van Thanh. Walikimbia kijiji chao mwaka 1972 kufuatia mashambulizi ya mabomu ya Marekani wakati wa Vita ya Vietnam ambayo yaliwaua baadhi ya Wanafamilia wao.

    Kwa kuogopa usalama wao, Baba na Mwana walitoweka msituni katika mkoa wa Quang Ngai na wakabaki bila mawasiliano na Jamii kwa miongo kadhaa. Lang, ambaye alikuwa Mtoto mchanga walipotoweka, alitumia maisha yake yote akiwa katika hali ya kutengwa, bila kufahamu chochote kuhusu Dunia ya kisasa.

    Hakuwa na dhana ya Jamii, teknolojia, wala hata uwepo wa Wanawake, jambo alilolielewa tu baada ya kurejeshwa kwenye Jamii. Hadithi yake inaonyesha kwa kina uimara wa Mwanadamu na athari za kutengwa kwa muda mrefu katika maendeleo ya mtu binafsi na mtazamo wake wa Dunia.

    Mwanaume huyo pichani, anaitwa Ho Van Lang na picha hizo zilipigwa mara baada ya kugunduliwa mwaka 2013, akiwa ameishi katika msitu wa mbali Nchini Vietnam 🇻🇳 kwa miaka 41 pamoja na Baba yake, Ho Van Thanh. Walikimbia kijiji chao mwaka 1972 kufuatia mashambulizi ya mabomu ya Marekani 🇺🇸 wakati wa Vita ya Vietnam ambayo yaliwaua baadhi ya Wanafamilia wao. Kwa kuogopa usalama wao, Baba na Mwana walitoweka msituni katika mkoa wa Quang Ngai na wakabaki bila mawasiliano na Jamii kwa miongo kadhaa. Lang, ambaye alikuwa Mtoto mchanga walipotoweka, alitumia maisha yake yote akiwa katika hali ya kutengwa, bila kufahamu chochote kuhusu Dunia ya kisasa. Hakuwa na dhana ya Jamii, teknolojia, wala hata uwepo wa Wanawake, jambo alilolielewa tu baada ya kurejeshwa kwenye Jamii. Hadithi yake inaonyesha kwa kina uimara wa Mwanadamu na athari za kutengwa kwa muda mrefu katika maendeleo ya mtu binafsi na mtazamo wake wa Dunia.
    Like
    Haha
    2
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·1K Views
  • Like
    Love
    2
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·159 Views