• The piano plays in modern symphony orchestra musical instrumental.
    The piano plays in modern symphony orchestra musical instrumental.
    0 Comments Β·0 Shares Β·26 Views Β·2
  • 0 Comments Β·0 Shares Β·12 Views
  • Like
    1
    Β· 0 Comments Β·0 Shares Β·11 Views
  • 0 Comments Β·0 Shares Β·19 Views
  • kwa mujibu wa Jarida la Forbes, hii hapa orodha ya Jamii ya Watu Weusi wenye utajiri mkubwa Duniani kwa Mwaka 2025 ambapo wanakadariwa kumiliki utajiri wa dola bilioni 96.2. Wengi wao utajiri wao unatokana sekta za teknolojia, fedha, nishati na burudani, huku Mfanyabiashara Aliko Dangote wa Nigeria akiongoza kwa kuwa na utajiri wa dola bilioni 23.9.

    1. Aliko Dangote (Nigeria) : $23.9B (Saruji, sukari)
    2. David Steward (Marekani) : $11.4B (Teknolojia)
    3. Robert F. Smith (Marekani) : $10.8B (Uwekezaji binafsi)

    4. Alexander Karp (Marekani) : $8.4B (Programu za uchambuzi wa data)
    5. Mike Adenuga (Nigeria) : $6.8B (Mawasiliano, mafuta)
    6. Abdulsamad Rabiu (Nigeria) : $5.1B (Saruji, sukari)

    7. Michael Jordan (Marekani) : $3.5B (Michezo, matangazo)
    8. Patrice Motsepe (Afrika Kusini) : $3B (Madini)
    9. Oprah Winfrey (Marekani) : $3B (Runinga)

    10. Jay-Z (Marekani) : $2.5B (Muziki, biashara)
    11. Adebayo Ogunlesi (Marekani) :$2.2B (Uwekezaji binafsi)
    12. Magic Johnson (Marekani) : $1.5B (Michezo, uwekezaji)

    13. Femi Otedola (Nigeria) : $1.5B (Nishati)
    14. Tope Awotona (Marekani) : $1.4B (Programu "Calendly")
    15. Tyler Perry (Marekani) : $1.4B (Filamu, Runinga)

    16. Tiger Woods (Marekani) : $1.4B (Gofu)
    17. Rihanna (Barbados) : $1.4B (Muziki, urembo)
    18. Mo Ibrahim (Uingereza) : $1.3B (Mawasiliano)

    19. LeBron James (Marekani) : $1.3B (Kikapu)
    20. Strive Masiyiwa (Zimbabwe) : $1.2B (Mawasiliano)
    21. Michael Lee-Chin (Canada) : $1.1B (Uwekezaji wa fedha)

    22. Herriot Tabuteau (Marekani) : $1.1B (Afya)
    23. Sheila Johnson (Marekani) : $1B (Runinga, hoteli)

    kwa mujibu wa Jarida la Forbes, hii hapa orodha ya Jamii ya Watu Weusi wenye utajiri mkubwa Duniani kwa Mwaka 2025 ambapo wanakadariwa kumiliki utajiri wa dola bilioni 96.2. Wengi wao utajiri wao unatokana sekta za teknolojia, fedha, nishati na burudani, huku Mfanyabiashara Aliko Dangote wa Nigeria πŸ‡³πŸ‡¬ akiongoza kwa kuwa na utajiri wa dola bilioni 23.9. 1. Aliko Dangote (Nigeria) : $23.9B (Saruji, sukari) 2. David Steward (Marekani) : $11.4B (Teknolojia) 3. Robert F. Smith (Marekani) : $10.8B (Uwekezaji binafsi) 4. Alexander Karp (Marekani) : $8.4B (Programu za uchambuzi wa data) 5. Mike Adenuga (Nigeria) : $6.8B (Mawasiliano, mafuta) 6. Abdulsamad Rabiu (Nigeria) : $5.1B (Saruji, sukari) 7. Michael Jordan (Marekani) : $3.5B (Michezo, matangazo) 8. Patrice Motsepe (Afrika Kusini) : $3B (Madini) 9. Oprah Winfrey (Marekani) : $3B (Runinga) 10. Jay-Z (Marekani) : $2.5B (Muziki, biashara) 11. Adebayo Ogunlesi (Marekani) :$2.2B (Uwekezaji binafsi) 12. Magic Johnson (Marekani) : $1.5B (Michezo, uwekezaji) 13. Femi Otedola (Nigeria) : $1.5B (Nishati) 14. Tope Awotona (Marekani) : $1.4B (Programu "Calendly") 15. Tyler Perry (Marekani) : $1.4B (Filamu, Runinga) 16. Tiger Woods (Marekani) : $1.4B (Gofu) 17. Rihanna (Barbados) : $1.4B (Muziki, urembo) 18. Mo Ibrahim (Uingereza) : $1.3B (Mawasiliano) 19. LeBron James (Marekani) : $1.3B (Kikapu) 20. Strive Masiyiwa (Zimbabwe) : $1.2B (Mawasiliano) 21. Michael Lee-Chin (Canada) : $1.1B (Uwekezaji wa fedha) 22. Herriot Tabuteau (Marekani) : $1.1B (Afya) 23. Sheila Johnson (Marekani) : $1B (Runinga, hoteli)
    0 Comments Β·0 Shares Β·90 Views
  • Klabu ya Al Masri ya Misri imesasisha picha hiyo kwenye ukurasa wao wa Instagram na kusema kuwa wamefutahia kukutana na Mashabiki wa klabu ya Yanga SC.

    Ukiangalia chapisho hili la klabu ya Al Masry, utagudua kuwa klabu hiyo wanafuatilia mpira wa Tanzania na wanajua mpinzani wa klabu ya Simba SC ni Yanga SC. Pia wanajua kua Mashabiki wa Yanga watakua Uwanjani kuwashangilia.

    Klabu ya Al Masri ya Misri πŸ‡ͺπŸ‡¬ imesasisha picha hiyo kwenye ukurasa wao wa Instagram na kusema kuwa wamefutahia kukutana na Mashabiki wa klabu ya Yanga SC. Ukiangalia chapisho hili la klabu ya Al Masry, utagudua kuwa klabu hiyo wanafuatilia mpira wa Tanzania na wanajua mpinzani wa klabu ya Simba SC ni Yanga SC. Pia wanajua kua Mashabiki wa Yanga watakua Uwanjani kuwashangilia.
    0 Comments Β·0 Shares Β·32 Views
  • *PART TWO* coming Soon..

    Loading........

    *NAMNA YA KUTENGENEZA PESA KWA KUTUMIA SIMU YA MKONONI*

    π—”π—―π—Όπ˜‚π˜ : [MONETISE]
    ● PART ONE
    ●https://duduumendez.blogspot.com/2024/11/namna-ya-kujiingizia-kipato-kwa-kutumia.html
    ━━━━━━━━━━━━━━━━━━━━━━
    Κœα΄‡Κ€α΄‡ OFFICIAL WEBSITE:-
    > β—‰https://mendez-website.vercel.app/
    ━━━━━━━━━━━━━━━━━━━━━━
    Κœα΄‡Κ€α΄‡ comming soon
    > β—‰ https://duduumendez.xyz
    ━━━━━━━━━━━━━━━━━━━━━━
    > Become member of DUDUU_MENDEZ COMMUNITY


    β”Œβ”€β”€β”€β”€β”€β”€β”€β”€β”€β”€β”€β”€β”€β”€β”€β”€β”€β”€β”€β”€β”€β”
    ➀CREDIT:- 〔𝐃𝐔𝐃𝐔𝐔_πŒπ„ππƒπ„π™γ€•√
    β””β”€β”€β”€β”€β”€β”€β”€β”€β”€β”€β”€β”€β”€β”€β”€β”€β”€β”€β”€β”€β”€β”˜
    https://duduumendez.blogspot.com
    😏 *PART TWO* 😏 coming Soon.. Loading........ *NAMNA YA KUTENGENEZA PESA KWA KUTUMIA SIMU YA MKONONI* π—”π—―π—Όπ˜‚π˜ : [MONETISE] ● βœ… PART ONE πŸ‘‡πŸ‘‡ ●https://duduumendez.blogspot.com/2024/11/namna-ya-kujiingizia-kipato-kwa-kutumia.html ━━━━━━━━━━━━━━━━━━━━━━ Κœα΄‡Κ€α΄‡ OFFICIAL WEBSITE:- > β—‰https://mendez-website.vercel.app/ ━━━━━━━━━━━━━━━━━━━━━━ Κœα΄‡Κ€α΄‡ comming soon > β—‰ https://duduumendez.xyz ━━━━━━━━━━━━━━━━━━━━━━ > Become member of DUDUU_MENDEZ COMMUNITY β”Œβ”€β”€β”€β”€β”€β”€β”€β”€β”€β”€β”€β”€β”€β”€β”€β”€β”€β”€β”€β”€β”€β” ➀CREDIT:- 〔𝐃𝐔𝐃𝐔𝐔_πŒπ„ππƒπ„π™γ€•√ β””β”€β”€β”€β”€β”€β”€β”€β”€β”€β”€β”€β”€β”€β”€β”€β”€β”€β”€β”€β”€β”€β”˜ πŸ‘‰ https://duduumendez.blogspot.com
    0 Comments Β·0 Shares Β·64 Views
  • EDNA LEMA,
    huyu Mwamba anakuelewa kweli maelezo unayompatia jinsi ya kuwashughulikia Coastal Union?
    EDNA LEMA, huyu Mwamba anakuelewa kweli maelezo unayompatia jinsi ya kuwashughulikia Coastal Union?
    0 Comments Β·0 Shares Β·23 Views
  • 0 Comments Β·0 Shares Β·5 Views
  • 0 Comments Β·0 Shares Β·5 Views