• UBAYA UBWELA


    #paulswai
    UBAYA UBWELA #paulswai
    Like
    2
    · 0 Comments ·0 Shares ·867 Views
  • USIPO TIKI MKEKA HUU NAACHA BASHIRI KUANZIA LEO
    #sokachampions
    #soccersports
    USIPO TIKI MKEKA HUU NAACHA BASHIRI KUANZIA LEO💯💯 #sokachampions #soccersports
    Like
    1
    · 1 Comments ·0 Shares ·1K Views
  • Habari ya jion wapendwa leo ni siku yetu ya mwisho kabisa kwa fasiri ya ndoto japo nipo naandaa kitabu cha kutafsiri ndoto zipo 100+ plus kikitoka nitawajuza .

    *Tunamalizia ndoto hii leo je umewai ota umeachwa na gari kwa kujizungusha ?*

    Nini maana yake kiroho .
    *Kumbuka ndoto ni mlango (portal ambayo Mungu anaitumia sana katimka kufikisha ujumbe hata shetani pia anatumia ku attack*

    Maana
    1.Unaupoteza msimu wako mpya

    2. Malango yako ya kimataifa yanakuwa yamefungwa
    3.
    3. *Gari pia inatafsirika kama huduma au wito ko unaweza kuwa umeachwa na huduma au karama yako*

    Naombaje ? Namna ya kuomba .

    1.Omba toba haraka ya kufungua mlango .

    2.Omba urejeshewe nyakati na majira.

    *Watu hawa wameibiwa hakuna asemaye rejesha*

    3.Muone kuhani haraka sana

    Naitwa sylvester kutoka build new eden.
    Pia nawakaribisha kwa maombi ya siku 21 za kumlingana Mungu na kumkumbusha ahadi zake kwetu .

    Twende kaka yangi ,dada yangu tukadai karama zetu ,tukadai mafanikio yetu .
    Tunaanza tar 28.04.2025. - 18.05.2025

    #build new eden
    Habari ya jion wapendwa leo ni siku yetu ya mwisho kabisa kwa fasiri ya ndoto japo nipo naandaa kitabu cha kutafsiri ndoto zipo 100+ plus kikitoka nitawajuza . *Tunamalizia ndoto hii leo je umewai ota umeachwa na gari kwa kujizungusha ?* Nini maana yake kiroho . *Kumbuka ndoto ni mlango (portal ambayo Mungu anaitumia sana katimka kufikisha ujumbe hata shetani pia anatumia ku attack* Maana 1.Unaupoteza msimu wako mpya 2. Malango yako ya kimataifa yanakuwa yamefungwa 3. 3. *Gari pia inatafsirika kama huduma au wito ko unaweza kuwa umeachwa na huduma au karama yako* Naombaje ? Namna ya kuomba . 1.Omba toba haraka ya kufungua mlango . 2.Omba urejeshewe nyakati na majira. *Watu hawa wameibiwa hakuna asemaye rejesha* 3.Muone kuhani haraka sana Naitwa sylvester kutoka build new eden. Pia nawakaribisha kwa maombi ya siku 21 za kumlingana Mungu na kumkumbusha ahadi zake kwetu . Twende kaka yangi ,dada yangu tukadai karama zetu ,tukadai mafanikio yetu . Tunaanza tar 28.04.2025. - 18.05.2025 #build new eden
    Love
    1
    · 0 Comments ·0 Shares ·997 Views
  • *Habari ya jion wapendwa kipekee sana nitumie nafasi hii kuwakaribisha katika mfungo wa maombi ya kutwa kwa siku 21 tu.*

    *Twendeni tukazidai na kuziomba ahadi za Mungu tulizosimuliwa*

    *Twedeni tukamuombe Mungu asimame na Tanzania kama lango la uamsho haki ikazae amani.*

    *Twendeni tukamuombe Mungu atujalie ndoa za kheri na baraka*.

    Twendeni tukazikatae roho za kucheleweshwa na kufishwa .

    Kama utapenda utaunganishwa kwa group la watsap kwa namba 0622625340
    *Habari ya jion wapendwa kipekee sana nitumie nafasi hii kuwakaribisha katika mfungo wa maombi ya kutwa kwa siku 21 tu.* *Twendeni tukazidai na kuziomba ahadi za Mungu tulizosimuliwa* *Twedeni tukamuombe Mungu asimame na Tanzania kama lango la uamsho haki ikazae amani.* *Twendeni tukamuombe Mungu atujalie ndoa za kheri na baraka*. Twendeni tukazikatae roho za kucheleweshwa na kufishwa . Kama utapenda utaunganishwa kwa group la watsap kwa namba 0622625340
    0 Comments ·0 Shares ·855 Views
  • 0 Comments ·0 Shares ·192 Views
  • Love
    1
    · 0 Comments ·0 Shares ·191 Views
  • 0 Comments ·0 Shares ·193 Views
  • 1/21
    MAOMBI YENYE TIJA MBELE ZA MUNGU.

    tuanze kwa kujua nini maana ya maombi.

    Maombi ni mazungumzo kati ya mtu aliye okoka na Mungu wake .
    Isaya 1:18.
    Haya, *njoni, tusemezane, asema BWANA*. Dhambi zenu zijapokuwa nyekundu sana, zitakuwa nyeupe kama theluji; zijapokuwa nyekundu kama damu, zitakuwa kama sufu.

    Maombi ni hali ya kuhitaji kupeleka mahitaji yetu mbele za bwana.
    Filip 4:6
    6 Msifadhaike juu ya jambo lo lote; lakini katika kila jambo mjulisheni Mungu haja zenu, kwa kusali na kuomba pamoja na kushukuru.

    Maombi ndiyo kibali kinacho mpa Mungu nafasi ya kuingilia kati mambo ya watoto wake.

    Mathayo 7:7-8
    *“Ombeni, nanyi mtapewa; tafuteni, nanyi mtapata; bisheni mlango, nanyi mtafunguliwa. Maana, yeyote aombaye hupewa, atafutaye hupata, na abishaye mlango hufunguliwa.*

    Maombi ni vita .

    Efeso 6:10-12
    Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.

    Maombi pia ni ibada .
    Zaburi 42:1-3

    Maombi yanayo jibiwa ni maombi yanayo ambatana na neno la Mungu.

    Mungu anapo jibu maombi anajibu neno lake siyo wewe unasema nini.

    Ili maombi yako yajibiwe lazima uwe na uhakika naye unaye muomba .

    Warumi 10:17
    *Imani chanzo chake ni kusikia ,na kusikia huja kwa neno la kristo.

    Kiwango chako cha kuliamini neno ndicho kinacho amua aina ya majibu unayo yataka.

    Natamani unavyo ingia msimu mpya uombe kama mtu wa mbinguni kwa kila ombi kumkumbusha Mungu neno lake.

    Mfano.
    Unataka kufanikiwa mkumbushe mungu kuwa kwa neno lako umesema madamu muda wa kupanda udumupo wakati wa kuvuna hauta koma.

    Au kwa neno lako *umesema sinta kuwa mkia nitakuwa kichwa*
    Ndipo anza kuingiza haja yako .

    Au kwa neno lako *umesema nitabarikiwa mjini nitabarikiwa shambani* ndipo uendelee na haja zako.

    Ili umpendeze Mungu lazima uwe na neno lake .
    Ebrania 11:6

    Mungu hawezi kwenda kinyume na neno lake hiyo ndiyo sababu ya kuomba kwa neno lake.
    Ebrania 6:16-17
    Yeremia 1:12

    Mungu alimwambia yeremia umenena vema kwa maana mimi Bwana naangalia neno langu hili nitimize.
    Natumaini maombi yetu leo yataongozwa na neno la Mungu.
    #build new eden
    1/21 MAOMBI YENYE TIJA MBELE ZA MUNGU. tuanze kwa kujua nini maana ya maombi. Maombi ni mazungumzo kati ya mtu aliye okoka na Mungu wake . Isaya 1:18. Haya, *njoni, tusemezane, asema BWANA*. Dhambi zenu zijapokuwa nyekundu sana, zitakuwa nyeupe kama theluji; zijapokuwa nyekundu kama damu, zitakuwa kama sufu. Maombi ni hali ya kuhitaji kupeleka mahitaji yetu mbele za bwana. Filip 4:6 6 Msifadhaike juu ya jambo lo lote; lakini katika kila jambo mjulisheni Mungu haja zenu, kwa kusali na kuomba pamoja na kushukuru. Maombi ndiyo kibali kinacho mpa Mungu nafasi ya kuingilia kati mambo ya watoto wake. Mathayo 7:7-8 *“Ombeni, nanyi mtapewa; tafuteni, nanyi mtapata; bisheni mlango, nanyi mtafunguliwa. Maana, yeyote aombaye hupewa, atafutaye hupata, na abishaye mlango hufunguliwa.* Maombi ni vita . Efeso 6:10-12 Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho. Maombi pia ni ibada . Zaburi 42:1-3 Maombi yanayo jibiwa ni maombi yanayo ambatana na neno la Mungu. Mungu anapo jibu maombi anajibu neno lake siyo wewe unasema nini. Ili maombi yako yajibiwe lazima uwe na uhakika naye unaye muomba . Warumi 10:17 *Imani chanzo chake ni kusikia ,na kusikia huja kwa neno la kristo. Kiwango chako cha kuliamini neno ndicho kinacho amua aina ya majibu unayo yataka. Natamani unavyo ingia msimu mpya uombe kama mtu wa mbinguni kwa kila ombi kumkumbusha Mungu neno lake. Mfano. Unataka kufanikiwa mkumbushe mungu kuwa kwa neno lako umesema madamu muda wa kupanda udumupo wakati wa kuvuna hauta koma. Au kwa neno lako *umesema sinta kuwa mkia nitakuwa kichwa* Ndipo anza kuingiza haja yako . Au kwa neno lako *umesema nitabarikiwa mjini nitabarikiwa shambani* ndipo uendelee na haja zako. Ili umpendeze Mungu lazima uwe na neno lake . Ebrania 11:6 Mungu hawezi kwenda kinyume na neno lake hiyo ndiyo sababu ya kuomba kwa neno lake. Ebrania 6:16-17 Yeremia 1:12 Mungu alimwambia yeremia umenena vema kwa maana mimi Bwana naangalia neno langu hili nitimize. Natumaini maombi yetu leo yataongozwa na neno la Mungu. #build new eden
    0 Comments ·0 Shares ·1K Views
  • 0 Comments ·0 Shares ·262 Views
  • 0 Comments ·0 Shares ·265 Views