0 Comments
·0 Shares
·268 Views
-
MAOMBI YANAYO JIBIWA SEHEMU YAPILI.
*Mungu huwa awezi kutenda kinyume na neno lake hii ndiyo sababu inatufanya tuombe kwa kumkumbusha ahadi zake.*
Mungu aliapa kwa neno nafsi yake kumbariki Abraham na mpaka leo islaeri yote huesabika kuwa waendelewa sababu tu ya neno alilo mwapia ibrahimu.
*Kwanini basi tunapaswa kuomba kwa kutumia neno.*
1.Tunayajua mapenzi yake kupitia neno lake.
Na huu ndio ujasiri tulio nao kwake, ya kuwa, tukiomba kitu sawasawa na mapenzi yake, atusikia.
*Kumbe ili usikike kirahisi lazima umkumbushe mapenzi yake kwako kupitia neno lake.*
Mathayo 6:10. "Mapenzi yako yatimizwe hapa duniani kama huko mbinguni."
*Hii ni sehemu ya sala aliyo wafundisha Yesu mwenyewe kuwa wakati wakuomba lazima uyaombe mapenzi ya Mungu yatimilike na hayawezi timilika bila neno lake.*
Na mapenzi ya Mungu yanapatikana au yanasikika kupitia neno lake.
2.Neno la mungu lina mamlaka .
Yohana 1;3-5
*Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika chochote kilichofanyika. 4 Ndani yake ndimo ulimokuwa uzima, nao ule uzima ulikuwa nuru ya watu. 5 Nayo nuru yang'aa gizani, wala giza halikuiweza.*
Neno ndo lenye mamlaka pasipo neno nuru haikuwapo.
*Mungu mwenyewe katika uumbaji alianza kwanza na neno ndipo ikawa ,*,
Kumbe neno ndilo utupa mamlaka ya kumkemea muovu na mamlaka .
*Neno ndio funguo yenye mamlaka ya kupokea au kutokupokea kwani Mungu anapo sikiliza maombi anatazama neno lake linasema nini.*
Ebrania 4:12-13
Paulo katika mistali anaonyesha mamlaka na nguvu za neno la Mungu,1.liko hai 2.linanguvu kweli kweli .
33.ni kali kama kupanga ukatao kuwili .
*Ok ukisoma mstali kwa mstali ebrania 4;12-13 utoana ni kwa jinsi gani neno la Mungu lina nguvu kweli kweli.*
Turudi msalabani tumkumbushe Mungu kupitia ahadi zake kupitia neno lake.
Marko 16:17
*Nazo ishara hizi zitafuatana na wanaoamini: Kwa Jina langu watatoa pepo wachafu; watasema kwa lugha mpya*
*Ni neno lake ndilo linalo tuwezesha kupata mamlaka .si kitu kingine chochote.*
Natamani leo tukiomba tuombe kwa kupitia neno lake ili Mungu Atujibu sawasawa na neno lake.
Ahsante sana naitwa sylvester Mwakabende kutoka (Build new eden)
#build new eden
#restore men positionMAOMBI YANAYO JIBIWA SEHEMU YAPILI. *Mungu huwa awezi kutenda kinyume na neno lake hii ndiyo sababu inatufanya tuombe kwa kumkumbusha ahadi zake.* Mungu aliapa kwa neno nafsi yake kumbariki Abraham na mpaka leo islaeri yote huesabika kuwa waendelewa sababu tu ya neno alilo mwapia ibrahimu. *Kwanini basi tunapaswa kuomba kwa kutumia neno.* 1.Tunayajua mapenzi yake kupitia neno lake. Na huu ndio ujasiri tulio nao kwake, ya kuwa, tukiomba kitu sawasawa na mapenzi yake, atusikia. *Kumbe ili usikike kirahisi lazima umkumbushe mapenzi yake kwako kupitia neno lake.* Mathayo 6:10. "Mapenzi yako yatimizwe hapa duniani kama huko mbinguni." *Hii ni sehemu ya sala aliyo wafundisha Yesu mwenyewe kuwa wakati wakuomba lazima uyaombe mapenzi ya Mungu yatimilike na hayawezi timilika bila neno lake.* Na mapenzi ya Mungu yanapatikana au yanasikika kupitia neno lake. 2.Neno la mungu lina mamlaka . Yohana 1;3-5 *Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika chochote kilichofanyika. 4 Ndani yake ndimo ulimokuwa uzima, nao ule uzima ulikuwa nuru ya watu. 5 Nayo nuru yang'aa gizani, wala giza halikuiweza.* Neno ndo lenye mamlaka pasipo neno nuru haikuwapo. *Mungu mwenyewe katika uumbaji alianza kwanza na neno ndipo ikawa ,*, Kumbe neno ndilo utupa mamlaka ya kumkemea muovu na mamlaka . *Neno ndio funguo yenye mamlaka ya kupokea au kutokupokea kwani Mungu anapo sikiliza maombi anatazama neno lake linasema nini.* Ebrania 4:12-13 Paulo katika mistali anaonyesha mamlaka na nguvu za neno la Mungu,1.liko hai 2.linanguvu kweli kweli . 33.ni kali kama kupanga ukatao kuwili . *Ok ukisoma mstali kwa mstali ebrania 4;12-13 utoana ni kwa jinsi gani neno la Mungu lina nguvu kweli kweli.* Turudi msalabani tumkumbushe Mungu kupitia ahadi zake kupitia neno lake. Marko 16:17 *Nazo ishara hizi zitafuatana na wanaoamini: Kwa Jina langu watatoa pepo wachafu; watasema kwa lugha mpya* *Ni neno lake ndilo linalo tuwezesha kupata mamlaka .si kitu kingine chochote.* Natamani leo tukiomba tuombe kwa kupitia neno lake ili Mungu Atujibu sawasawa na neno lake. Ahsante sana naitwa sylvester Mwakabende kutoka (Build new eden) #build new eden #restore men position -
TAFAKARI YA FALSAFA YA TOLTEC
"Mimi si hadithi,mimi ni muumba wa ndoto yangu ,na leo nitaishi kwa uhuru wa kweli "
Toltec Proverbs
Tumefungwa kwa jinsi ambavyo tumekubali kuwa vile ambavyo watu wamehitaji kutusimulia mbele ya watu hata wakiwapo kwetu
Simulizi zimekuwa minyororo ya kutufunga na ndani yake ukipenye vizuri ni kututia utumwa zidi yao, una itwa Boss lakini uhalisia hata siyo unacho itwa lakini kwakua unahitaji kuishi kwa jinsi unavyo itwa unakuwa hivyo na kujikuta unaingia ndani ya deni linalo kufanya uwe bandia
Kuna watu wamepoteza thamani zao kwasababu tu wameambiwa hawana thamani yoyote ile , ndiyo maana unajikuta huwezi kuwa huru bila fulani si kuwa huwezi kuwa huru ila umechagua nafsi yako ibebe aina hiyo ya simulizi
Leo tafuta muda wa kuachana na makubaliano ya zamani uliyo ingia kwaye, vile vifungo ulivyo kubali kuingia ili upate sifa vile ulivyo ingia kupitia hofu unapaswa kuvivunja kabisa ,leo jipe wakati wa kuandika hadithi mpya
Anza kupandikiza vitu vipya ndani yako ,pandikiza kwa kiasi, ujasiri,uhuru na bila kutafuta deni ambalo litakufunga tena minyororo
Leo ni siku yangu ya kwanza kuwa huru
TAFAKARI YA FALSAFA YA TOLTEC "Mimi si hadithi,mimi ni muumba wa ndoto yangu ,na leo nitaishi kwa uhuru wa kweli " Toltec Proverbs Tumefungwa kwa jinsi ambavyo tumekubali kuwa vile ambavyo watu wamehitaji kutusimulia mbele ya watu hata wakiwapo kwetu Simulizi zimekuwa minyororo ya kutufunga na ndani yake ukipenye vizuri ni kututia utumwa zidi yao, una itwa Boss lakini uhalisia hata siyo unacho itwa lakini kwakua unahitaji kuishi kwa jinsi unavyo itwa unakuwa hivyo na kujikuta unaingia ndani ya deni linalo kufanya uwe bandia Kuna watu wamepoteza thamani zao kwasababu tu wameambiwa hawana thamani yoyote ile , ndiyo maana unajikuta huwezi kuwa huru bila fulani si kuwa huwezi kuwa huru ila umechagua nafsi yako ibebe aina hiyo ya simulizi Leo tafuta muda wa kuachana na makubaliano ya zamani uliyo ingia kwaye, vile vifungo ulivyo kubali kuingia ili upate sifa vile ulivyo ingia kupitia hofu unapaswa kuvivunja kabisa ,leo jipe wakati wa kuandika hadithi mpya Anza kupandikiza vitu vipya ndani yako ,pandikiza kwa kiasi, ujasiri,uhuru na bila kutafuta deni ambalo litakufunga tena minyororo Leo ni siku yangu ya kwanza kuwa huru -
-
TUAMBIENI BASI TUFIKISHE WAPI TUNA POST ADI UNAKATA TAMAA TOENI KIWANGO KAMA TWEETER AU IG WATU WENU TUELEKITU KIMOJA SAW TUNA MABLUE TICK LAKIN ATUPATI FAIDA BADO
AYA MAMILION TUNAYAONA TU KAMA PICHA
EBU FANYENI JAMBO Social PopTUAMBIENI BASI TUFIKISHE WAPI TUNA POST ADI UNAKATA TAMAA TOENI KIWANGO KAMA TWEETER AU IG WATU WENU TUELEKITU KIMOJA SAW TUNA MABLUE TICK LAKIN ATUPATI FAIDA BADO AYA MAMILION TUNAYAONA TU KAMA PICHA EBU FANYENI JAMBO [Socialpop1] -
KUNA MTU UMU AMEFANIKIWA KUTOA ELA
MANA AYA MANAMBA DUHKUNA MTU UMU AMEFANIKIWA KUTOA ELA MANA AYA MANAMBA DUH -
Our official website Join our community and enjoy many services
Website link
https://duduumendez.xyz/Our official website Join our community and enjoy many services 😀 Website link https://duduumendez.xyz/ -
4/21.Tumia biblia kuomba ulinzi wa Mungu.
*Maisha ya mwanadamu hayako mikononi mwa mwanadamu bali yako mikononi mwake mwokozi Mungu wetu.*
*Ukijua kuwa uweponi mwa bwana jukumu la kujilinda linakuwa siyo lako.*
Zaburi 127:1-2
*BWANA asipoijenga nyumba Waijengao wafanya kazi bure. BWANA asipoulinda mji Yeye aulindaye akesha bure. Kazi yenu ni bure, mnaoamka mapema, Na kukawia kwenda kulala, Na kula chakula cha taabu; Yeye humpa mpenzi wake usingizi."*
Kumbe lazima Bwana akulinde kwani kujilnda uwezi hata siku moja.
1.Mfanye Bwana kuwa mlinzi wako
Mithali18:10. *Jina la BWANA ni ngome imara; Mwenye haki huikimbilia, akawa salama*
Zaburi 27:1.BHN *Mwenyezi-Mungu ni mwanga wangu na wokovu wangu, ni nani nitakayemwogopa? Mwenyezi-Mungu ni ngome ya maisha yangu, sitamwogopa mtu yeyote*
Kumbe lazima ifike mahara bwana awe ngome yako na kimbilio lako na uo ndio wakovu mkuu.
2.Bwana atakulinda dhidi ya mabaya
Zaburi 91:4
*Bwana atakufunika chini ya mbawa zake*
Zaburi 121:1-4
Zaburi 34:7
*Malaika wa Mwenyezi-Mungu huwalinda wote wamchao, na kuwaokoa katika hatari.*
Kumbe kama tu ukiamua kuokoka Bwana anaanza kuwa mtetezi wako .
*Kiwango chako cha kumjua Mungu kinaamua kiwango gani Mungu awa mtetezi wako .*
Ayubu 22:21
*Mjue sana Mungu ili uwe na amani, ndipo mema yatakapokujia*
Kumbe mema yako ni uwezo wako wa kumjua Mungu.
Kutoka 14;14 SUV
*BWANA atawapigania ninyi, nanyi mtanyamaza kimya.*
Zaburi 23:4
*Nijapopita katika bonde la giza kuu la kifo, sitaogopa hatari yoyote, maana wewe ee Mwenyezi-Mungu u pamoja nami; gongo lako na fimbo yako vyanilinda*
*Wokovu ndio siri inayo kukutaniisha na Mungu na kuwa mlinzi wa karibu*
*Mtafute sana Mungu ndipo atakuzidishia ulinzi kiasi cha kuweza kukuandalia meza katikati ya watesi wako.*
*Mungu akiwa mlinzi wako ndivyo anavyo weza kuwa kimbilio lako na ngome yako na mtetezi wako.*
#build new eden
#restore men position4/21.Tumia biblia kuomba ulinzi wa Mungu. *Maisha ya mwanadamu hayako mikononi mwa mwanadamu bali yako mikononi mwake mwokozi Mungu wetu.* *Ukijua kuwa uweponi mwa bwana jukumu la kujilinda linakuwa siyo lako.* Zaburi 127:1-2 *BWANA asipoijenga nyumba Waijengao wafanya kazi bure. BWANA asipoulinda mji Yeye aulindaye akesha bure. Kazi yenu ni bure, mnaoamka mapema, Na kukawia kwenda kulala, Na kula chakula cha taabu; Yeye humpa mpenzi wake usingizi."* Kumbe lazima Bwana akulinde kwani kujilnda uwezi hata siku moja. 1.Mfanye Bwana kuwa mlinzi wako Mithali18:10. *Jina la BWANA ni ngome imara; Mwenye haki huikimbilia, akawa salama* Zaburi 27:1.BHN *Mwenyezi-Mungu ni mwanga wangu na wokovu wangu, ni nani nitakayemwogopa? Mwenyezi-Mungu ni ngome ya maisha yangu, sitamwogopa mtu yeyote* Kumbe lazima ifike mahara bwana awe ngome yako na kimbilio lako na uo ndio wakovu mkuu. 2.Bwana atakulinda dhidi ya mabaya Zaburi 91:4 *Bwana atakufunika chini ya mbawa zake* Zaburi 121:1-4 Zaburi 34:7 *Malaika wa Mwenyezi-Mungu huwalinda wote wamchao, na kuwaokoa katika hatari.* Kumbe kama tu ukiamua kuokoka Bwana anaanza kuwa mtetezi wako . *Kiwango chako cha kumjua Mungu kinaamua kiwango gani Mungu awa mtetezi wako .* Ayubu 22:21 *Mjue sana Mungu ili uwe na amani, ndipo mema yatakapokujia* Kumbe mema yako ni uwezo wako wa kumjua Mungu. Kutoka 14;14 SUV *BWANA atawapigania ninyi, nanyi mtanyamaza kimya.* Zaburi 23:4 *Nijapopita katika bonde la giza kuu la kifo, sitaogopa hatari yoyote, maana wewe ee Mwenyezi-Mungu u pamoja nami; gongo lako na fimbo yako vyanilinda* *Wokovu ndio siri inayo kukutaniisha na Mungu na kuwa mlinzi wa karibu* *Mtafute sana Mungu ndipo atakuzidishia ulinzi kiasi cha kuweza kukuandalia meza katikati ya watesi wako.* *Mungu akiwa mlinzi wako ndivyo anavyo weza kuwa kimbilio lako na ngome yako na mtetezi wako.* #build new eden #restore men position -
-