• (9/21) Kanuni za msamaha.
    Kama tulivyoona awali kuwa msamaha si jambo kimwili bali ni jambo la kiroho.

    *Na kila jambo la kiroho lazima likupe matokeo yaweza kuwa chanya au hasi ila lazima upate matokeo .*

    Aina ya matokeo yanachagizwa na aina ya kanuni uliyo chagua kuifuata ,,,

    Kiufupi msamaha wowote ule lazima uambatane na kanuni za msamaha .

    *Ukijua kanuni za msamaha haitakupa shida kuwa uliye msamehe yeye ajakusamehe.*

    1.msamaha ni jambo la kibinafsi siyo jambo la kundi .
    Ko hatupaswi endeshwa na makundi tunayo ya fahamu bali tunapaswa kujua tu faida ya msamaha na kuuishi huo msamaha.

    Kolosai3:12-13
    *Nyinyi ni watu wake Mungu; yeye aliwapenda na kuwateua. Kwa hiyo, basi, vaeni moyo wa huruma, wema, unyenyekevu, upole na uvumilivu. Vumilianeni na kusameheana iwapo mmoja wenu analo jambo lolote dhidi ya mwenzake. Mnapaswa kusameheana kama Bwana alivyowasamehe nyinyi*

    2.jizoeze kusamehe hata kama ujaombwa msamaha .

    Matendo ya Mitume 7:59-60
    [59]Wakampiga kwa mawe Stefano, naye akiomba, akisema, Bwana Yesu, pokea roho yangu.
    [60] *Akapiga magoti, akalia kwa sauti kuu, Bwana, usiwahesabie dhambi hii* . Akiisha kusema haya akalala. Na Sauli alikuwa akiona vema kwa kuuawa kwake.

    *Stephano aliwaombea heri walio kuwa wanampiga lakini yeye aliona njia salama ni kuwaombea neemea kwa huyu Mungu kwa kuwa tu alijua msamaha ni tabia ya kuingu.*

    3.Jizoeze kusamehe kila wakati pasipo kuhesabu mabaya.

    Jifunze kuwa mtu mwenye moyo wa toba mara zote kwa kusamehe na kusamehewa .

    Mathayo 18:21,23
    [21]Kisha Petro akamwendea akamwambia, Bwana, ndugu yangu anikose mara ngapi nami nimsamehe? Hata mara saba?
    [23]Kwa sababu hii ufalme wa mbinguni umefanana na mfalme mmoja aliyetaka kufanya hesabu na watumwa wake.

    *Ukijengwa na moyo wa msahama unakuwa na moyo safi na lazima ujengwe kwa mazingiera ambayo Mungu anauona moyo wako kama moyo safi usio na mawaa.*

    4.Msamaha ni tabia ya kiungu.

    Bwana anapendezwa na moyo wa toba kwa kuwa yeye ni bwana wa msamahana .

    Moyo uliojaa toba ni rahisi kusamehe wengine .kumbe ili mungu atusamehe makosa yetu lazima na sisi tuwasamehe wengine .

    *Utusamehe makosa yetu kama nasi tunavyo wasamehe walo tukosea .*

    Nazungumza na majasusi wa mbinguni lazima tuwe na moyo wa msamaha katika kuzalisha tanzania ya ndoto ya Mungu wetu.

    *Tanzania ni lango la uamsho lenye mamasihi wa bwana walio itwa kwa jina la mbingu sasa lazima tuishi kwa kujua kuwa tunapaswa kusamehe sana na sana.*

    Ahsante sana naamini kuna kitu kitakujenga katika kuusogelea mwili wa kristo .
    Sylvester Gentleman Mwakabende (build new eden)
    #build new eden
    #restore Men position
    .
    (9/21) Kanuni za msamaha. Kama tulivyoona awali kuwa msamaha si jambo kimwili bali ni jambo la kiroho. *Na kila jambo la kiroho lazima likupe matokeo yaweza kuwa chanya au hasi ila lazima upate matokeo .* Aina ya matokeo yanachagizwa na aina ya kanuni uliyo chagua kuifuata ,,, Kiufupi msamaha wowote ule lazima uambatane na kanuni za msamaha . *Ukijua kanuni za msamaha haitakupa shida kuwa uliye msamehe yeye ajakusamehe.* 1.msamaha ni jambo la kibinafsi siyo jambo la kundi . Ko hatupaswi endeshwa na makundi tunayo ya fahamu bali tunapaswa kujua tu faida ya msamaha na kuuishi huo msamaha. Kolosai3:12-13 *Nyinyi ni watu wake Mungu; yeye aliwapenda na kuwateua. Kwa hiyo, basi, vaeni moyo wa huruma, wema, unyenyekevu, upole na uvumilivu. Vumilianeni na kusameheana iwapo mmoja wenu analo jambo lolote dhidi ya mwenzake. Mnapaswa kusameheana kama Bwana alivyowasamehe nyinyi* 2.jizoeze kusamehe hata kama ujaombwa msamaha . Matendo ya Mitume 7:59-60 [59]Wakampiga kwa mawe Stefano, naye akiomba, akisema, Bwana Yesu, pokea roho yangu. [60] *Akapiga magoti, akalia kwa sauti kuu, Bwana, usiwahesabie dhambi hii* . Akiisha kusema haya akalala. Na Sauli alikuwa akiona vema kwa kuuawa kwake. *Stephano aliwaombea heri walio kuwa wanampiga lakini yeye aliona njia salama ni kuwaombea neemea kwa huyu Mungu kwa kuwa tu alijua msamaha ni tabia ya kuingu.* 3.Jizoeze kusamehe kila wakati pasipo kuhesabu mabaya. Jifunze kuwa mtu mwenye moyo wa toba mara zote kwa kusamehe na kusamehewa . Mathayo 18:21,23 [21]Kisha Petro akamwendea akamwambia, Bwana, ndugu yangu anikose mara ngapi nami nimsamehe? Hata mara saba? [23]Kwa sababu hii ufalme wa mbinguni umefanana na mfalme mmoja aliyetaka kufanya hesabu na watumwa wake. *Ukijengwa na moyo wa msahama unakuwa na moyo safi na lazima ujengwe kwa mazingiera ambayo Mungu anauona moyo wako kama moyo safi usio na mawaa.* 4.Msamaha ni tabia ya kiungu. Bwana anapendezwa na moyo wa toba kwa kuwa yeye ni bwana wa msamahana . Moyo uliojaa toba ni rahisi kusamehe wengine .kumbe ili mungu atusamehe makosa yetu lazima na sisi tuwasamehe wengine . *Utusamehe makosa yetu kama nasi tunavyo wasamehe walo tukosea .* Nazungumza na majasusi wa mbinguni lazima tuwe na moyo wa msamaha katika kuzalisha tanzania ya ndoto ya Mungu wetu. *Tanzania ni lango la uamsho lenye mamasihi wa bwana walio itwa kwa jina la mbingu sasa lazima tuishi kwa kujua kuwa tunapaswa kusamehe sana na sana.* Ahsante sana naamini kuna kitu kitakujenga katika kuusogelea mwili wa kristo . Sylvester Gentleman Mwakabende (build new eden) #build new eden #restore Men position .
    Love
    1
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·1كيلو بايت مشاهدة
  • Huzuni ni ushahidi...
    Kwamba unaweza kuhisi moyo wako mwenyewe ukivunjika. Ni ukumbusho wa ufahamu wa jinsi ulivyopenda sana, jinsi ulivyojali. Huzuni haiji bila upendo-huzaliwa kutoka kwayo, imeundwa nayo, inachukuliwa mbele kwa sababu yake.

    Huzuni inatisha...
    Kwa sababu haiwezekani kurekebisha sababu ya maumivu haya yote. Haijalishi unajaribu sana, haijalishi ni machozi kiasi gani unayotoa au sala unayonong'ona, mtu uliyempoteza harudi. Na ukweli huo—mwisho wake—ni jambo unalopaswa kukabiliana nalo tena na tena.

    Huzuni ni upweke...
    Hata katika umati wa watu. Kwa sababu mtu pekee ambaye unataka kuzungumza naye ni yule ambaye huwezi kufikia. Kutokuwepo kwao kunasikika kwa sauti kubwa kuliko uwepo wowote. Unakaa ukiwa umezungukwa na sauti, lakini ukimya wa kukosa kusikia kwao huhisi kuziba.

    Huzuni ni kimya…
    Unapojaribu kuungana na yule ambaye amekwenda, na maswali yako yanakutana na ukimya. Unaita, ukitarajia jibu, lakini utupu unabaki bila kubadilika. Ni katika nyakati hizo ambapo huzuni huhisi kuwa nzito-ukumbusho wa kile ambacho kimepotea.

    Huzuni inachosha...
    Kupambana kila wakati dhidi ya hali halisi, kutaka tu kuamka kutoka kwa ndoto hii mbaya. Kila siku unahisi kama kupita kwenye mchanga mwepesi, kila hatua ni ngumu zaidi kuliko ya mwisho.

    Huzuni ni nzito...
    Kusonga mbele katika siku hizi mpya, zisizotambulika katika ulimwengu ambao haujaufahamu sasa. Kila kitu huhisi tofauti kwa sababu hawapo tena. Hata kazi rahisi huhisi kuwa kubwa.

    Lakini huzuni pia ni kipimo...
    cha utupu…
    cha maumivu…
    cha upendo ambao bado unawabeba. Na itakuwa milele.

    Kwa sababu huzuni inaweza kuwa isiyostahimilika, pia ni ushuhuda wa kina cha muunganisho wako. Ni uthibitisho kwamba upendo haupotei-hubadilika. Unakaa moyoni mwako, Ukitengeneza wewe ni nani na kukukumbusha yale muhimu zaidi. ❤

    Hisia za ndani
    mkopo kwa msanii
    Huzuni ni ushahidi... Kwamba unaweza kuhisi moyo wako mwenyewe ukivunjika. Ni ukumbusho wa ufahamu wa jinsi ulivyopenda sana, jinsi ulivyojali. Huzuni haiji bila upendo-huzaliwa kutoka kwayo, imeundwa nayo, inachukuliwa mbele kwa sababu yake. Huzuni inatisha... Kwa sababu haiwezekani kurekebisha sababu ya maumivu haya yote. Haijalishi unajaribu sana, haijalishi ni machozi kiasi gani unayotoa au sala unayonong'ona, mtu uliyempoteza harudi. Na ukweli huo—mwisho wake—ni jambo unalopaswa kukabiliana nalo tena na tena. Huzuni ni upweke... Hata katika umati wa watu. Kwa sababu mtu pekee ambaye unataka kuzungumza naye ni yule ambaye huwezi kufikia. Kutokuwepo kwao kunasikika kwa sauti kubwa kuliko uwepo wowote. Unakaa ukiwa umezungukwa na sauti, lakini ukimya wa kukosa kusikia kwao huhisi kuziba. Huzuni ni kimya… Unapojaribu kuungana na yule ambaye amekwenda, na maswali yako yanakutana na ukimya. Unaita, ukitarajia jibu, lakini utupu unabaki bila kubadilika. Ni katika nyakati hizo ambapo huzuni huhisi kuwa nzito-ukumbusho wa kile ambacho kimepotea. Huzuni inachosha... Kupambana kila wakati dhidi ya hali halisi, kutaka tu kuamka kutoka kwa ndoto hii mbaya. Kila siku unahisi kama kupita kwenye mchanga mwepesi, kila hatua ni ngumu zaidi kuliko ya mwisho. Huzuni ni nzito... Kusonga mbele katika siku hizi mpya, zisizotambulika katika ulimwengu ambao haujaufahamu sasa. Kila kitu huhisi tofauti kwa sababu hawapo tena. Hata kazi rahisi huhisi kuwa kubwa. Lakini huzuni pia ni kipimo... cha utupu… cha maumivu… cha upendo ambao bado unawabeba. Na itakuwa milele. Kwa sababu huzuni inaweza kuwa isiyostahimilika, pia ni ushuhuda wa kina cha muunganisho wako. Ni uthibitisho kwamba upendo haupotei-hubadilika. Unakaa moyoni mwako, Ukitengeneza wewe ni nani na kukukumbusha yale muhimu zaidi. ❤ ✍️Hisia za ndani 🎨mkopo kwa msanii
    Love
    1
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·1كيلو بايت مشاهدة
  • Like
    1
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·290 مشاهدة
  • Like
    Love
    4
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·216 مشاهدة
  • Like
    Love
    2
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·279 مشاهدة
  • MTEGO HUU
    MTEGO HUU
    Like
    Love
    3
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·258 مشاهدة
  • Never forget
    Never forget
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·277 مشاهدة
  • 10/21 Nguvu za Mungu.

    Huwezi kumuona Mungu ikiwa tu hufanyi mapenzi yake .

    Moja ya mapenzi ya Mungu ni kuona kanisa linamju Mungu katika eneo la msamaha.

    Nguvu za Mungu zinatafutwa na muamini anaye zihitaji .

    Zaburi 105:4

    *Mtakeni BWANA na nguvu zake, Utafuteni uso wake sikuzote*

    Ukiona maandiko yameweka wazi kabisa kwamba nguvu za Mungu ili uzipate lazima uzitake kwa kuomba, kusoma neno na kulitafakari na kuzidi kutenda wema.

    *Watu wengi tunachanganya mambo tunazani ukiokoka tu nguvu za Mungu utakuwa nazo kitu ambacho si kweli .*

    Mitume walio fanya kazi na Yesu bdo yesu aliwapa maelekezo ya kupata nguvu zake kupitia msaada wa roho mtakatifu lakini pia walikutwa wanaomba .

    Walipokea nguvu wakati wakiendelea na maombi.

    Matendo 1:8 SUV
    *Lakini wakati Roho Mtakatifu atakapowashukieni nyinyi, mtapokea nguvu na mtakuwa mashahidi wangu katika Yerusalemu, katika nchi yote ya Yudea na Samaria, na hata miisho ya dunia.”*

    Kumbe maombi ndiyo siri ya kupata nguvu za kuweza kukusaidia hata kishinda majaribu.

    *Kadiri unavyo weza mtafuta Mungu katika kuongezeka nguvu zake ndivyo unavyo jisogeza mbali na majaribu na mitego ya majaribu.*

    Yesu alishinda jaribu kwa kuwa alikuwa mtu wa maombi muda wake wote aliokuwepo duniani.
    Luka 5
    *Na Yesu, hali amejaa Roho Mtakatifu, alirudi kutoka Yordani, akaongozwa na Roho muda wa siku arobaini nyikani*
    Kumbe alipata kumshinda shetani katika jaribu zote kwa sababu tu alipata nguvu kipitia zile siku arobaini.

    Sasa kumbe kuna watu sababu ya kukosa nguvu wnazimia kirahisi sana.

    Mithali 24:10
    *Ukizimia siku ya taabu, Nguvu zako ni chache.*

    *Wokovu ni zaidi ya hapo kwani lazima uamue kuto kuzimia kabisa .*

    Ukiokoka lazima ujifunze kuzitaka nguvu za Mungu kupitia roho takatifu ili usiweze zimia moyo.

    Ni matumaini yangu maombi yanaweza kuwa maisha yetu ili tupate kumuona Mungu.

    Bila maombi uwezi pokea kwani biblia inasema ili *upokee lazima tuombe*

    Na yesu pia anasema *tukeshe katika maombi*

    Nguvu za Mungu ni muhimu sana ili uufurahie wokovu na ahadi za Mungu.

    *Mtafute bwana naye awe shirika nawe ili upate kuishi mapenzi yake .*

    Ahsante sana naitwa mwl.Sylvester Mwakabende (kutoka build new eden )

    #build new eden
    #Restoremenposition
    10/21 Nguvu za Mungu. Huwezi kumuona Mungu ikiwa tu hufanyi mapenzi yake . Moja ya mapenzi ya Mungu ni kuona kanisa linamju Mungu katika eneo la msamaha. Nguvu za Mungu zinatafutwa na muamini anaye zihitaji . Zaburi 105:4 *Mtakeni BWANA na nguvu zake, Utafuteni uso wake sikuzote* Ukiona maandiko yameweka wazi kabisa kwamba nguvu za Mungu ili uzipate lazima uzitake kwa kuomba, kusoma neno na kulitafakari na kuzidi kutenda wema. *Watu wengi tunachanganya mambo tunazani ukiokoka tu nguvu za Mungu utakuwa nazo kitu ambacho si kweli .* Mitume walio fanya kazi na Yesu bdo yesu aliwapa maelekezo ya kupata nguvu zake kupitia msaada wa roho mtakatifu lakini pia walikutwa wanaomba . Walipokea nguvu wakati wakiendelea na maombi. Matendo 1:8 SUV *Lakini wakati Roho Mtakatifu atakapowashukieni nyinyi, mtapokea nguvu na mtakuwa mashahidi wangu katika Yerusalemu, katika nchi yote ya Yudea na Samaria, na hata miisho ya dunia.”* Kumbe maombi ndiyo siri ya kupata nguvu za kuweza kukusaidia hata kishinda majaribu. *Kadiri unavyo weza mtafuta Mungu katika kuongezeka nguvu zake ndivyo unavyo jisogeza mbali na majaribu na mitego ya majaribu.* Yesu alishinda jaribu kwa kuwa alikuwa mtu wa maombi muda wake wote aliokuwepo duniani. Luka 5 *Na Yesu, hali amejaa Roho Mtakatifu, alirudi kutoka Yordani, akaongozwa na Roho muda wa siku arobaini nyikani* Kumbe alipata kumshinda shetani katika jaribu zote kwa sababu tu alipata nguvu kipitia zile siku arobaini. Sasa kumbe kuna watu sababu ya kukosa nguvu wnazimia kirahisi sana. Mithali 24:10 *Ukizimia siku ya taabu, Nguvu zako ni chache.* *Wokovu ni zaidi ya hapo kwani lazima uamue kuto kuzimia kabisa .* Ukiokoka lazima ujifunze kuzitaka nguvu za Mungu kupitia roho takatifu ili usiweze zimia moyo. Ni matumaini yangu maombi yanaweza kuwa maisha yetu ili tupate kumuona Mungu. Bila maombi uwezi pokea kwani biblia inasema ili *upokee lazima tuombe* Na yesu pia anasema *tukeshe katika maombi* Nguvu za Mungu ni muhimu sana ili uufurahie wokovu na ahadi za Mungu. *Mtafute bwana naye awe shirika nawe ili upate kuishi mapenzi yake .* Ahsante sana naitwa mwl.Sylvester Mwakabende (kutoka build new eden ) #build new eden #Restoremenposition
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·995 مشاهدة
  • .https://youtu.be/HBy_t0V8aZ0?si=-UaDMeSGm3F6St1R
    .https://youtu.be/HBy_t0V8aZ0?si=-UaDMeSGm3F6St1R
    Love
    1
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·385 مشاهدة
  • Like
    Love
    3
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·310 مشاهدة