Risultati di ricerca
Mostra tutti i risultati
Socialpop Socialpop Socialpop
Home
Gruppi
Pagine
Marketplace
Mostra tutto
Gruppi Pagine Marketplace Events Blogs Funding Offers Jobs Courses Forums Movies
Iscriviti
Registrati Iscriviti
Theme Switcher
Night Mode
Elenco
Utenti
Articoli
Pagine
Gruppi
Events
  • PETER BARNABA @PNaffy updated the profile picture
    2024-05-21 12:38:18 路
    Like
    1
    路 1 Commenti 路0 condivisioni 路450 Views
    Effettua l'accesso per mettere mi piace, condividere e commentare!
  • Ismail Fadhil Ngaona @Smart_113 updated the profile picture
    2024-05-21 12:44:41 路
    1 Commenti 路0 condivisioni 路191 Views
    Effettua l'accesso per mettere mi piace, condividere e commentare!
  • master kampungi @kamp_59
    2024-05-21 12:48:43 路
    @Bado majina yetu yataendelea kuwatesa moyoni mwao sababu wema tuliowahi kuwafanyia apo hawari si rahis kufutika vichwan mwao
    @Bado majina yetu yataendelea kuwatesa moyoni mwao sababu wema tuliowahi kuwafanyia apo hawari si rahis kufutika vichwan mwao 馃搶馃搶
    Like
    Love
    4
    路 0 Commenti 路0 condivisioni 路44 Views
    Effettua l'accesso per mettere mi piace, condividere e commentare!
  • Kevin De Bruyne @Kevin25_09bruyne
    2024-05-21 12:49:29 路
    Best like post zangu na ucoment na mi nitalike zako na kuccoment pia
    .
    Best like post zangu na ucoment na mi nitalike zako na kuccoment pia馃槤馃挴馃挴馃挴 .
    Like
    2
    路 1 Commenti 路0 condivisioni 路47 Views
    Effettua l'accesso per mettere mi piace, condividere e commentare!
  • Jastine Masubo @Jastine ha aggiunto una foto
    2024-05-21 12:51:24 路
    Like
    Love
    Haha
    3
    路 1 Commenti 路0 condivisioni 路479 Views
    Effettua l'accesso per mettere mi piace, condividere e commentare!
  • Jastine Masubo @Jastine ha aggiunto una foto
    2024-05-21 12:51:59 路
    Love
    Like
    3
    路 1 Commenti 路0 condivisioni 路482 Views
    Effettua l'accesso per mettere mi piace, condividere e commentare!
  • Kevin De Bruyne @Kevin25_09bruyne ha aggiunto una foto
    2024-05-21 12:59:22 路
    Mi nachekaga tu
    Like na ucoment basi mwanangu
    Mi nachekaga tu Like na ucoment basi mwanangu
    Like
    Love
    2
    路 1 Commenti 路0 condivisioni 路41 Views
    Effettua l'accesso per mettere mi piace, condividere e commentare!
  • Sports view @B24 ha aggiunto una foto
    2024-05-21 13:13:20 路
    #Sports view Mwamuzi kutoka Uholanzi amefungiwa MAISHA Kisoka baada ya kuisaidia timu yake kuwa mabingwa wa daraja la 5 la Uholanzi na kupanda Hadi Ligi Daraja la 4.

    -Aliwatoa Inje wachezaji 4 Kwa Kadi [Nyekundu , akaongeza dakika 15 na timu ikafunga bao ili kupandisha daraja na kwa bahati mbaya akajisahau akaenda kushangilia ubingwa na timu yake hiyo.....
    #Sports view 馃幁 Mwamuzi kutoka Uholanzi amefungiwa MAISHA Kisoka baada ya kuisaidia timu yake kuwa mabingwa wa daraja la 5 la Uholanzi na kupanda Hadi Ligi Daraja la 4. -Aliwatoa Inje wachezaji 4 Kwa Kadi [Nyekundu , akaongeza dakika 15 na timu ikafunga bao ili kupandisha daraja na kwa bahati mbaya akajisahau akaenda kushangilia ubingwa na timu yake hiyo.....馃馃ザ
    Like
    Love
    4
    路 0 Commenti 路0 condivisioni 路63 Views
    Effettua l'accesso per mettere mi piace, condividere e commentare!
  • Bee Sagenge @Saggy ha aggiunto una foto
    2024-05-21 13:18:54 路
    Like
    3
    路 2 Commenti 路0 condivisioni 路554 Views
    Effettua l'accesso per mettere mi piace, condividere e commentare!
  • millard ayo @millardayo ha aggiunto una foto
    2024-05-21 13:20:53 路
    Mwimbaji Staa Harmonize amesema May 25,2024 anatarajia kuzindua album yake ya tano katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam ambayo ameipa jina la ‘Muziki wa Samia’ akiwa na lengo kupongeza na kuunga mkono kazi nzuri inayoendelea kufanywa na Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Uongozi wake.

    Harmonize amesema album hiyo ni ya mwisho kwake na kusisitiza kuwa ameimba sana kuliko kawaida na ametengezeneza nyimbo 10 ambazo zote zinamlenga Rais Samia hivyo baada ya album hiyo atapumzika na kurefresh huku akiwa anaachia wimbo mmojammoja na sio album tena.

    Harmo amesema siku ya uzinduzi huo itakuwa ni usiku wa mialiko na hakutakuwa na viingilio “Tumekusanya mazuri yote ambayo yanafanywa na Rais Samia na Serikali na kuyaweka kwenye kitabu kimoja cha kumbukumbu ambacho kitaishi milele kinachoitwa Muziki wa Samia”
    #MillardAyoENT
    Mwimbaji Staa Harmonize amesema May 25,2024 anatarajia kuzindua album yake ya tano katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam ambayo ameipa jina la ‘Muziki wa Samia’ akiwa na lengo kupongeza na kuunga mkono kazi nzuri inayoendelea kufanywa na Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Uongozi wake. Harmonize amesema album hiyo ni ya mwisho kwake na kusisitiza kuwa ameimba sana kuliko kawaida na ametengezeneza nyimbo 10 ambazo zote zinamlenga Rais Samia hivyo baada ya album hiyo atapumzika na kurefresh huku akiwa anaachia wimbo mmojammoja na sio album tena. Harmo amesema siku ya uzinduzi huo itakuwa ni usiku wa mialiko na hakutakuwa na viingilio “Tumekusanya mazuri yote ambayo yanafanywa na Rais Samia na Serikali na kuyaweka kwenye kitabu kimoja cha kumbukumbu ambacho kitaishi milele kinachoitwa Muziki wa Samia” #MillardAyoENT
    Like
    Love
    9
    路 8 Commenti 路0 condivisioni 路1K Views
    Effettua l'accesso per mettere mi piace, condividere e commentare!
  • Mostrati (2401-2410 di 28115)
  • «
  • Prec.
  • 239
  • 240
  • 241
  • 242
  • 243
  • Succ.
  • »
Passa a Pro
Scegli il piano pi霉 adatto a te
AGGIORNA
© 2025 Socialpop
Italiano
English Arabic French Spanish Portuguese Deutsch Turkish Dutch Italiano Russian Romaian Portuguese (Brazil) Greek
About Termini e Condizioni Privacy Contattaci Elenco Developers