• Like
    Love
    4
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·341 Views
  • MGUSO WA MAMA HUBADILISHA KILA KITU

    Kuna kitu kitakatifu kwa njia anayokufikia -
    hata wakati mikono yake imechoka.
    Kwa jinsi anavyokunja uso wako,
    lainisha nywele zako,
    na kutuliza dhoruba zako bila neno moja.

    Kugusa kwake sio faraja tu -
    ni kumbukumbu.
    Ni kila goti lililopigwa aliponya,
    kila homa aliyotuliza,
    kila uoga alinyamaza kwa kuwa pale tu.

    Muda mrefu kabla haujaelewa ulimwengu,
    mikono yake ilikujulisha -
    upole, upendo, uvumilivu.

    Na hata sasa,
    wakati maisha yanapovuma na upendo unapotea,
    mguso mmoja tu kutoka kwake
    bado unakurudisha kwako.

    Kwa sababu mikono ya mama haishiki tu -
    wanajenga.
    Wanabeba ndoto, machozi kavu, na roho za nanga.

    Kwa hivyo Siku hii ya Mama,
    heshima sio tu upendo wake,
    bali nguvu ya uponyaji ya uwepo wake.

    Asante, Mama,
    kwa kila wakati tulivu ambao ulibadilisha kila kitu.

    #MikonoYaMapenzi # #YeyeNiNyumbani
    MGUSO WA MAMA HUBADILISHA KILA KITU Kuna kitu kitakatifu kwa njia anayokufikia - hata wakati mikono yake imechoka. Kwa jinsi anavyokunja uso wako, lainisha nywele zako, na kutuliza dhoruba zako bila neno moja. Kugusa kwake sio faraja tu - ni kumbukumbu. Ni kila goti lililopigwa aliponya, kila homa aliyotuliza, kila uoga alinyamaza kwa kuwa pale tu. Muda mrefu kabla haujaelewa ulimwengu, mikono yake ilikujulisha - upole, upendo, uvumilivu. Na hata sasa, wakati maisha yanapovuma na upendo unapotea, mguso mmoja tu kutoka kwake bado unakurudisha kwako. Kwa sababu mikono ya mama haishiki tu - wanajenga. Wanabeba ndoto, machozi kavu, na roho za nanga. Kwa hivyo Siku hii ya Mama, heshima sio tu upendo wake, bali nguvu ya uponyaji ya uwepo wake. Asante, Mama, kwa kila wakati tulivu ambao ulibadilisha kila kitu. #MikonoYaMapenzi # #YeyeNiNyumbani
    Love
    1
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·1K Views
  • 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·164 Views
  • 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·170 Views
  • 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·306 Views
  • 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·669 Views
  • 15/21Hakuna neno gumu kwa Bwana.

    Ayubu 42:2
    "Najua ya kuwa waweza kufaya mambo yote na ya kuwa makusudi yako hayawezi zuilika."

    Ndio Bwana anaweza kufanya mambo yote kwako ikiwa tu kama ukikubali na kumfuata.

    Ayubu pamoja na mapito yote haya bado alibaki na tumaini hili la kujua kuwa bwana ndiyo anayeweza kufanya mambo yote.

    Na Bwana akianza kufanya akuna awezaye kuzuia kwani Bwana hufanya kwa ajiri ya kulitimiza kusudi lake na mapenzi yake.

    Kusudi la Mungu ni kuwainua wanao mtumikia ko usipate shida Bwana atakufanyia makubwa sana kama tu hautazimia moyo.

    "Aa! Bwana MUNGU ,tazama wewe umeziumba mbingu na nchi kwa uweza wako mkuu na kwa mkono wako ulionyoshwa ,hapana neno gumu usilo liweza".(Yeremia 32:17)

    Kwa Bwana hakuna jambo gumu hata moja haijalishi umekata tamaa kiasi gani Bwana anataka umlingane kwa kumtafuta tu yeye atakujibu .

    Tazama mimi ni BWANA , Mungu wa wote wenye mwili je! Kuna neno gumu lolote nisilo liweza? (Yeremia 32:27)

    Hili ni neno la Bwana lilo mjia Yeremia Bwana akiuliza je kuna neno gumu lolote yeye asilo liweza.

    Kumbe tatizo lako la uchumi si jambo gumu kwa bwana kiasi wewe kukata tamaa.

    Kama mwamini unacho paswa kukiri ni kuwa "Nayaweza mambo yote katika yeye anitiaye nguvu"

    Ni wewe tu umemuacha Bwana kwa kuifuatisha dunia inavyo enda kiasi cha kuzani kuna mambo ni magumu yeye awezi.

    Nipo hapa asubui ya leo kukutia moyo kuwa bwana anaweza yote ko acha kujidharau .

    Songa mbele kwa kujua kuwa umaskini ulio nao ,adha unayopitia , magumu unayo pitia ni kitambo tu Bwana anakwenda kukuvusha leo.

    Mwamini Mungu kwani neno lake linasema "Nchi na vyote vijazavyo ni mali yake dunia na wote wakaao ndani yake" (zaburi 24:1)

    Kama vyote ni mali ya Bwana kumbe ili uvipate ni kuyatenda mapenzi yake ili yeye alitimize kusudi lake kwako .

    Jifunze kujikubali kabla ujakubaliwa ,kwani ili uweze yote lazima uwe jitu la kujikubali katika kutimiza mapenzi ya Mungu.

    Wanadamu wanaweza kukataaa huwezi lakini vipi Mungu anasemaje?
    Nayey kakukataa kwani ? Jibu utagundua ni hapana sasa kama ni hapana mtazame Mungu anasema nini sio wao wanasema nini na hapo ndipo utaanza kujua nguvu ya Mungu kuwa anaweza yote na hakuna asilo liweza.

    Wanadamu wamesema huwezi kuajiriwa , vipi Mungu aesema nini pia? Ukitizama hivyo utagundua Mungu kasela akuna jambo gumu asilo liweza! Ko ni wewe tu ujamlingana Mungu.

    Madaktari wamesema huwezi kupona huo ugonjwa Mungu amesemaj? Mungu anasema Njoni kwangu enyi nyote mnao lemewa na mizigo nami nitawapunzisha.

    Mwamini Mungu yeye anaweza kukuvusha ktika kila hatua bila ugumu wowote.

    Ok naitwa Sylvester Mwakabende (build new eden) at 06;52am

    #build new eden
    #restore men position
    15/21Hakuna neno gumu kwa Bwana. Ayubu 42:2 "Najua ya kuwa waweza kufaya mambo yote na ya kuwa makusudi yako hayawezi zuilika." Ndio Bwana anaweza kufanya mambo yote kwako ikiwa tu kama ukikubali na kumfuata. Ayubu pamoja na mapito yote haya bado alibaki na tumaini hili la kujua kuwa bwana ndiyo anayeweza kufanya mambo yote. Na Bwana akianza kufanya akuna awezaye kuzuia kwani Bwana hufanya kwa ajiri ya kulitimiza kusudi lake na mapenzi yake. Kusudi la Mungu ni kuwainua wanao mtumikia ko usipate shida Bwana atakufanyia makubwa sana kama tu hautazimia moyo. "Aa! Bwana MUNGU ,tazama wewe umeziumba mbingu na nchi kwa uweza wako mkuu na kwa mkono wako ulionyoshwa ,hapana neno gumu usilo liweza".(Yeremia 32:17) Kwa Bwana hakuna jambo gumu hata moja haijalishi umekata tamaa kiasi gani Bwana anataka umlingane kwa kumtafuta tu yeye atakujibu . Tazama mimi ni BWANA , Mungu wa wote wenye mwili je! Kuna neno gumu lolote nisilo liweza? (Yeremia 32:27) Hili ni neno la Bwana lilo mjia Yeremia Bwana akiuliza je kuna neno gumu lolote yeye asilo liweza. Kumbe tatizo lako la uchumi si jambo gumu kwa bwana kiasi wewe kukata tamaa. Kama mwamini unacho paswa kukiri ni kuwa "Nayaweza mambo yote katika yeye anitiaye nguvu" Ni wewe tu umemuacha Bwana kwa kuifuatisha dunia inavyo enda kiasi cha kuzani kuna mambo ni magumu yeye awezi. Nipo hapa asubui ya leo kukutia moyo kuwa bwana anaweza yote ko acha kujidharau . Songa mbele kwa kujua kuwa umaskini ulio nao ,adha unayopitia , magumu unayo pitia ni kitambo tu Bwana anakwenda kukuvusha leo. Mwamini Mungu kwani neno lake linasema "Nchi na vyote vijazavyo ni mali yake dunia na wote wakaao ndani yake" (zaburi 24:1) Kama vyote ni mali ya Bwana kumbe ili uvipate ni kuyatenda mapenzi yake ili yeye alitimize kusudi lake kwako . Jifunze kujikubali kabla ujakubaliwa ,kwani ili uweze yote lazima uwe jitu la kujikubali katika kutimiza mapenzi ya Mungu. Wanadamu wanaweza kukataaa huwezi lakini vipi Mungu anasemaje? Nayey kakukataa kwani ? Jibu utagundua ni hapana sasa kama ni hapana mtazame Mungu anasema nini sio wao wanasema nini na hapo ndipo utaanza kujua nguvu ya Mungu kuwa anaweza yote na hakuna asilo liweza. Wanadamu wamesema huwezi kuajiriwa , vipi Mungu aesema nini pia? Ukitizama hivyo utagundua Mungu kasela akuna jambo gumu asilo liweza! Ko ni wewe tu ujamlingana Mungu. Madaktari wamesema huwezi kupona huo ugonjwa Mungu amesemaj? Mungu anasema Njoni kwangu enyi nyote mnao lemewa na mizigo nami nitawapunzisha. Mwamini Mungu yeye anaweza kukuvusha ktika kila hatua bila ugumu wowote. Ok naitwa Sylvester Mwakabende (build new eden) at 06;52am #build new eden #restore men position
    Yay
    1
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·1K Views
  • 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·288 Views
  • 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·577 Views
  • 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·271 Views