• Love
    Like
    3
    · 0 Reacties ·0 aandelen ·293 Views
  • Nguvu ya damu ya Yesu.

    Damu ni ndiyo msingi wa agano .Ili agano litimie lazima limaliswe ba damu ambayo inene kama shahidi wa agano.

    Damu ndiyo inamamlaka ya kumsafisha mtu uovu wake wa kwanza au dhambi zake.

    Na hili halikuwnza kwa mwanadamu bali alilifanya mara ya kwanza Mungu mwenyewe pale bustanini eden kwa kuchinjz ili awavike adamu na mkewe baada ya kutoka nje ya maagizo yake au agano lake.
    Mwanzo 3:21. *Mwenyezi-Mungu akawatengenezea Adamu na mkewe mavazi ya ngozi, akawavika.*

    Damu ilitumika kama ondeleo la dhambi ndiyo maana mwanadamu alipo kuwa akikosa basi alienda kwa kuhani na kupeleka sadaka yakuteketezwa na sadaka ya ondeleo ambayo ni Azazeli iliyo kuwa mbuzi anaye beba uovu na kisha kuachwa jangwani.

    Ebrania 9:21
    "Katika torati karibi vitu vyote husafishwa kwa damu na pasipo kumwaga damu hakuna ondoleo"

    Kama pasipo damu kulikuwa hakuna ondoleo basi hiyo ndilo kusudi la Yesu kuja duniani kufanyika mwili ili aweze kutupa ondoleo la dhambi.

    Ndiyo maana ukisoma ujumbe wake wa kwanza kabisa kunena alinena maneno ya nabii isaya "Roho wa Bwana yu juu yangu, Kwa maana amenitia mafuta kuwahubiri maskini habari njema. Amenituma kuwatangazia wafungwa kufunguliwa kwao, Na vipofu kupata kuona tena, Kuwaacha huru waliosetwa.Luka 4:19

    Kwa maana alianza kusema hivyo akiainisha kusudi lake ilimlazimu yeye ndo awe mwanakondoo wa kuchinjwa ili ukombozi upatikane .

    Ili. atupe ondoleo ili mlazimu awe ndugu yetu ili kwanza ndiyo sababu akabeba mwili ili aonekane mwenzetu.

    Kupitia damu yake ndiyo tunapata ondoleo na ushindi dhidi ya dhambi .

    Nao wakamshinda kwa damu ya Mwana-Kondoo, na kwa neno la ushuhuda wao; ambao hawakupenda
    maisha yao hata kufa.(Ufunuo12:11)

    kama damu ya Abili ilinena ingali kuwa zmekufa vipi kuhusu damu ya Yesu mwenyewe ambaye ndiye kuhani mkuu kwetu na anzye tupa msamaha.

    Ukombozi wa maisha na baraka ni muhimu sana ukijua nguvu ya damu ya nwanakondoo ambaye ndiye yesu kristo

    Ebrania 10:16-19
    16 Hili ni agano nitakaloagana nao baada ya siku zile, anena Bwana,
    Nitatia sheria zangu mioyoni mwao,
    Na katika nia zao nitaziandika;
    ndipo anenapo,
    17 Dhambi zao na uasi wao sitaukumbuka tena kabisa.
    18Basi, ondoleo la hayo likiwapo, hapana toleo tena kwa ajili ya dhambi.
    Wito wa kuwa Wavumilivu
    19 Basi, ndugu, kwa kuwa tuna ujasiri wa kupaingia patakatifu kwa damu ya Yesu,

    Ukijua nguvu ya damu ya Yesu lazma utakuwa na ujasiri katka imani kwani damu yake inanguvu sawa na jina lake ni wewe tu ndo utaki kutumia damu yake kama ukombozi wako.

    Ukombozi ni jambo jema lakini lazima tujue kuwa pasipo Kristo hakuna kukombolewa ,mpe leo maisha akomboe maisha yako.

    #build new eden
    #restore men position
    Nguvu ya damu ya Yesu. Damu ni ndiyo msingi wa agano .Ili agano litimie lazima limaliswe ba damu ambayo inene kama shahidi wa agano. Damu ndiyo inamamlaka ya kumsafisha mtu uovu wake wa kwanza au dhambi zake. Na hili halikuwnza kwa mwanadamu bali alilifanya mara ya kwanza Mungu mwenyewe pale bustanini eden kwa kuchinjz ili awavike adamu na mkewe baada ya kutoka nje ya maagizo yake au agano lake. Mwanzo 3:21. *Mwenyezi-Mungu akawatengenezea Adamu na mkewe mavazi ya ngozi, akawavika.* Damu ilitumika kama ondeleo la dhambi ndiyo maana mwanadamu alipo kuwa akikosa basi alienda kwa kuhani na kupeleka sadaka yakuteketezwa na sadaka ya ondeleo ambayo ni Azazeli iliyo kuwa mbuzi anaye beba uovu na kisha kuachwa jangwani. Ebrania 9:21 "Katika torati karibi vitu vyote husafishwa kwa damu na pasipo kumwaga damu hakuna ondoleo" Kama pasipo damu kulikuwa hakuna ondoleo basi hiyo ndilo kusudi la Yesu kuja duniani kufanyika mwili ili aweze kutupa ondoleo la dhambi. Ndiyo maana ukisoma ujumbe wake wa kwanza kabisa kunena alinena maneno ya nabii isaya "Roho wa Bwana yu juu yangu, Kwa maana amenitia mafuta kuwahubiri maskini habari njema. Amenituma kuwatangazia wafungwa kufunguliwa kwao, Na vipofu kupata kuona tena, Kuwaacha huru waliosetwa.Luka 4:19 Kwa maana alianza kusema hivyo akiainisha kusudi lake ilimlazimu yeye ndo awe mwanakondoo wa kuchinjwa ili ukombozi upatikane . Ili. atupe ondoleo ili mlazimu awe ndugu yetu ili kwanza ndiyo sababu akabeba mwili ili aonekane mwenzetu. Kupitia damu yake ndiyo tunapata ondoleo na ushindi dhidi ya dhambi . Nao wakamshinda kwa damu ya Mwana-Kondoo, na kwa neno la ushuhuda wao; ambao hawakupenda maisha yao hata kufa.(Ufunuo12:11) kama damu ya Abili ilinena ingali kuwa zmekufa vipi kuhusu damu ya Yesu mwenyewe ambaye ndiye kuhani mkuu kwetu na anzye tupa msamaha. Ukombozi wa maisha na baraka ni muhimu sana ukijua nguvu ya damu ya nwanakondoo ambaye ndiye yesu kristo Ebrania 10:16-19 16 Hili ni agano nitakaloagana nao baada ya siku zile, anena Bwana, Nitatia sheria zangu mioyoni mwao, Na katika nia zao nitaziandika; ndipo anenapo, 17 Dhambi zao na uasi wao sitaukumbuka tena kabisa. 18Basi, ondoleo la hayo likiwapo, hapana toleo tena kwa ajili ya dhambi. Wito wa kuwa Wavumilivu 19 Basi, ndugu, kwa kuwa tuna ujasiri wa kupaingia patakatifu kwa damu ya Yesu, Ukijua nguvu ya damu ya Yesu lazma utakuwa na ujasiri katka imani kwani damu yake inanguvu sawa na jina lake ni wewe tu ndo utaki kutumia damu yake kama ukombozi wako. Ukombozi ni jambo jema lakini lazima tujue kuwa pasipo Kristo hakuna kukombolewa ,mpe leo maisha akomboe maisha yako. #build new eden #restore men position
    Wow
    1
    · 0 Reacties ·0 aandelen ·994 Views
  • 0 Reacties ·0 aandelen ·258 Views
  • 0 Reacties ·0 aandelen ·293 Views
  • 0 Reacties ·0 aandelen ·726 Views
  • 1.Kama ukijengwa katika dhana hii ya kujua kuwa sex ni ibada kamili yenye Madhabau kamili na maji maji mnayo yatoa ni sadaka kamili uwezi kubali kulala na kila binti unaye muona .

    My dear ukijua kuwa sex ni mlango unao weza ruhusu laana kuingia kwako uwezi kubali kulala na kila mwanaume anaye kuja mbele yako .

    Ukijua kuwa zinaa "KUZINI" Ni amri kama ilivyo USIUE huwezi kubali kusex na kila mwanamke anaye jichekesha mbele yako.

    Namaanisha hivi wewe uliye zini na anaye aliye ua wote kwa Mungu mko sawa acha kuichukilia zinaa kawaida.

    3.Ukijua kuwa zinaa inaangamiza nafsi yako uwezi kuwa unaruhusu kila kijana anaye kuja anakuvua nguo.

    4.Moja ya sifa ambayo inaweza kukutqmbulisha kama mpumbavu ni pamoja na kuwa mtu wa zinaa muda wote .

    Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake mithali 6:32

    5.Aina ya maisha yako yanaamua kiwango cha maisha yako uwezi kuwa na ndoto kubwa arafu ukawa unalala na kila mtu anaye kuja mbele yako .

    Yusuph kwa kuheshimu ndoto yake aliamua kumkimbia potifa.
    Hakuna mkuu katika nyumba hii kuliko mimi, wala hakunizuilia kitu chochote ila wewe, kwa kuwa wewe u mkewe.
    *Nifanyeje ubaya huu mkubwa nimkosee Mungu?* Akawa akizidi kusema na Yusufu siku baada ya siku, lakini hakumsikia alale naye, wala kuwa naye.Mwanzo 39:9-10.
    Ukubwa wa ndoto ya yusuph akubabaishwa na uzuri na ukuu wa malkia wa misri .
    Hiyo ndiyo maana sahihi ya ndoto.

    6.Zinaa inakuondolea kabisa uwepo wa Mungu kabisa .

    Zinaa inaharibu kusudi la Mungu kwako na unaweza kufa kabla ya wakati muulize sulemani anajua uhalisia kuwa sababu ya zinaa alipoteza nguvu zake .

    Sex ni tendo la agano kama agano lingine ndo mana intial day lazima wakike afunguliwe kwa damu kumwagika na anaye mwaga damu anatoa maji maji huitwa (shahawa) kama kamilisho la agano .

    Acha kuchukulia zinaa kama kitu cha kawaida ni tendo la agano kuna watu wengi mumefungwa na watu wenu wa ujanani mpaka leo mumeolewa au kuoa kimwili uko na mke wako lakini kiroho wewe una agano na mtu mwingine.

    Asante Kristo ni Bwana wa agano jipy anataka vijana waache zinaa kabisa na yeye anasamehe kila jambo baya kama tu ukimwamini na kumpa nafasi leo.


    Ok naitwa sylvester Mwakabende kutoka (build new eden)

    #build new eden
    #restore men position
    1.Kama ukijengwa katika dhana hii ya kujua kuwa sex ni ibada kamili yenye Madhabau kamili na maji maji mnayo yatoa ni sadaka kamili uwezi kubali kulala na kila binti unaye muona . My dear ukijua kuwa sex ni mlango unao weza ruhusu laana kuingia kwako uwezi kubali kulala na kila mwanaume anaye kuja mbele yako . Ukijua kuwa zinaa "KUZINI" Ni amri kama ilivyo USIUE huwezi kubali kusex na kila mwanamke anaye jichekesha mbele yako. Namaanisha hivi wewe uliye zini na anaye aliye ua wote kwa Mungu mko sawa acha kuichukilia zinaa kawaida. 3.Ukijua kuwa zinaa inaangamiza nafsi yako uwezi kuwa unaruhusu kila kijana anaye kuja anakuvua nguo. 4.Moja ya sifa ambayo inaweza kukutqmbulisha kama mpumbavu ni pamoja na kuwa mtu wa zinaa muda wote . Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake mithali 6:32 5.Aina ya maisha yako yanaamua kiwango cha maisha yako uwezi kuwa na ndoto kubwa arafu ukawa unalala na kila mtu anaye kuja mbele yako . Yusuph kwa kuheshimu ndoto yake aliamua kumkimbia potifa. Hakuna mkuu katika nyumba hii kuliko mimi, wala hakunizuilia kitu chochote ila wewe, kwa kuwa wewe u mkewe. *Nifanyeje ubaya huu mkubwa nimkosee Mungu?* Akawa akizidi kusema na Yusufu siku baada ya siku, lakini hakumsikia alale naye, wala kuwa naye.Mwanzo 39:9-10. Ukubwa wa ndoto ya yusuph akubabaishwa na uzuri na ukuu wa malkia wa misri . Hiyo ndiyo maana sahihi ya ndoto. 6.Zinaa inakuondolea kabisa uwepo wa Mungu kabisa . Zinaa inaharibu kusudi la Mungu kwako na unaweza kufa kabla ya wakati muulize sulemani anajua uhalisia kuwa sababu ya zinaa alipoteza nguvu zake . Sex ni tendo la agano kama agano lingine ndo mana intial day lazima wakike afunguliwe kwa damu kumwagika na anaye mwaga damu anatoa maji maji huitwa (shahawa) kama kamilisho la agano . Acha kuchukulia zinaa kama kitu cha kawaida ni tendo la agano kuna watu wengi mumefungwa na watu wenu wa ujanani mpaka leo mumeolewa au kuoa kimwili uko na mke wako lakini kiroho wewe una agano na mtu mwingine. Asante Kristo ni Bwana wa agano jipy anataka vijana waache zinaa kabisa na yeye anasamehe kila jambo baya kama tu ukimwamini na kumpa nafasi leo. Ok naitwa sylvester Mwakabende kutoka (build new eden) #build new eden #restore men position
    Wow
    1
    · 0 Reacties ·0 aandelen ·885 Views
  • 0 Reacties ·0 aandelen ·144 Views
  • 0 Reacties ·0 aandelen ·156 Views
  • 0 Reacties ·0 aandelen ·253 Views
  • Matendo ya Mitume 20:29-32
    [29]Najua mimi ya kuwa baada ya kuondoka kuangusha mbwa-mwitu wakali wataingia kwenu, wasilihurumie kundi;

    [30]tena katika ninyi wenyewe watainuka watu wakisema mapotovu, wawavute hao wanafunzi wawaandamie wao.
    .
    [31]Kwa hiyo kesheni, mkikumbuka ya kwamba miaka mitatu, usiku na mchana, sikuacha kumwonya kila mtu kwa machozi.

    [32]Basi, sasa nawaweka katika mikono ya Mungu, na kwa neno la neema yake, ambalo laweza kuwajenga na kuwapa urithi pamoja nao wote waliotakaswa.

    Ukitizama vizuri utagundua Paulo alipo taka kurudi Yerusalemu kwa ajiri ya pentecost alilipitia kanisa na kuliaga .

    Alipo kuwa akiwaaga alisikia hakika ya kuwa hatorudi ikabidi aliachie kanisa mausia au maagizo .

    Na moja ya maagizo ni kuwa ili kanisa lizidi kukua katika roho na kuishi maisha ya Kristo lazima wakeshe wakiomba .

    Si tu kukesha katika kuomba bali wakeshe pia wakikumbuka kuwa ndani ya MAOMBI lazima pia wawe watu sakuonyana na kuchukuliana kwa ajiri ya mwili wa Kristo.

    Na pia kanisa lisiyakubali mfundisho ya wanikolai maana uamsho ukipoa watakuja watu na mafundisho ya kila aina ambayo kwa sehemu kubwa ni kulipotezq kanisa.

    .Matendo ya Mitume 20:28
    [28]Jitunzeni nafsi zenu, na lile kundi lote nalo, ambalo Roho Mtakatifu amewaweka ninyi kuwa waangalizi ndani yake, mpate kulilisha kanisa lake Mungu, alilolinunua kwa damu yake mwenyewe.

    Kumbe maombi ni kitu muhimu sana kwa huduma kwani hata muasisu wa huduma akitoka bado huduma haitateteleka.


    Kanisa la kwanza lilikuwa imara kwa sababu Yesu alipo ondoka kanisa aliliachia maagizo wakae wakisubiri roho ,na si kuwa walikuwa wakila na kunywa hapana bali walikuwa wakiomba mchana na usiku na ndio mana walifanya ishara na maajabu mengi na uamsho mkubwa sana.

    Ili Mungu alionekanie kanisa lazima liwe hai katika maombi na wala si kitu kingine chochote.

    Kanisa la maombi mengi ndilo kanisa la wapindua meza .

    Mungu alisaidie kanisa la uamsho la Tanzania kwani ni muda wa kanisa kukesha kuomba umefika .

    Yesu mwenyewe pia alisema kesheni mkiomba maana hamjui saa ya mwana wa adamu kurejea.
    .

    Ok naitwa sylvester mwakabende Kutoka (build new eden)

    #build new eden
    #restore men position
    Matendo ya Mitume 20:29-32 [29]Najua mimi ya kuwa baada ya kuondoka kuangusha mbwa-mwitu wakali wataingia kwenu, wasilihurumie kundi; [30]tena katika ninyi wenyewe watainuka watu wakisema mapotovu, wawavute hao wanafunzi wawaandamie wao. . [31]Kwa hiyo kesheni, mkikumbuka ya kwamba miaka mitatu, usiku na mchana, sikuacha kumwonya kila mtu kwa machozi. [32]Basi, sasa nawaweka katika mikono ya Mungu, na kwa neno la neema yake, ambalo laweza kuwajenga na kuwapa urithi pamoja nao wote waliotakaswa. Ukitizama vizuri utagundua Paulo alipo taka kurudi Yerusalemu kwa ajiri ya pentecost alilipitia kanisa na kuliaga . Alipo kuwa akiwaaga alisikia hakika ya kuwa hatorudi ikabidi aliachie kanisa mausia au maagizo . Na moja ya maagizo ni kuwa ili kanisa lizidi kukua katika roho na kuishi maisha ya Kristo lazima wakeshe wakiomba . Si tu kukesha katika kuomba bali wakeshe pia wakikumbuka kuwa ndani ya MAOMBI lazima pia wawe watu sakuonyana na kuchukuliana kwa ajiri ya mwili wa Kristo. Na pia kanisa lisiyakubali mfundisho ya wanikolai maana uamsho ukipoa watakuja watu na mafundisho ya kila aina ambayo kwa sehemu kubwa ni kulipotezq kanisa. .Matendo ya Mitume 20:28 [28]Jitunzeni nafsi zenu, na lile kundi lote nalo, ambalo Roho Mtakatifu amewaweka ninyi kuwa waangalizi ndani yake, mpate kulilisha kanisa lake Mungu, alilolinunua kwa damu yake mwenyewe. Kumbe maombi ni kitu muhimu sana kwa huduma kwani hata muasisu wa huduma akitoka bado huduma haitateteleka. Kanisa la kwanza lilikuwa imara kwa sababu Yesu alipo ondoka kanisa aliliachia maagizo wakae wakisubiri roho ,na si kuwa walikuwa wakila na kunywa hapana bali walikuwa wakiomba mchana na usiku na ndio mana walifanya ishara na maajabu mengi na uamsho mkubwa sana. Ili Mungu alionekanie kanisa lazima liwe hai katika maombi na wala si kitu kingine chochote. Kanisa la maombi mengi ndilo kanisa la wapindua meza . Mungu alisaidie kanisa la uamsho la Tanzania kwani ni muda wa kanisa kukesha kuomba umefika . Yesu mwenyewe pia alisema kesheni mkiomba maana hamjui saa ya mwana wa adamu kurejea. . Ok naitwa sylvester mwakabende Kutoka (build new eden) #build new eden #restore men position
    Yay
    1
    · 0 Reacties ·0 aandelen ·783 Views