• 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·1 Views
  • 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·1 Views
  • 1.Kama ukijengwa katika dhana hii ya kujua kuwa sex ni ibada kamili yenye Madhabau kamili na maji maji mnayo yatoa ni sadaka kamili uwezi kubali kulala na kila binti unaye muona .

    My dear ukijua kuwa sex ni mlango unao weza ruhusu laana kuingia kwako uwezi kubali kulala na kila mwanaume anaye kuja mbele yako .

    Ukijua kuwa zinaa "KUZINI" Ni amri kama ilivyo USIUE huwezi kubali kusex na kila mwanamke anaye jichekesha mbele yako.

    Namaanisha hivi wewe uliye zini na anaye aliye ua wote kwa Mungu mko sawa acha kuichukilia zinaa kawaida.

    3.Ukijua kuwa zinaa inaangamiza nafsi yako uwezi kuwa unaruhusu kila kijana anaye kuja anakuvua nguo.

    4.Moja ya sifa ambayo inaweza kukutqmbulisha kama mpumbavu ni pamoja na kuwa mtu wa zinaa muda wote .

    Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake mithali 6:32

    5.Aina ya maisha yako yanaamua kiwango cha maisha yako uwezi kuwa na ndoto kubwa arafu ukawa unalala na kila mtu anaye kuja mbele yako .

    Yusuph kwa kuheshimu ndoto yake aliamua kumkimbia potifa.
    Hakuna mkuu katika nyumba hii kuliko mimi, wala hakunizuilia kitu chochote ila wewe, kwa kuwa wewe u mkewe.
    *Nifanyeje ubaya huu mkubwa nimkosee Mungu?* Akawa akizidi kusema na Yusufu siku baada ya siku, lakini hakumsikia alale naye, wala kuwa naye.Mwanzo 39:9-10.
    Ukubwa wa ndoto ya yusuph akubabaishwa na uzuri na ukuu wa malkia wa misri .
    Hiyo ndiyo maana sahihi ya ndoto.

    6.Zinaa inakuondolea kabisa uwepo wa Mungu kabisa .

    Zinaa inaharibu kusudi la Mungu kwako na unaweza kufa kabla ya wakati muulize sulemani anajua uhalisia kuwa sababu ya zinaa alipoteza nguvu zake .

    Sex ni tendo la agano kama agano lingine ndo mana intial day lazima wakike afunguliwe kwa damu kumwagika na anaye mwaga damu anatoa maji maji huitwa (shahawa) kama kamilisho la agano .

    Acha kuchukulia zinaa kama kitu cha kawaida ni tendo la agano kuna watu wengi mumefungwa na watu wenu wa ujanani mpaka leo mumeolewa au kuoa kimwili uko na mke wako lakini kiroho wewe una agano na mtu mwingine.

    Asante Kristo ni Bwana wa agano jipy anataka vijana waache zinaa kabisa na yeye anasamehe kila jambo baya kama tu ukimwamini na kumpa nafasi leo.


    Ok naitwa sylvester Mwakabende kutoka (build new eden)

    #build new eden
    #restore men position
    1.Kama ukijengwa katika dhana hii ya kujua kuwa sex ni ibada kamili yenye Madhabau kamili na maji maji mnayo yatoa ni sadaka kamili uwezi kubali kulala na kila binti unaye muona . My dear ukijua kuwa sex ni mlango unao weza ruhusu laana kuingia kwako uwezi kubali kulala na kila mwanaume anaye kuja mbele yako . Ukijua kuwa zinaa "KUZINI" Ni amri kama ilivyo USIUE huwezi kubali kusex na kila mwanamke anaye jichekesha mbele yako. Namaanisha hivi wewe uliye zini na anaye aliye ua wote kwa Mungu mko sawa acha kuichukilia zinaa kawaida. 3.Ukijua kuwa zinaa inaangamiza nafsi yako uwezi kuwa unaruhusu kila kijana anaye kuja anakuvua nguo. 4.Moja ya sifa ambayo inaweza kukutqmbulisha kama mpumbavu ni pamoja na kuwa mtu wa zinaa muda wote . Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake mithali 6:32 5.Aina ya maisha yako yanaamua kiwango cha maisha yako uwezi kuwa na ndoto kubwa arafu ukawa unalala na kila mtu anaye kuja mbele yako . Yusuph kwa kuheshimu ndoto yake aliamua kumkimbia potifa. Hakuna mkuu katika nyumba hii kuliko mimi, wala hakunizuilia kitu chochote ila wewe, kwa kuwa wewe u mkewe. *Nifanyeje ubaya huu mkubwa nimkosee Mungu?* Akawa akizidi kusema na Yusufu siku baada ya siku, lakini hakumsikia alale naye, wala kuwa naye.Mwanzo 39:9-10. Ukubwa wa ndoto ya yusuph akubabaishwa na uzuri na ukuu wa malkia wa misri . Hiyo ndiyo maana sahihi ya ndoto. 6.Zinaa inakuondolea kabisa uwepo wa Mungu kabisa . Zinaa inaharibu kusudi la Mungu kwako na unaweza kufa kabla ya wakati muulize sulemani anajua uhalisia kuwa sababu ya zinaa alipoteza nguvu zake . Sex ni tendo la agano kama agano lingine ndo mana intial day lazima wakike afunguliwe kwa damu kumwagika na anaye mwaga damu anatoa maji maji huitwa (shahawa) kama kamilisho la agano . Acha kuchukulia zinaa kama kitu cha kawaida ni tendo la agano kuna watu wengi mumefungwa na watu wenu wa ujanani mpaka leo mumeolewa au kuoa kimwili uko na mke wako lakini kiroho wewe una agano na mtu mwingine. Asante Kristo ni Bwana wa agano jipy anataka vijana waache zinaa kabisa na yeye anasamehe kila jambo baya kama tu ukimwamini na kumpa nafasi leo. Ok naitwa sylvester Mwakabende kutoka (build new eden) #build new eden #restore men position
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·5 Views
  • 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·1 Views
  • 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·1 Views