• Plumbing Services for Homes and Offices: Quick Fixes and Lasting Solutions

    When your tap starts leaking at midnight or your bathroom drain clogs up before a big family gathering, a reliable Plumber Services becomes your best friend. Plumbing issues aren’t just inconvenient—they can disrupt your entire day or even cause costly damage if ignored.

    From fixing a tiny leak to completely overhauling your home’s plumbing system, professional plumbers are essential to maintaining a healthy, safe, and stress-free living environment.

    Visit Us - https://www.numberdekho.com/plumber-in-greater-noida
    Plumbing Services for Homes and Offices: Quick Fixes and Lasting Solutions When your tap starts leaking at midnight or your bathroom drain clogs up before a big family gathering, a reliable Plumber Services becomes your best friend. Plumbing issues aren’t just inconvenient—they can disrupt your entire day or even cause costly damage if ignored. From fixing a tiny leak to completely overhauling your home’s plumbing system, professional plumbers are essential to maintaining a healthy, safe, and stress-free living environment. Visit Us - https://www.numberdekho.com/plumber-in-greater-noida
    www.numberdekho.com
    Our professional Plumber services in Greater Noida bring expertise right to your doorstep in just 30 minutes! NumberDekho is your one-stop solution for all your Plumber services near me and needs.
    0 Comments ·0 Shares ·595 Views
  • KWANINI NCHI MASIKINI HUWA NA WANASIASA MATAJIRI SANA?

    Hii ni moja ya mafumbo makubwa ya kisiasa Afrika:
    Nchi ni masikini...
    Raia hawana huduma...
    Lakini wanasiasa wana nyumba za kifahari, magari ya kifahari, na watoto wao wanasoma nje ya nchi.

    Unawezaje kuongoza nchi yenye njaa, lakini wewe unanenepa?

    Sababu ya kwanza: Siasa ni Biashara.
    Watu wengi wanaingia kwenye siasa si kwa sababu ya maono, bali kwa sababu wanajua kuna "return on investment".
    Unatumia milioni 100 kugombea, lakini ukishinda, unaweza rudisha mara 10 zaidi kupitia dili.

    Sababu ya pili: Rushwa Iliyohalalishwa.
    Nchi nyingi masikini zina mifumo dhaifu ya ukaguzi.
    Mwanasiasa anaweza toa tenda kwa kampuni yake mwenyewe kupitia proxies.
    Hakuna accountability.
    "Public office" inageuka kuwa ATM ya binafsi.

    Sababu ya tatu: Ukosefu wa elimu ya uraia.
    Raia wengi hawajui haki zao.
    Wanapewa kilo ya unga au t-shirt wakati wa uchaguzi, wanapitisha mwizi mwingine.
    Siasa zinageuka kuwa mashindano ya maigizo, si sera.

    Sababu ya nne: Tabaka la kimasikini linaogopa mabadiliko.
    Wengi wetu tunaishi kwa matumaini ya kusaidiwa binafsi na si kwa kutengeneza mfumo unaosaidia wote.
    Tunapenda “mheshimiwa” badala ya mfumo bora.
    Hili linafanya mafisadi waendelee kutawala.

    Sababu ya tano: Woga wa taasisi.
    Asasi za kiraia, vyombo vya habari na mahakama huwa dhaifu au vimetiwa mfukoni.
    Hii inawapa wanasiasa uhuru wa kuiba bila hofu ya kushtakiwa.

    Na mwisho kabisa:
    Wanasiasa hawawajibiki kwa wananchi bali kwa wafadhili wao.
    Wale waliowasaidia kugombea (wakubwa wa biashara, makampuni ya kigeni, n.k.) ndio wanaoamua sera.
    Mwananchi? Yuko pembeni kabisa.

    Hii ndiyo sababu utaona mtu anakuwa mbunge kwa miaka 15 lakini eneo lake halina maji wala barabara.
    Lakini yeye ana ghorofa 3, magari 4, na clinic binafsi Nairobi.

    Umasikini wa raia si bahati mbaya ni mpango wa kisiasa.

    Suluhisho?

    Elimu ya uraia

    Uwajibikaji

    Sheria kali za kupiga vita ufisadi

    Vyombo huru vya habari

    Raia wasioogopa kuuliza maswali

    Je, wewe unaona nini kifanyike ili tuwajibishe viongozi wetu?
    Tumezoea maisha magumu kiasi kwamba tumeyakubali kama kawaida.
    Ni muda wa kubadilika.

    #Kireportel #Ufisadi #Siasa #Africa #Kujitambua

    Follow me pia X (Twitter): x.com/DullahWrites
    KWANINI NCHI MASIKINI HUWA NA WANASIASA MATAJIRI SANA? Hii ni moja ya mafumbo makubwa ya kisiasa Afrika: Nchi ni masikini... Raia hawana huduma... Lakini wanasiasa wana nyumba za kifahari, magari ya kifahari, na watoto wao wanasoma nje ya nchi. Unawezaje kuongoza nchi yenye njaa, lakini wewe unanenepa? Sababu ya kwanza: Siasa ni Biashara. Watu wengi wanaingia kwenye siasa si kwa sababu ya maono, bali kwa sababu wanajua kuna "return on investment". Unatumia milioni 100 kugombea, lakini ukishinda, unaweza rudisha mara 10 zaidi kupitia dili. Sababu ya pili: Rushwa Iliyohalalishwa. Nchi nyingi masikini zina mifumo dhaifu ya ukaguzi. Mwanasiasa anaweza toa tenda kwa kampuni yake mwenyewe kupitia proxies. Hakuna accountability. "Public office" inageuka kuwa ATM ya binafsi. Sababu ya tatu: Ukosefu wa elimu ya uraia. Raia wengi hawajui haki zao. Wanapewa kilo ya unga au t-shirt wakati wa uchaguzi, wanapitisha mwizi mwingine. Siasa zinageuka kuwa mashindano ya maigizo, si sera. Sababu ya nne: Tabaka la kimasikini linaogopa mabadiliko. Wengi wetu tunaishi kwa matumaini ya kusaidiwa binafsi na si kwa kutengeneza mfumo unaosaidia wote. Tunapenda “mheshimiwa” badala ya mfumo bora. Hili linafanya mafisadi waendelee kutawala. Sababu ya tano: Woga wa taasisi. Asasi za kiraia, vyombo vya habari na mahakama huwa dhaifu au vimetiwa mfukoni. Hii inawapa wanasiasa uhuru wa kuiba bila hofu ya kushtakiwa. Na mwisho kabisa: Wanasiasa hawawajibiki kwa wananchi bali kwa wafadhili wao. Wale waliowasaidia kugombea (wakubwa wa biashara, makampuni ya kigeni, n.k.) ndio wanaoamua sera. Mwananchi? Yuko pembeni kabisa. Hii ndiyo sababu utaona mtu anakuwa mbunge kwa miaka 15 lakini eneo lake halina maji wala barabara. Lakini yeye ana ghorofa 3, magari 4, na clinic binafsi Nairobi. Umasikini wa raia si bahati mbaya ni mpango wa kisiasa. Suluhisho? Elimu ya uraia Uwajibikaji Sheria kali za kupiga vita ufisadi Vyombo huru vya habari Raia wasioogopa kuuliza maswali Je, wewe unaona nini kifanyike ili tuwajibishe viongozi wetu? Tumezoea maisha magumu kiasi kwamba tumeyakubali kama kawaida. Ni muda wa kubadilika. #Kireportel #Ufisadi #Siasa #Africa #Kujitambua Follow me pia X (Twitter): x.com/DullahWrites
    Like
    2
    · 0 Comments ·0 Shares ·2K Views
  • HIVI ULIKUA UNALIJUA ILI?
    KABLA NCHI AMBAYO PESA ZIPO KILA MAHALI!

    Karibu kwenye Somaliland nchi isiyo rasmi iliyojitangazia uhuru kutoka Somalia.

    Hapa, pesa si kitu cha kuvutia ni kama karatasi tu.
    Kila mtu anatembea na maburungutu ya noti mfukoni, kwenye mifuko ya plastiki au hata kwenye ndoo!

    Kwenye maduka, huwezi kuona "Lipa kwa Simu" au POS za swipe.

    Hii ni kwa sababu uchumi wao unategemea sana pesa taslimu.
    Mfumo wa mabenki haujasambaa, na watu wengi hawana akaunti ya benki kabisa.

    Sasa fikiria hili:
    Unataka kununua mbuzi sokoni bei ni 600,000 Somaliland Shillings.

    Unatoa maburungutu yako kwenye mfuko wa nailoni na kuhesabu huku unatokwa na jasho.

    Lakini kwanini watu wabebe noti nyingi kiasi hicho?

    Kwa sababu sarafu yao haina thamani kabisa!
    1 USD ni zaidi ya 8,000 SLSH.
    Yaani, hata ukitoa noti laki moja, huwezi kununua soda 3 vizuri.

    Na cha ajabu zaidi:
    Hakuna ATM nyingi, hakuna mabenki ya kisasa, na watu wengi hawana access na huduma za kifedha.

    Wanalazimika kutegemea cash economy, iliyojaa risks kama wizi au usumbufu.

    Sasa unaweza kujiuliza:
    “Hii si inawapa tabu sana?”

    Ni kweli. Lakini pia kuna upande mwingine:
    Kwa sababu hakuna mifumo ya kisasa, Watu wa Somaliland wamejenga ustahimilivu wa kipekee.
    Wanajua kuishi kwa pesa isiyo na nguvu.

    Kuna bidhaa haziuzwi kwa SLSH hata kidogo.
    Wenye maduka wanakataa kabisa.
    Wanaomba malipo kwa Dola au shilingi ya Ethiopia sarafu zenye nguvu zaidi.

    Ili kuepuka matatizo, kuna watu waliamua KUCHAPISHA PESA KUBWA!

    Yaani noti za SLSH 5,000 au 10,000, ambazo hazina hata security features za maana.
    Ni kama kupiga photostat ya pesa.
    Matokeo? Pesa nyingi, thamani hakuna!

    Somaliland inatufundisha kitu muhimu sana:

    Pesa inaweza kuwa nyingi sana mpaka ukaichoka lakini bila thamani ya kweli, haina maana.

    Hii ni reality ya taifa linaloishi kwenye mzigo wa fedha zisizo na nguvu.

    Kama uliwahi kufikiri una pesa nyingi lakini huna kitu karibu Somaliland, utajua maana halisi.

    Je, unadhani ni bora kuwa na hela nyingi zisizo na thamani, au kidogo zenye nguvu?

    Comment

    Follow me pia X (Twitter): x.com/DullahWrites
    HIVI ULIKUA UNALIJUA ILI? KABLA NCHI AMBAYO PESA ZIPO KILA MAHALI! Karibu kwenye Somaliland nchi isiyo rasmi iliyojitangazia uhuru kutoka Somalia. Hapa, pesa si kitu cha kuvutia ni kama karatasi tu. Kila mtu anatembea na maburungutu ya noti mfukoni, kwenye mifuko ya plastiki au hata kwenye ndoo! Kwenye maduka, huwezi kuona "Lipa kwa Simu" au POS za swipe. Hii ni kwa sababu uchumi wao unategemea sana pesa taslimu. Mfumo wa mabenki haujasambaa, na watu wengi hawana akaunti ya benki kabisa. Sasa fikiria hili: Unataka kununua mbuzi sokoni bei ni 600,000 Somaliland Shillings. Unatoa maburungutu yako kwenye mfuko wa nailoni na kuhesabu huku unatokwa na jasho. Lakini kwanini watu wabebe noti nyingi kiasi hicho? Kwa sababu sarafu yao haina thamani kabisa! 1 USD ni zaidi ya 8,000 SLSH. Yaani, hata ukitoa noti laki moja, huwezi kununua soda 3 vizuri. Na cha ajabu zaidi: Hakuna ATM nyingi, hakuna mabenki ya kisasa, na watu wengi hawana access na huduma za kifedha. Wanalazimika kutegemea cash economy, iliyojaa risks kama wizi au usumbufu. Sasa unaweza kujiuliza: “Hii si inawapa tabu sana?” Ni kweli. Lakini pia kuna upande mwingine: Kwa sababu hakuna mifumo ya kisasa, Watu wa Somaliland wamejenga ustahimilivu wa kipekee. Wanajua kuishi kwa pesa isiyo na nguvu. Kuna bidhaa haziuzwi kwa SLSH hata kidogo. Wenye maduka wanakataa kabisa. Wanaomba malipo kwa Dola au shilingi ya Ethiopia sarafu zenye nguvu zaidi. Ili kuepuka matatizo, kuna watu waliamua KUCHAPISHA PESA KUBWA! Yaani noti za SLSH 5,000 au 10,000, ambazo hazina hata security features za maana. Ni kama kupiga photostat ya pesa. Matokeo? Pesa nyingi, thamani hakuna! Somaliland inatufundisha kitu muhimu sana: Pesa inaweza kuwa nyingi sana mpaka ukaichoka lakini bila thamani ya kweli, haina maana. Hii ni reality ya taifa linaloishi kwenye mzigo wa fedha zisizo na nguvu. Kama uliwahi kufikiri una pesa nyingi lakini huna kitu karibu Somaliland, utajua maana halisi. Je, unadhani ni bora kuwa na hela nyingi zisizo na thamani, au kidogo zenye nguvu? Comment Follow me pia X (Twitter): x.com/DullahWrites
    Like
    2
    · 0 Comments ·0 Shares ·1K Views
  • 0 Comments ·0 Shares ·727 Views
  • Like
    1
    · 0 Comments ·0 Shares ·368 Views
  • 0 Comments ·0 Shares ·360 Views
  • Like
    1
    · 0 Comments ·0 Shares ·570 Views
  • MADHARA YA KUNYONYWA UKE AU UUME.

    1. Maambukizi ya magonjwa ya zinaa (STIs) – Kama vile UKIMWI, HSV (Herpes), HPV, kisonono, kaswende n.k.

    2. Vidonda mdomoni au sehemu za siri – Kutokana na kuumwa au mikwaruzo wakati wa tendo.

    3. Kupata harufu mbaya au maambukizi ya bakteria – Kwenye uke au mdomo (hasa kwa wanawake).

    4. Kuchangia saratani ya koo au uume/uke – Virusi vya HPV vinaweza sababisha.

    5. Msongo wa kisaikolojia – Kwa baadhi ya watu, tendo hili linaweza kuleta hisia za hatia au mkanganyiko wa kihisia.



    JIOKOE MAPEMA
    MADHARA YA KUNYONYWA UKE AU UUME. 1. Maambukizi ya magonjwa ya zinaa (STIs) – Kama vile UKIMWI, HSV (Herpes), HPV, kisonono, kaswende n.k. 2. Vidonda mdomoni au sehemu za siri – Kutokana na kuumwa au mikwaruzo wakati wa tendo. 3. Kupata harufu mbaya au maambukizi ya bakteria – Kwenye uke au mdomo (hasa kwa wanawake). 4. Kuchangia saratani ya koo au uume/uke – Virusi vya HPV vinaweza sababisha. 5. Msongo wa kisaikolojia – Kwa baadhi ya watu, tendo hili linaweza kuleta hisia za hatia au mkanganyiko wa kihisia. JIOKOE MAPEMA
    Love
    1
    · 0 Comments ·0 Shares ·491 Views
  • Power of choise part 4.

    Neno msingi.Angalia nawawekea mbele yako yaani baraka na laana. Kumbu kumbu la torati 11:26

    Ukikosea kuchagua au kuongozwa na nguvu ya kuchagua umekosea maisha.

    Baada ya kuwaangalia mashujaa kazaa walio pata matokeo kwa kujiongoza kuchagua badi tunapaswa kurudi kuangalia pia walio kosea kuchagua na matokeo waliyo yapata.

    Kumbuka nikisema nguvu ya kuchagua namaanisha jambo kubwa sana rohoni kuliko kuwaza kuchagua mweza .

    Nazungumzia kanuni thabiti ya maisha ambayo kama ukiijua na kuiishi lazima matokeo yakufuate.

    1.Sauil
    Sauli alipo chagua kito kutiii sauti ya Mungu akapelekea kupoteza nafasi ya kifalme kwa sababu ya tamaa ya siku moja ..

    Bahati mbaya sana wengi sana tukikosea kuchagua si rahisi kuomba toba kwa kuwa tunakuwa na mbinu nyingi sana za kujitetea.


    1 Samweli 13:11-14
    [11]Samweli akasema, Umefanya nini? Naye Sauli akasema, Ni kwa sababu naliona ya kuwa watu wanatawanyika mbali nami, na wewe hukuja siku zile zilizonenwa; nao Wafilisti wamekusanyika pamoja huko Mikmashi;

    [12]basi nikasema, Wafilisti watanishukia sasa mpaka Gilgali, kabla sijaomba fadhili za BWANA; kwa hiyo nalijishurutisha, nikatoa sadaka ya kuteketezwa.
    .
    [13]Naye Samweli akamwambia Sauli, Umefanya upumbavu; hukuishika amri ya BWANA, Mungu wako, aliyokuamuru; kwa maana BWANA angaliufanya ufalme wako kuwa imara juu ya Israeli milele.

    [14]Lakini sasa ufalme wako hautadumu; BWANA amejitafutia mtu aupendezaye moyo wake, naye BWANA amemwamuru yeye kuwa mkuu juu ya watu wake, kwa sababu wewe hukulishika neno lile BWANA alilokuamuru.


    Hii mara ya kwanza Sauli anajiongoza vibaya katika nguvu iliyo ndani yake inayo itwa nguvu ya kuchagua.

    1 Samweli 15:23
    [23]Kwani kuasi ni kama dhambi ya uchawi,
    Na ukaidi ni kama ukafiri na vinyago;
    Kwa kuwa umelikataa neno la BWANA,
    Yeye naye amekukataa wewe usiwe mfalme.

    Anashindwa pia kufuata maelekezo si kwa sababu anapenda bali sababu ya kuto kuwa na nguvu inayo kuwezesha kuchagua.

    Na ili uchague lazima uwe na roho mtakatifu kati ya nguvu anayo kupa ni nguvu ya kuchagua .

    Bahati mbaya sana akina sauli wako wengi duniani wanafanya kile wasicho agizwa kwa tamaa zao arafu wanasema ni kwa ajiri ya injiri .

    Mfano mwepesi huwezi kuwa dada au kaka wa plays arafu kutwa unazini arafu utegemee Mungu atakukubali kwani dhambi ni matokeo ya kukosa nguvu ya kuchagua.

    Natamani sana vijana tujue siri ya uyu roho ambaye ndiye aliyetupa Nguvu hii ya kuchagua na jinsi inavyo weza badilisha Maisha yetu.

    Ukiweza kuiishi nguvu hii inayo itwa kuchagua basi uneyaweza maisha .

    Ahsantenaitwa Sylvester Mwakabende Kutoka (build new eden )

    #build new eden
    #restore men position
    Power of choise part 4. Neno msingi.Angalia nawawekea mbele yako yaani baraka na laana. Kumbu kumbu la torati 11:26 Ukikosea kuchagua au kuongozwa na nguvu ya kuchagua umekosea maisha. Baada ya kuwaangalia mashujaa kazaa walio pata matokeo kwa kujiongoza kuchagua badi tunapaswa kurudi kuangalia pia walio kosea kuchagua na matokeo waliyo yapata. Kumbuka nikisema nguvu ya kuchagua namaanisha jambo kubwa sana rohoni kuliko kuwaza kuchagua mweza . Nazungumzia kanuni thabiti ya maisha ambayo kama ukiijua na kuiishi lazima matokeo yakufuate. 1.Sauil Sauli alipo chagua kito kutiii sauti ya Mungu akapelekea kupoteza nafasi ya kifalme kwa sababu ya tamaa ya siku moja .. Bahati mbaya sana wengi sana tukikosea kuchagua si rahisi kuomba toba kwa kuwa tunakuwa na mbinu nyingi sana za kujitetea. 1 Samweli 13:11-14 [11]Samweli akasema, Umefanya nini? Naye Sauli akasema, Ni kwa sababu naliona ya kuwa watu wanatawanyika mbali nami, na wewe hukuja siku zile zilizonenwa; nao Wafilisti wamekusanyika pamoja huko Mikmashi; [12]basi nikasema, Wafilisti watanishukia sasa mpaka Gilgali, kabla sijaomba fadhili za BWANA; kwa hiyo nalijishurutisha, nikatoa sadaka ya kuteketezwa. . [13]Naye Samweli akamwambia Sauli, Umefanya upumbavu; hukuishika amri ya BWANA, Mungu wako, aliyokuamuru; kwa maana BWANA angaliufanya ufalme wako kuwa imara juu ya Israeli milele. [14]Lakini sasa ufalme wako hautadumu; BWANA amejitafutia mtu aupendezaye moyo wake, naye BWANA amemwamuru yeye kuwa mkuu juu ya watu wake, kwa sababu wewe hukulishika neno lile BWANA alilokuamuru. Hii mara ya kwanza Sauli anajiongoza vibaya katika nguvu iliyo ndani yake inayo itwa nguvu ya kuchagua. 1 Samweli 15:23 [23]Kwani kuasi ni kama dhambi ya uchawi, Na ukaidi ni kama ukafiri na vinyago; Kwa kuwa umelikataa neno la BWANA, Yeye naye amekukataa wewe usiwe mfalme. Anashindwa pia kufuata maelekezo si kwa sababu anapenda bali sababu ya kuto kuwa na nguvu inayo kuwezesha kuchagua. Na ili uchague lazima uwe na roho mtakatifu kati ya nguvu anayo kupa ni nguvu ya kuchagua . Bahati mbaya sana akina sauli wako wengi duniani wanafanya kile wasicho agizwa kwa tamaa zao arafu wanasema ni kwa ajiri ya injiri . Mfano mwepesi huwezi kuwa dada au kaka wa plays arafu kutwa unazini arafu utegemee Mungu atakukubali kwani dhambi ni matokeo ya kukosa nguvu ya kuchagua. Natamani sana vijana tujue siri ya uyu roho ambaye ndiye aliyetupa Nguvu hii ya kuchagua na jinsi inavyo weza badilisha Maisha yetu. Ukiweza kuiishi nguvu hii inayo itwa kuchagua basi uneyaweza maisha . Ahsantenaitwa Sylvester Mwakabende Kutoka (build new eden ) #build new eden #restore men position
    Yay
    1
    · 0 Comments ·0 Shares ·796 Views
  • Power of choice part 5.

    Neno msingi. "Angalia na wawekea mbele yako yaani baraka na laana" torati 11:26

    Tunaendelea na madhara ya kujiongoza vibaya katika kutumia nguvu ya kuchagua.

    Na kwakuanza jana tulimuona Sauli na matokeo aliyo yapata kutokana na kushindwa kuchagua kwani maamuzi yote yapo ndani ya Nguvu inayo twa chaguo.
    Leo tutaingia ndani kidogo tumtazame mnadhiri wa Bwana kwa kudhariwa .

    2.SAMSON

    Samsoni alikuwa mwamuzi wa islaeri kwa miaka 20 .

    Alifanya makubwa sana juu ya kulilinda na kulipambania islaeri juu ya wafiristi.

    Samsoni pamoja na uimara wote huo bado alishindwa kuielewa nguvu anayo itoa roho mtakatifu inayo itwa nguvu ya kuchagua.

    Samsoni akaangukia kwenye penzi la mfiristi la kwanza lakini haikuwa nadhani fungu lake .

    Waamuzi 14:16
    [16]Basi mkewe Samsoni akalia mbele yake, akasema, Wewe wanichukia tu, wala hunipendi; wewe umewategea kitendawili hao wana wa watu wangu, nawe hukuniambia mimi. Naye akamwambia, Angalia, sikumwambia baba yangu wala mama yangu, nami nikuambie wewe?

    Samsoni ni lover boy ambaye alitoa kitendawili lakini watu walimtumia mkewe akategua kitendawili .

    Lakini pia kisa pendwa cha samsoni na kahaba Delila sanson alipo chagua kuingia penzi na kahaba ndipo uharibifu ukamuotea tena .

    Samsoni ameulizwa juu ya siri ya nguvu mara tatu zaidi bado hakushtuka kwa kuwa nguvu ya ndani ya kuchagua maamuzi sahii ilikuwa imetoweka sababu ya dhambi.

    Matokeo ya kujiongoza kuchagua mtu hodari sana katika islaeri anadhihakiwa na watu wasio tahiriwa (wasio wabarikiwa)

    Samsoni alikuwa mnadhiri au mtu aliye zaliwa na kupewa nguvu lakini sababu ya kukosa nguvu ya kuchagua samsoni alipoteza focus yake.Waamuzi 16:17,28
    [17]Ndipo alipomwambia yote yaliyokuwa moyoni mwake, akamwambia, Wembe haukupita juu ya kichwa changu kamwe; maana mimi nimekuwa Mnadhiri wa Mungu, tangu tumboni mwa mama yangu; nikinyolewa, ndipo nguvu zangu zitanitoka, nami nitakuwa dhaifu, nitakuwa kama wanadamu wenzangu.

    Ndivyo ilivyo hata leo kuna watumishi wengi sababu tu ya kukosa nguvu ya kuchagua au kwa kufanya maamuzi yasiyo paswa kuyachagua wanapoteza vipawa vyao .

    Wengine wanashindwa kuchagua utakatifu wanaangukia kwenye zinaa na majivuno na wao pia wanapoteza uhusiano na Mungu.

    [28]Samsoni akamwita BWANA, akasema, Ee Bwana MUNGU, unikumbuke, nakuomba, ukanitie nguvu, nakuomba, mara hii tu, Ee Mungu, ili nipate kujilipiza kisasi juu ya Wafilisti kwa ajili ya macho yangu mawili
    Bila neema ya kristo katika roho huwezi kufanya maamuzi mema .

    Ok naitwa sylvester Mwakabende (build new eden )

    #build new eden
    Power of choice part 5. Neno msingi. "Angalia na wawekea mbele yako yaani baraka na laana" torati 11:26 Tunaendelea na madhara ya kujiongoza vibaya katika kutumia nguvu ya kuchagua. Na kwakuanza jana tulimuona Sauli na matokeo aliyo yapata kutokana na kushindwa kuchagua kwani maamuzi yote yapo ndani ya Nguvu inayo twa chaguo. Leo tutaingia ndani kidogo tumtazame mnadhiri wa Bwana kwa kudhariwa . 2.SAMSON Samsoni alikuwa mwamuzi wa islaeri kwa miaka 20 . Alifanya makubwa sana juu ya kulilinda na kulipambania islaeri juu ya wafiristi. Samsoni pamoja na uimara wote huo bado alishindwa kuielewa nguvu anayo itoa roho mtakatifu inayo itwa nguvu ya kuchagua. Samsoni akaangukia kwenye penzi la mfiristi la kwanza lakini haikuwa nadhani fungu lake . Waamuzi 14:16 [16]Basi mkewe Samsoni akalia mbele yake, akasema, Wewe wanichukia tu, wala hunipendi; wewe umewategea kitendawili hao wana wa watu wangu, nawe hukuniambia mimi. Naye akamwambia, Angalia, sikumwambia baba yangu wala mama yangu, nami nikuambie wewe? Samsoni ni lover boy ambaye alitoa kitendawili lakini watu walimtumia mkewe akategua kitendawili . Lakini pia kisa pendwa cha samsoni na kahaba Delila sanson alipo chagua kuingia penzi na kahaba ndipo uharibifu ukamuotea tena . Samsoni ameulizwa juu ya siri ya nguvu mara tatu zaidi bado hakushtuka kwa kuwa nguvu ya ndani ya kuchagua maamuzi sahii ilikuwa imetoweka sababu ya dhambi. Matokeo ya kujiongoza kuchagua mtu hodari sana katika islaeri anadhihakiwa na watu wasio tahiriwa (wasio wabarikiwa) Samsoni alikuwa mnadhiri au mtu aliye zaliwa na kupewa nguvu lakini sababu ya kukosa nguvu ya kuchagua samsoni alipoteza focus yake.Waamuzi 16:17,28 [17]Ndipo alipomwambia yote yaliyokuwa moyoni mwake, akamwambia, Wembe haukupita juu ya kichwa changu kamwe; maana mimi nimekuwa Mnadhiri wa Mungu, tangu tumboni mwa mama yangu; nikinyolewa, ndipo nguvu zangu zitanitoka, nami nitakuwa dhaifu, nitakuwa kama wanadamu wenzangu. Ndivyo ilivyo hata leo kuna watumishi wengi sababu tu ya kukosa nguvu ya kuchagua au kwa kufanya maamuzi yasiyo paswa kuyachagua wanapoteza vipawa vyao . Wengine wanashindwa kuchagua utakatifu wanaangukia kwenye zinaa na majivuno na wao pia wanapoteza uhusiano na Mungu. [28]Samsoni akamwita BWANA, akasema, Ee Bwana MUNGU, unikumbuke, nakuomba, ukanitie nguvu, nakuomba, mara hii tu, Ee Mungu, ili nipate kujilipiza kisasi juu ya Wafilisti kwa ajili ya macho yangu mawili Bila neema ya kristo katika roho huwezi kufanya maamuzi mema . Ok naitwa sylvester Mwakabende (build new eden ) #build new eden
    Like
    1
    · 0 Comments ·0 Shares ·820 Views